CONFIDENTIAL: TANESCO, RICHMOND, DOWANS and BoT

CONFIDENTIAL: TANESCO, RICHMOND, DOWANS and BoT

The Controller and Auditor General rated his Report on the Dowans saga as confidential because it is normal when officers in Goverment are making judgement on issues which affect senior officials in Government to avoid unwarranted comment by the public and in the press prematurely.

However in my view, all that is contained in Mr Utouh's report had been earlier discussed in Parliament first by Hon Willibrod Slaa and other Chadema M.Ps, and details were revealed at the Mwembe Yanga rally and in the Press. Subsequently the Mwakyembe Parliamentary Special Committee exposed the unwarranted interference by Ministers and breach of the Public Procurement law and Regulations in awarding the tenders, which led to the resignation of Ministers including the Prime Minister. This is part of the sad history of this country.


The CAG's report has to be rated as confidential until it is sent to Parliament. But basically what it says is already known and his advice or decision is fair.
 
Whether ni serikali au tanesco hiyo hela isilipwe bse itatoka mifukoni mwetu jamani.

Naona JK na wenzake wanatuona sisi kama wanasesere yaani kumbe wako advance stage ya kuanza kulipa
 
Jamani hizo documents nitazipata vipi? Nilikuwa safari kwa muda kidogo na sikuwa na access na internet.
 
Invisible,
Nini sababu ya ku remove docs? Mimi nadhani njia bora ni kuziacha kila mtu azione ili majadiliano na uelimishwaji kwa wengine wasio na access na mtandao iwe rahisi. Kama hakuna sababu za kiusalama za ku remove please ziweke tu mkuu.
 
Invisible,
Nini sababu ya ku remove docs? Mimi nadhani njia bora ni kuziacha kila mtu azione ili majadiliano na uelimishwaji kwa wengine wasio na access na mtandao iwe rahisi. Kama hakuna sababu za kiusalama za ku remove please ziweke tu mkuu.

Ameondoa kwa sababu report ya CAG kwa sasa ni siri sbb hajapelekwa bungeni,so kuwa na iyo doc ktk mtandao ni kuvunja sheria! Ila I admire u invisible! This fools who r so called mafisadi r taking us for granted we hv to get back at them! Tusiishie kuongea tu let's take action jaman,me personally nimechoka kuongea ongea kwenye mitandao twendeni mtaani jaman tuandamane
 
Hans Lottering

Kamati ya Mwakyembe ilisema hivi:

"Kwa barua hii Serikali inaiagiza TANESCO iingie mkataba na Kampuni ya Richmond ili mitambo iletwe na kuanza kuzalisha umeme haraka iwezekanavyo. TANESCO inawajibika kuzingatia makubaliano yaliyofikiwa kati ya Richmond na Kamati ya Majadiliano ya Serikali (GNT)."


Ijumaa ya tarehe 23 Juni 2006, Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa TANESCO, Bwana Johannes .G. Lottering, aliitwa Wizara ya Nishati
na Madini na kuagizwa kusaini Mkataba huo kati ya TANESCO na Richmond Development Company LLC. Pamoja na kusita kwake,
hatimaye alisaini mkataba huo.

Zitto sidhani kama ni Lottering aliyesaini mkataba wa Disemba 23, 2006. Alisaini wa Richmond na Tanesco lakini si wa Tanesco na Dowans. Niko tayari kusahihishwa.
 
Kamati ya Mwakyembe ilisema hivi:........................
.............................
Aidha, Kamati Teule ilipata tetesi na baadaye ushahidi kuwa Richmond Development Company LLC ilikuwa na wapambe ndani ya Wizara ya Nishati na Madini na TANESCO waliokuwa wanaipa taarifa (insider dealing). Mfano mdogo tu ni wa Ndugu Mohamed Saleh, aliyekuwa Mkurugenzi wa Usambazaji wa TANESCO na rafiki wa karibu wa wamiliki wa Richmond Development Company LLC. Alishiriki kwenye Kamati ya Wataalam na Kamati ya Serikali ya Majadiliano. Alipostaafu tu TANESCO, akawa mmoja wa wahandisi waandamizi wa DOWANS HOLDINGS S.A iliyochukua majukumu ya Richmond Development Company LLC.

