Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

Kama utakosa hata kigari cha milioni nne kwa kweli acha wakutambie
 
lakini alishapeta na maisha. Mkamwogopa
Maskini hafilisiki.
tajiri anatanulia hapa anafilisikia kuleeee south africa. utamcheka saaaa ngapi. Na badooo tunakuja kivingine.

[emoji23][emoji23]
 
We jamaa unafeli sana ujue, uzuri sikuhizi magari tunauziana humu humu mtaani. Zipo gari mpaka za mil.2.5 ni wewe tu mkuu. Nunua hata corrolla 110 upunguze machungu.

We si uliamua kujenga kwanza bana🤣🤣🤣 panda pagala hilo uje nalo Bar! Usituchoshe mzee.
 
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.
Bwana mkubwa wewe utakuwa na Sonona ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom