CONFIDENTIAL: TANESCO, RICHMOND, DOWANS and BoT

Alafu sijui kama mmeona mtu aliyesign moja ya hizo karatasi ni mmoja wa wakuu waliositishwa kazi kwa ajili ya EPA MR Gray Mgonja. Yani alafu Uranium inauzwa tu bila kujua kama tutapata faida kutokana na ushirikiano ya hao wahindi wanaotaka hio uranium kweli.

KWELI STORY YA EAST AFRICAN ILIKUA HAIDANGANYI The East African: *- Comment*|I
 
Ki ukweli Utouh anastahili pongezi...........

He has been straight kama ilivyokuwa in one of the reports humu.

POAC wameshauri the same way anavyoshauri CAG. LAKINI, bado naona hicho chote ni kiini macho. Kwa serikali jinsi ilivyo, itakimbilia kulipa na kusimama kutuhubiria wananchi "tumelipa kama ilivyoshauriwa na POAC na CAG".............hii ni hatari.

Mimi nadhani, suala hapa sio kulipa, hapa tuanze na ni kina nani hao walioshinikiza Tanesco iuingie huo mkenge na wameshachukuliwa hatua gani???? HAO NDIO WALIPE.

Tanzania itakombolewa TU.
 
Jamani ni lini tutampata mkombozi wa nchi hii? Tukiendelea hivi mwisho wa siku hakitaeleweka!

wewe pamoja na mimi na wazalendo wengine.Wamisri wangesubiri na kujiuliza kama hivyo adi leo mambo yangekua yale yale, TUAMKE JAMANI KUMEKUCHA.
 
yule aliyeamuru richmond ipewe zabuni hata baada ya kuona hawafai ndoa anapaswa kulipa
 
Its high time now great thinkers kutoka nje ya JF, Ku demostarte yale tunayoyajadili hapa ndani.....

Wanaopinga huu upuuzi wa DOWANS wame-demonstrate kwa wingi kanda ya ziwa, where were you?
Next time maandamano ya CHADEMA yakitangazwa hapo ulipo come out.

It's now or never
 
k1av0.jpg

Hivi hii kesi anayodai kufungua iliishaje??
 
Yaani haya mapambano inabidi tuingie barabarani... wanatufanya wananchi wapumbavu sana, ahsante sana Invisible nitatoa pesa yangu mfukoni nipige copy elfu moja ili nizisambaze hizi kwa watu vijiweni na wanafunzi mavyuoni.

it will be great, na nadhani mwanahalisi watatusaidia katika hili.
 
Nafikiri kamati ya Zitto imetoa uamuzi muafaka. Haingii kichwani iweje Tanesco wabebe hizo gharama wakati kila kitu kimeanishwa na serikali kwenye hizo dokumaa? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake lazima apate.

Hizo dokumaa naamini serikali ilikuwa haipendi public wazione, TANESCO hawako liable kwa hilo deni, kila kitu kilifanywa na serikali (Mr. I Know All). WHY TANESCO?
 
Sioni cha kushangaa ni nini hapo, Tanesco nani? Serikali nani? Sisi hunena "kulu wahed", wote ni wamoja. Ikilipa Serikali au Tanesco, kuna tofauti?
 
Una maana gani serikali ilipe? yani waongeze bei ya umeme, au mafuta ili wapate hela ya kuwalipa individuals ambao wako nao hapo hapo?

Sikubaliani nawe tafadhali, hatulipi, na kama inawezekana mitambo itaifishwe,
 
Mnaonaje tukianzicha Fund za kulipa wanasheria waaminifu wakasimamia hili limalizike kwa nguvu yetu?
 
Wale vijana wenye siasa kali ( wajinga) siwaoni wakija humu kuchangia kazi yao ni kuishambulia chadema na slaa tu kweli?
 
Sioni cha kushangaa ni nini hapo, Tanesco nani? Serikali nani? Sisi hunena "kulu wahed", wote ni wamoja. Ikilipa Serikali au Tanesco, kuna tofauti?

Acha kutudanganya; ikilipa TANESCO the burden is taken to the consumers na hapo inabidi tulipe through our electricity dues. Ikilipa government then public money (Budgetary) is going to be spent which means the government has to take from its coffers ama waongeze kodi kwenye kitu wanachojua wenyewe. Imapct yake kwenye society ya increase kwenye kodi ya consumption ya primary commodities zinazokuwa taxed kama sukari unaijua mwenyewe na CHADEMA wamesha onyesha njia tayari.