HUYU Mohamed Saleh YUKO WAPI SASA HIVI?

tuendelee kujikumbusha

.............Mheshimiwa Spika, tarehe 19 Juni, 2006, Bodi ya Zabuni ya TANESCO ilikutana na kupitisha uamuzi rasmi wa kufuta zabuni waliyokuwa wanashughulikia awali na kutangaza kuwa "TANESCO isihusishwe na mkataba wowote utakaotokana na nyaraka za zabuni waliyoifuta".
Lakini siku hiyo hiyo ya tarehe 19 Juni 2006, Waziri wa Nishati na Madini alimwandikia Waziri Mkuu dokezo kuwa majadiliano ya awali na Richmond Development Company LLC yamekamilika hivyo Serikali iiteue kampuni hiyo kwa lengo la kuingia mkataba na TANESCO wa kuzalisha umeme wa dharura kwa miaka miwili. Sehemu ya barua hiyo inasomeka:
"Kamati ya Serikali ya Majadiliano (GNT) inayojumuisha wataalam kutoka Wizara Fedha, Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Benki Kuu na TANESCO ilifanya majadiliano na Richmond Development Company LLC ya Houston, Marekani kutoka tarehe 8 hadi 16 Juni 2006, kwa kuzingatia maelekezo yako."
Mheshimiwa Spika, tarehe 21 Juni 2006, Katibu wa Waziri Mkuu Ndugu B. Olekuyan aliiandikia Wizara ya Nishati na Madini kuitaarifu kuwa Mhe. Waziri Mkuu amekubali mapendekezo na ushauri wa Waziri wa Nishati na Madini kama ulivyokuwa umeletwa.
Siku hiyo hiyo tarehe 21 Juni 2006, Waziri wa Nishati na Madini akamwandikia dokezo Katibu Mkuu wake aiagize TANESCO iingie mkataba mara moja na Richmond Development Company LLC baada ya Waziri Mkuu kuidhinisha mapendekezo ya Wizara. Muda mfupi baadaye, kwa kutekeleza agizo la Waziri, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini akamwandikia barua Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO Balozi Fulgence Kazaura kumwagiza ahakikishe kuwa TANESCO inasaini mkataba na Richmond Development Company LLC.
Mheshimiwa Spika, Ijumaa ya tarehe 23 Juni 2006, Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa TANESCO, Bwana Johannes .G. Lottering, aliitwa Wizara ya Nishati na Madini na kuagizwa kusaini Mkataba huo kati ya TANESCO na Richmond Development Company LLC. Pamoja na kusita kwake, hatimaye alisaini mkataba huo.
 
Tuendelee Kujikumbusha

.............................
tarehe 4 Disemba 2006, TANESCO ikapokea barua kutoka kwa Richmond Development Company LLC ikielezea makusudio ya Richmond kuhamisha majukumu yake yote ndani ya Mkataba huo kwenda kwa Dowans Holdings, S.A.
Siku hiyo hiyo TANESCO ikaijibu Richmond kwamba haikuwa tayari kuridhia pendekezo hilo kwa sababu kuu tatu:
(i) Kifungu 15.12 cha Mkataba kinataka kuwepo kwa makubaliano ya pamoja ya kimaandishi (written mutual agreement) kutoka kwa wahusika wote wa Mkataba (Parties) kabla ya kufikiwa uamuzi wa kuhamisha Mkataba.
(ii) Richmond Development Company LLC haijatoa sababu zozote za msingi kwa pendekezo hilo la kuhamisha Mkataba.
(iii) TANESCO haifahamu historia, uzoefu wala uwezo wa kifedha wa hao wanaopendekezwa kuhamishiwa Mkataba.
Aidha, TANESCO ilikumbushia barua zake za awali ilizoiandikia Richmond Development Company LLC kuhusu ukiukwaji wa masharti ya Mkataba, lakini Richmond haikuzijibu. Hivyo, TANESCO ikataka ipate kwanza majibu ya masuala yote iliyoyaainisha kabla ya kufikiria kuridhia pendekezo la kuhamisha Mkataba huo.
Mheshimiwa Spika, kama kawaida ya Wizara ya Nishati na Madini, TANESCO ikashinikizwa kukubaliana na ombi la Richmond hata kabla kampuni hiyo ya Kimarekani haijajibu hoja za msingi za TANESCO. Tarehe 21 Disemba 2006 TANESCO ikaiandikia barua Richmond Development Company LLC kukubali pendekezo la kuhamisha majukumu yake kwa Dowans Holdings, S.A..

Hapo ndipo Tanesco waliingia MKENGE...........
 
