Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,918
- 8,713
Moja: Unaweza kulala kwenye Gari, lakini hauwezi kutembea na Nyumba..
Mbili: Mkuu yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyo kuhusu.
Tatu: Chuki hauzaliwi nayo, unajikuta nayo tu ukubwani.
Final: Mungu hajawai kuwa Mjomba wa mtu wala binamu, Mungu ni wetu sote...
Pambana tafuta hela nawewe upate gari, simple tu.. Ni ngumu sana kwa aliyefanikiwa kuwa na chuki za kitoto hivi heheheh
Stara Thomas aliimba Mtakunywa sumu mfe huku mnaona, aliyepewa muheshimu riziki yake ni pana, kupata kwake ni vigumuuu, mtahangaika sana
Thank me later