-Mimi nimezungumzia nyumba sio vibanda
-ukiwa na gari utakodiwa, kwani nyumba siwezi nikaipangisha na wakati huohuo nikaikopea bank (mortgage)?
Naona hata hujui nyumba wewe! Hayo mabanda yenu ya humo Kipawa kwenu? Sijui Manzese? Muda wowote Grader linapita!
Ukakope Bank ya nani? Mawee! Unadhani bank hawakusoma sababu ni za waswahili? Dhubutu!!
Tena usijaribu utapoteza kila kitu mpaka na uhai, Usilazimishe gari huna maono nayo mkuu kwa kukuangalia tu.
Labda ukope ukaoe mke kijijini kwenu aje. auze vitumbua na mihogo ya kuchemsha utaweza.
Haya nimekupa mimi Billion tano nipe mchakato utakavo zichanga unilipe!! Faster hapo hapo ulipo mabibo kwako!!
Mie nimekupa mfano kigari changu nilivozungusha na kulala humohumo na nikavuka mbaya.
Mpaka kikanipeleka ng'ambo kusoma bila nyumba. Kwa hela hiyohiyo.
Halafu weee!!
mtoto upangishe nyumba kwa mwezi sijui mwaka hadi mwaka ndo uingize pesa tena?
Utampata wapi km mimi ninae ingiza hela zaidi ya hiyo kodi kila siku? Sanasana imeharibika siku mojamoja niko garage.
Taxi bubu au kirkuu yangu unadhani itakuwa imeingiza sh. Ngapi kwa mwaka huo? Au uko Bar nini?
Hata Guta tu hulifikii! Kwa mwaka na hariharibiki ng'ooo!
Mkuu unacheza na Bank za bongo nini! Au nabishana na wa mkoa! Jaribu uone hatutakuona humu tena . km uko mkoani ndo kabisaa usithubutu .hizi ni zetu ma born town.
yaani ukope ukanunue gari? Ambayo huna maarifa nayo? Maweee!!! Wafwaa!
Km maarifa yangu unayaiiga, nakwambia utazimia. Mchana kweupe.
usinunue ajili ya show off! Eti mwajuma ndala ndefu akuone. Utaangukia pua na huta nyanyuka Tena. kuna kugongwa. Trafik anataka. Waunganisha deal wanataka pia kuibiwa nzima nzima acha kuibiwa mapato kukosa soko nk.
Yoote haya huna uzoefu si utakufa dkika sifuri.
Kubali tu yaishe huna mshipa wa gari km mimi. Muulize Rashidi mashaka wa kipawa akwambie alivo niiga akachanika nNyaa!