Tuendelee Kujikumbusha



Hapo ndipo Tanesco waliingia MKENGE...........

roterring.jpg


Je Johannes ndio huyu?

Halafu kwenye Engeneers Registration board anaonekana kama...
D. Temporary Consulting Engineers​
1. Nils S. Bakke​
2. Johannes G. Lottering
 
Kamati ya Mwakyembe ilisema hivi:



Zitto sidhani kama ni Lottering aliyesaini mkataba wa Disemba 23, 2006. Alisaini wa Richmond na Tanesco lakini si wa Tanesco na Dowans. Niko tayari kusahihishwa.

Nani basi ali sign mkataba wa Dowans? Na kwanini Auditor anapendekeza serikali ndo ilipe na siyo TANESCO? Nadhani sheria ndiyo itakuwa inamwongoza ku recommend such na kama ndivyo basi kuna sehemu anajua through his auditing kwamba hakuna mkataba kati ya TANESCO na Dowans na yeye kama auditor kama hatazingatia hilo basi yeye ndiyo atakuwa held responsible if things go wrong. Thats how my thinking goes I dont know how true can this be.
 
Invisible spectrum, naomba tumia utaalamu wako kuifanya hii makitu ipatikane tena hewani kwa muda kiduchu tu niikamate. Nimekuta imeng'olewa tayari. Please!!
 
Haya ndio matatizo ya Tanzania na Watanzania. The source of all these is ccm na kama tunaendelea na hii demokrasia ya ccm-Tanzania tutaendelea kuwa na two classes of Tanzanians forever, wealth citizens (mafisadi au wezi) and the rest are poorest of the world.

Everyday ninamka kufikiria jinsi gani nitasaidia kujenga Taifa langu na kuondokana na haya matatizo tulionayo lakini najikuta na gonga ukuta kwa sababu sisi watanzania tunakaa nyumbani na either kusubiri vitu vibadilike vyenyewe au ccm na kikwete watakapo amua kutula jinsi gani au kusikia mashehe na cuf waki badilisha stories na kumtetea kikwete na familia yake kwamba yeye sio mwizi. Hii sio demokrasia wala haki na tunaumizana hapa Tanzania. Ushahuri ni kwamba twendeni mbele na to take actions kwa pamoja la sivyo tutabaki kuumizwa na kuonewa wakati mafisadi wa ccm hawana huruma wala aibu kwetu.

Matumaini ni kwamba hizi docs zote zinatoka kila leo sio kitu ambacho hatukujua hata mara moja na ni kazi nzuri kwa wote wanaojitolea kiasi hiki kuwaonyesha kwa udhibitisho ccm na hasa kikwete tuna wananchi katika nafasi yeye alipowaweka na wanajali Taifa lao, zaidi wapo radhi kufanywa lolote lile kusema ukweli kwa wenzao. Haitasaidia hata mara moja sisi wananchi kuendelea kusoma na kuona udhihirisho wa namna hii na tuendelee kusubiri Mwingereza aje Tanzania kutusaidia, donors na wafadhiri na mabarozi wanakuabaliana na kuunga mkono wananchi na wanafanya push zao kwa kuzuia na kukata misaada kwenye serikali ya kikwete.

Swali muhimu ni hili, Watanzania tupo tayari kujitoa na kutoogopa hii serikali ya kikwete na mafisadi na kuanza kweli kuwaondoa hawa serikalini? Wananchi wanakuitaji mimi na wewe kupigania demokrasia na haki ya kila mtanzania.
 
Leo hii vodacom kampuni ya FISADI ROSTAM inatoa matangazo yake humu JF

Hizi ndio double standards
 
Alafu unasikia mradi wa umeme wa Nyerere blah blah! Kuna watu wanataka kutufanya wajinga.
 
Mkuu hujatoka nje ya mada; suala la gesi nalo ni suala la kuangalia, linaongeza mzigo mzito kwa TANESCO ilhali inatoka hapahapa kwetu. Inazua shaka kuwa hata tukichimba mafuta bado hali itakuwa mbaya kwa nishati hiyo Tanzania, watakaonufaika ni wachache kwa michezo yao ileile
Pia amesema jana PM, Alafu tunabeza ujenzi wa bwawa la Nyerere kisa chuki kwa JPM. Its obvious chuki kwa JPM ziko very personal achilia mbali mapungufu yake.
 
Back
Top Bottom