Mkuu
agosti 8 usikimblie kuita watu mamluki kwa maoni yao.
Mi kusema Arsenal imefanya usajili wa maana kwenye post yangu no 804 unaniona msaliti,he wakati huo chelsea mbali na diego imemsajili nani mwingine?kina fabrigas na wengine wamekuja baada ya post yangu,ndo maana nikasema wakati huu arsenal imefanya usajili wa maana kuliko chelsea.
hahahahhaaha,we jamaa sikuielewi pindi mtu anapoeleza mawazo au maoni yake unamwona msaliti kisa upo naye tu tofauti kimawazo,ushabiki wako kutopenda kukosolewa ni wa kidekteta mno
mkuu heshimu mawazo ya watu,usione wengine vichaa wanapotofautiana na ww kimawazo