Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.
Wacha vijana tuchukue magari bana ili tule papuchi. Hawa warembo ukishakuwa mzee wa Tz 11 papuchi hawakupi.

Ukiwa na ka ist kako ahh unawagegeda kwa raha zako.
 
Pale mhaya gari yake inapopata break down mbele ya umati wa watu!
263823765.jpg
 
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.
Kupanga ni kuchagua tafuta pesa usipokuwa na pesa unaweza kuhisi kila mtu anaringa kisa wewe huna. Ukiona mtu anakunywa castle lite unasema anajionyesha, ukiona mtu ametoa familia weekend unasema anajifanya ana pesa, ukiona mtu anakula mbuzi choma huku anacheka kwa furaha unasema anatumia pesa ya mkopo.

Kila mtu aringe na alicho nacho
 
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.
Tafuta pesa, acha wivu wa kijinga. Kama hakuna sheria wanavunja shida yako ni nini? Nyinyi ndio mkizeeka mnakuwa wachawi lol.....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli hii ni roho ya kichawi gari anunue mwingine halafu upanick wewe

Mkuu tafuta hela na wewe ununue ist achana na baba wenye magari kama wewe baba mwenye nyumba baki na nyumba yako kila mtu ashinde mechi zake
 
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na semind
Mind your business
 
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.
Mkuu punguza hasira...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom