CONFIDENTIAL: TANESCO, RICHMOND, DOWANS and BoT

CONFIDENTIAL: TANESCO, RICHMOND, DOWANS and BoT

Kumbe hata kupanda umeme sio uamuzi wa Tanesco bali ni serikali iliamua ili angalau TANESCO iweze kulipa Dowans halafu wao wachache wakagawane pembeni, lol...ni kamzunguko kidogo lakini tumekaona............TUKUTANE 2015
Na Rais akasema:
  1. Kupanda umeme hakukwepeki
  2. Hamjui mmiliki wa DOWANS
  3. CHADEMA wanataka kumtoa madarakani kwa nguvu (kwa kupinga DOWANS isilipwe)
 
Hivi hizi hesabu alizogoma kusaini huyu mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ni za mwaka gani wa fedha, na hii faini Tanesco/serikali wamepigwa lini? au kuna kitu sijaelewa hapa?
 
Nani awe kiongozi wa kuongoza hii kitu? We need a coordinator.
Na pia tunaomba wataalamu wa sheria
watusaidie kuona hii tutaifanyaje coz it's high time that we say ''ENOUGH IS ENOUGH''

what if hii discussion itengenezewe thread tofauti ili ipate michango yakinifu. Ikiendelea kuwa hapa kutakuwa na ku-mix two issues na ufuatiliaji utakuwa mgumu.
 
JK wants FFPA reports tabled in Parliament soon

By Correspondent

31st March 2011

President Jakaya Kikwete has given Premier Mizengo Pinda and Finance Minister Mustafa Mkulo until April 12 to table the Auditor General's 2009/10 financial forensic and performance audit (FFPA) reports in parliament.

In a statement issued to the press in Dar es Salaam yesterday, the president directed his executives to specifically provide the parliament with details pertaining to the Controller and Auditor General's (CAG) reports on national parastatals and on local and central governments accounting.

CAG Ludovick Utouh handed the reports to the president on March 29, as per the requirements stipulated in Article 28 of the 2008(11) National Law on Public Auditing in accordance with the constitution.

According to these directives, the president has to receive the CAG's reports before the last working day of this month so that he can instruct the respective ministers to prepare a brief report for a subsequent sitting of the National Assembly.

This year's CAG reports indicate that many public institutes have chronic financial and performance issues that need to be resolved, especially when it comes to accountability and expenses controls.

In his review of public service departments that span local governments, parastatals, government ministries and interestingly, Tanroad's role in overseeing the construction of national roads, the CAG recommends greater restraints in the use of scarce financial and national resources.

Kikwete commended Utouh for his performance as CAG and his professionalism and diligence in handling public audits.

The President has further tasked the CAG to bring those found misappropriating public funding to justice, saying for the government to work property its executives need to realise that there are repercussions for flaunting its ethical standards and code of conduct.


SOURCE: THE GUARDIAN
 
Kuna wakati nahisi napata hasira mpaka nataka kuwehuka......kwa msingi huu tutawatoa TANESCO kafara tu....tunatatizo kubwa mno la kiutendaji serikarini ...PUUH
 
Nafikiri kamati ya Zitto imetoa uamuzi muafaka. Haingii kichwani iweje Tanesco wabebe hizo gharama wakati kila kitu kimeanishwa na serikali kwenye hizo dokumaa? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake lazima apate.

Hizo dokumaa naamini serikali ilikuwa haipendi public wazione, TANESCO hawako liable kwa hilo deni, kila kitu kilifanywa na serikali (Mr. I Know All). WHY TANESCO?
Tunapaswa kujua kuwa Tanesco ni shirika la umma ambalo kwa asilimia 100 linamilikiwa na serikali. Hivyo ikilipa serikali au tanesco, basically ni mwananchi huyohuyo anayelipa.

Ila ikilipa serikali moja kwa moja, kuna kitu tutakitarajia - lazima bajeti hiyo iende bungeni (hapo tutasikia mengi), pia kama alivoeleza AME hapo juu, wafadhili wenye kuchangia bajeti wanaweza kusema kitu!
 
Tunaumizwa na serikali tuliyoichaguwa wenyewe kwa moyo mmoja, hilo ni moja je ni mangapi ya siri yanayoendelea na hatuyajui?
 
Ukisoma hiyo report inakupa wakati mgumu sana kuamini hayo yanayotokea hapa!

