Kinanchonishangaza hapa ni kwa nini Rex attorney waliwashauri Tanesco kuvunja mkataba halafu wakashindwa kuwatetea tena ICC? Kulikuwa na misingi gani Serikali kupitia wizara ya nishati na madini kushinikiza Tenesco kusaini mkataba huo? Serikali ilituambia teni halitalipwa kumbe ilikuwa ni janja ya nyani kula mahindi mabichi.
Hivi mkataba ulisainiwa na TANESCO au na wizara? Kunakitu hapo nahisi tunachanganya! Nadhani TANESCO hawana mkataba na Dowans bali serikali kupitia wizara walisaini mkataba na Dowans. Kama Dowans wangekuwa na mkataba na TANESCO; TANESCO ingekataaje kulipa? Ama nimemsoma vibaya Ludo! Kuna kitu hapo tunatakiwa ku clarify wazalendo wameleta hii ngoma nje ili tujue style iliyochezwa hapo. Unless you tell me otherwise!
Hapo kwenye kushinkiza need tu be checked kuna watu wanaweza kuwa wametumia cover tu ku link hii issue na TANESCO; ukisoma hiyo document between the lines utagundua hakuna mkataba kati ya TANESCO na DOWANS bali Serikali (Wizara) na DOWANS. Na hapo Auditor amenusa kuna kuwa held responsible asipo kuwa makini akanawa mikono kama pilato sasa hukumu iko kwenu nani asulubiwe kati ya Baraba na Yesu sauti zenu zitaamua kesi hii pilato kesha jitoa.
This is pure my thinking based on the document, unless mnanielewesha lakini kwakiasi kikubwa huwa na mwamini hollyspirit katika ku descern evil.