Jamani ni lini tutampata mkombozi wa nchi hii? Tukiendelea hivi mwisho wa siku hakitaeleweka!
Its high time now great thinkers kutoka nje ya JF, Ku demostarte yale tunayoyajadili hapa ndani.....
Yaani haya mapambano inabidi tuingie barabarani... wanatufanya wananchi wapumbavu sana, ahsante sana Invisible nitatoa pesa yangu mfukoni nipige copy elfu moja ili nizisambaze hizi kwa watu vijiweni na wanafunzi mavyuoni.
Hivi hii kesi anayodai kufungua iliishaje??
Una maana gani serikali ilipe? yani waongeze bei ya umeme, au mafuta ili wapate hela ya kuwalipa individuals ambao wako nao hapo hapo?Nafikiri kamati ya Zitto imetoa uamuzi muafaka. Haingii kichwani iweje Tanesco wabebe hizo gharama wakati kila kitu kimeanishwa na serikali kwenye hizo dokumaa? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake lazima apate.
Hizo dokumaa naamini serikali ilikuwa haipendi public wazione, TANESCO hawako liable kwa hilo deni, kila kitu kilifanywa na serikali (Mr. I Know All). WHY TANESCO?
Sioni cha kushangaa ni nini hapo, Tanesco nani? Serikali nani? Sisi hunena "kulu wahed", wote ni wamoja. Ikilipa Serikali au Tanesco, kuna tofauti?
Mnaonaje tukianzicha Fund za kulipa wanasheria waaminifu wakasimamia hili limalizike kwa nguvu yetu?
Wanaopinga huu upuuzi wa DOWANS wame-demonstrate kwa wingi kanda ya ziwa, where were you?
Next time maandamano ya CHADEMA yakitangazwa hapo ulipo come out.
It's now or never
Nafikiri kamati ya Zitto imetoa uamuzi muafaka. Haingii kichwani iweje Tanesco wabebe hizo gharama wakati kila kitu kimeanishwa na serikali kwenye hizo dokumaa? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake lazima apate.
Hizo dokumaa naamini serikali ilikuwa haipendi public wazione, TANESCO hawako liable kwa hilo deni, kila kitu kilifanywa na serikali (Mr. I Know All). WHY TANESCO?