Unajiuliza hivi TANESCO kulipa gharama za IPTL na Songagas zaidi ya 64.5 bilion kila mwezi wakati Makusanyo yake kwa mwezi ni 43 bilion, hapa ndio maswali yanaanza kuja kichwani, kama unachokusanya ni kidogo kuliko gharama za uendeshaji, na hapo ni vitu viwili tu (Wazalishaji wa umeme wawili), bado Fixed cost zingine kama mishahara na mambo mengine ya uendeshaji hayajawa costed! ndio unapata picha ya kuwa Serikali yetu kupitia Shirika letu haliwezi kutatua, MATATIZO YA UMEME WA NCHI HII.

Tuendelee kuomba Mungu watanzania waamshwe na CHADEMA wajitambue wadai haki zao mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi. Ewe mola tusaidie.......!!!
 
attachment.php
Daah, wanatuzunguka sana kusema ukweli, wakati ukweli ni kwamba wameshadhamiria kulipa, na hapa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu ameweka wazi kuwa anajua kuwa serikali imekubali kulipa, halafu mtu mwingine anatoa hotuba ya mwisho wa mwezi anasema serikali haitalipa!
 
Yaani mimi tangu nianze kufatilia mambo ya siasa na kupata ripoti kutoka kwa MKJJ, Invisible ...nk, naona kama siku za kuishi zina pungua kila ninaposoma ripoti maana nashikwa na uchungu moyoni.

....CHADEMA niko tayari kwa maandamano hata leo, kuikomboa nchi hii.........
 
TANESCO imekuwa shamba la bibi la wanasiasa wetu uchwara. Inakuwaje mtu ulipe zaidi ya unachokidai halafu utegemee kuendesha shirika au kampuni kwa tija?
 
This is horrible!

Sijala lakini baadaa ya kusoma hii story yooote, nimejikuta sielewi kama nimeshiba au sina hamu ya chakula!!!

ALMIGHTY GOD, PLEASE LIGHT UP OUR BEING![/B]
 
Invisible, shukran sana mzee,

Kama Bunge lingekuwa na meno, lingeweza kuibua mambo mengi kwenye riport ya mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali, lakini naogopa, yule dada yangu (Speaker) hawezi kuwa na ujasiri kuivua nguo serikali ya Joka Kuu.

Ukweli ni kwamba, hatuna serikali inayosimamia masirahi ya wananchi (wakulima na wafanyakazi), bali kuna genge la majizi, majambazi na mafisadi, ambalo baada ya miaka mitano nchi itakuwa imefilisika na kuuzwa yote.

Nakumbuka mtu aliyekuwa na kauli ya kuhoji na kusitisha uovu huo alikuwa Mwl Nyerere, sasa hayupo, na hata yule rafiki yake Kingunge, kwa sasa amezeeka sana na hawezi kuzungumza!!!

Wa-Tz wenzangu tupeane pole.

Lakini tunaweza kufanya jambo ili kujiokoa na hali hii, kuunga mkono sauti ya wanaharakati na vyama vyenye upinzani wa kweli. Kama hali ikiendelea kuwa hivi hadi June, yaitishwe maandamano ya nchi nzima kuikataa serikali. Yes, nimesema hivyo. Nipo tayari kuwajibika na kauli yangu kwa ajili ya nchi yangu.
 
Mmh hii ndio Tanzania zaidi ya tuijuavyo kwa kweli!

Wanasiasa wetu majukwaani wakisimama wanasema wao pia wako nasi kwamba hawataki hii pesa ilipwe, confidentially CAG anasema serikali imekubali kulipa kupitia TANESCO issue pekee ni how to book it (vitabu vya tanesco or government) basi lakini kulipwa inalipwa, huku kama si kutuona wanasesere ni kitu gani? Wametuacha tuko busy tunamjadili Babu wa Loliondo wao nao wako busy kuangalia ni vp watalipa as soon as possible.

Mimi sina la kusema zaidi ya kumwomba Mungu ambaye ni mweza wa wote aingilie kati kwenye hili kwa kuwaadhibu wote wanaotaka kuwaibia watanzania maskini.

mkuu hapo kwenye bold...

CAG hakusema hicho unachosema wewe bali katika hiyo barua yake ameanza kwa background behind the story....barua hii ya CAG kumbuka inakwenda kwa PS wa MOF mh. Ramadhani Khijja ambaye katika barua yake kwa CAG ndiyo anadai kuwa TANESCO ibebe hiyo contingent liability na iwe katika books za TANESCO.....

Msimamo wa CAG uko katika paragraph ya tatu kutoka mwisho ambayo inaanza hivi...

In view of.....I recommend....

mkuu...CAG Utouh ni mtu makini sana...hawezi kuingizwa chaka na watu wajinga kama viongozi wa serikali ya CCM
 
Saa ya ukombozi imewadia,kila mtu anatakiwa kuwa mpiganaji, kwani wao ni nani watuadhibu kiasi hicho?sisi (tunaoibiwa) ni wengi kuliko wao (wanaoiba)
Kama wao awnatumia nguvu ya mamlaka sisi tutatumia nguvu ya umma.
 