Ludovick is very clever walipe serikali tuone itapata wapi hizo hela za bure badala ya kuchukua makusanyo ya TANESCO ambayo yako directly linked kwa individuals through electricity consumption. Naserikali hapo kwenye budget inagombanishwa na wafadhili ambao wanaichangia kwahiyo watapata pakusemea kuhusu hiyo Dowans aka Richmond yao pia swala hili kama ni budget basi linaenda Bungeni ama? Hapo sina uhakika. Asante Ludovick mchezo mzuri huo!
 
Mnaonaje tukianzicha Fund za kulipa wanasheria waaminifu wakasimamia hili limalizike kwa nguvu yetu?

Tatizo kaka wanasheria wetu kwa historia inaonesha ni wepesi wa kuhongwa ndio maana hata Zombe alishinda. Labda wakodiwe kutoka nje, lakini kama ni hawa wa nchini mwalimu wao ni mmoja.

Mie huwa nakereka kwa kesi ambayo ni critical then mahakimu wanaipiga pass ndefu ndefu na wanasheria wanaridhika pale ndio huwa nachoka.
 
Wanaopinga huu upuuzi wa DOWANS wame-demonstrate kwa wingi kanda ya ziwa, where were you?
Next time maandamano ya CHADEMA yakitangazwa hapo ulipo come out.

It's now or never

Escober salute.

Tunachangia kwa uchungu na hasira geared na uzalendo timilifu. Tutoke nje ya JF. Tutoke nje ya anonymous ID.
Tu arrange meeting. Inaweza fanyika zonal wise na ifanyike siku moja kuleta impact.

Uwepo wa JF haikiumizi kichwa serikali hii ya mafisadi ila itajua kuwa JF kweli ni JAMII, ni wananchi waliochoka ufisadi.

Tuliangalie kwa angle hii. Tuwe bold tutoke nje ya ID za JF.
 
Jamani jamani serikali hii! na bado wahusika wamebebwa wako wanatanua na hata wengine kudriki kushabikia na kusafishana. Hakika Tanzania hatufiki tutarajiako.
 
Nani awe kiongozi wa kuongoza hii kitu? We need a coordinator maana tukiendelea kuongea humu haitasaidia we real need to show these guys that we a real tired of their actions, period.

Na pia tunaomba wataalamu wa sheria watusaidie kuona hii tutaifanyaje coz it's high time that we say ''ENOUGH IS ENOUGH''
 
Mtaona kwamba kwa mara ya kwanza Mkaguzi Mkuu amethibitisha kile ambacho tulidai katika ile ripoti ya "Jinsi Richmond na Dowans walivyoizunguka Tanesco".

Kwa muda mrefu watu walikuwa wanadai kuwa (na ndio ilikuwa hoja ya Tanesco kujitetea kwenye ICC) kuwa Mkataba wa Dowans na Tanesco ulikuwa siyo halali. Hata hivyo, Tanesco ilidai kukosa uhalali wa mkataba huo kwa misingi ya yale yaliyotajwa na Kamati Teule kuwa Richmond haikuwa kampuni halali na hivyo haikuwa na nafasi ya kuingia mkataba halali.

Hata hivyo, kama tulivyoonesha miezi michache tu iliyopita na sasa kuthibitishwa rasmi na CAG Mkataba ulivunjwa pale Richmond ililpohamisha mkataba wake na Tanesco kwenda kwa Dowans "bila Tanesco kujua". Hii ni hoja mpya ambayo haijawahi kutolewa kabla hatujatoa taarifa yetu ile.

Lakini pia tumepata jibu ambalo wengine tulikuwa tunalitafuta je Richmond ililipwa? Sasa hivi tunajua kuwa Richmond iliuza mkataba kwa Dowans kwa dola milioni 15. Kwa mara ya kwanza tunafahamu kwa uhakika kuwa Richmond walilipwa.

Sasa ni jukumu la Wapinzani na wanasiasa wazalendo kuchukua msimamo unaoeleweka usio na utata.
 
Nafikiri kamati ya Zitto imetoa uamuzi muafaka. Haingii kichwani iweje Tanesco wabebe hizo gharama wakati kila kitu kimeanishwa na serikali kwenye hizo dokumaa? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake lazima apate.

Hizo dokumaa naamini serikali ilikuwa haipendi public wazione, TANESCO hawako liable kwa hilo deni, kila kitu kilifanywa na serikali (Mr. I Know All). WHY TANESCO?

Kumbe hata kupanda umeme sio uamuzi wa Tanesco bali ni serikali iliamua ili angalau TANESCO iweze kulipa Dowans halafu wao wachache wakagawane pembeni, lol...ni kamzunguko kidogo lakini tumekaona............TUKUTANE 2015
 
Back
Top Bottom