Tatizo ni nani ana jukumu uteuzi wa huyo Utuoh?...ni Rais...na nani kampa Rais urais?....sitajibu hili kwa sasa vile nyote mwajua....mapendekezo na maagizo ya INTOSAAI ambayo husimamia Ma-Utuoh wote duniani ni kuwa CAG anatakiwa ateuliwe na BUNGE na awajibike kwa bunge....Tanzania inakaidi hili...hata hivyo nampongeza Mwalimu wangu Utuoh kwa kuendelea na kazi yake ngumu...alipoanza hakuwa na mvi kama sasa

Kaka ndo inavyobidi iwe ivyo ila baraza la mawaziri la kina chenge lile liligoma kbs iyo ishu
 
Mtaona kwamba kwa mara ya kwanza Mkaguzi Mkuu amethibitisha kile ambacho tulidai katika ile ripoti ya "Jinsi Richmond na Dowans walivyoizunguka Tanesco".

Kwa muda mrefu watu walikuwa wanadai kuwa (na ndio ilikuwa hoja ya Tanesco kujitetea kwenye ICC) kuwa Mkataba wa Dowans na Tanesco ulikuwa siyo halali. Hata hivyo, Tanesco ilidai kukosa uhalali wa mkataba huo kwa misingi ya yale yaliyotajwa na Kamati Teule kuwa Richmond haikuwa kampuni halali na hivyo haikuwa na nafasi ya kuingia mkataba halali.

Hata hivyo, kama tulivyoonesha miezi michache tu iliyopita na sasa kuthibitishwa rasmi na CAG Mkataba ulivunjwa pale Richmond ililpohamisha mkataba wake na Tanesco kwenda kwa Dowans "bila Tanesco kujua". Hii ni hoja mpya ambayo haijawahi kutolewa kabla hatujatoa taarifa yetu ile.

Lakini pia tumepata jibu ambalo wengine tulikuwa tunalitafuta je Richmond ililipwa? Sasa hivi tunajua kuwa Richmond iliuza mkataba kwa Dowans kwa dola milioni 15. Kwa mara ya kwanza tunafahamu kwa uhakika kuwa Richmond walilipwa.

Sasa ni jukumu la Wapinzani na wanasiasa wazalendo kuchukua msimamo unaoeleweka usio na utata.

You are right Musee hiyo kitu mi nilidhani ni umbea I once got this information kwa mmoja wa big potatoes huko TANESCO. He told me hawana mkataba na Dowans walio na mkataba ni serikali, nikaona kama vile anajitetea maana nilimbana kweli kwanini wanakosa uzalendo kiasi hicho?

Now I can imagine watu wengi wanajua hako ka mchezo kama fisadi tatizo ni uwoga wa chama kushika hatamu na walinzi wa mafisadi. Watu wafanyeje?

Thanks CHADEMA wamekuwa media ya sauti za watu ambao wanauugulia maumivu ya taifa lao kunyonywa na kupe wachache. Nivyema tukaivamia CHADEMA na kuishikilia kabla hao makupe hawajaiteka nyara. So far thanks to makamanda wa CHADEMA na wazalendo wa CCM. Dont worry mimi mlinzi wenu niliejiajiri mwenyewe nawa hakikishia mafisadi kiyama chao nilishakiona with my two eyes. Bado tu manifestation into physical lakini ground work tayari imesha kamilika (mission accomplished) watashika kila mahali watakuta moto na mwishowe wata surrender.
 
yani lazima tupate ya magonjwa ya moyo kwa mwendo huu..
 
Tanesco haiwezi kamwe kuendelea mpaka yafuatayo yafanyike:::

1) Mkataba wa IPTL usilipwe kwenye pesa za Tanesco bali waliolazimisha mkataba MINISTRY OF ENERGY

2) Mkataba wa Songas usilipwe kwenye pesa za Tanesco bali waliolazimisha mkataba MINISTRY OF ENERGY

Tanesco waachwe sasa wafanye kazi kitaalamu kama ambavyo mandate yake inataka. Hakuna cha Makamba wala Zitto wala upumbavu wa Wizara kuwaingilia.

Tanesco nunueni generators, tafuteni partner wa nje muendeleze Kiwira, tumieni pesa za mapato kuimarisha Transmission systems ili hiyo Loss kubwa ( Loss power during transmission) ya >> 120MW ipungue kwa kiwango kikubwa.

Yaani hii nchi yetu bwana kila kitu upside down.

May God Bless Tanzania.
 
Back
Top Bottom