usisititeshe mjadala kwa kukimbia huku ukiniita mi sio chelsea kisa umekosa point,point zako zipo mbili tu,mi kuchukia Diego kuja chelsea kwa kusema hana kiwango,baadaye we mwenyewe ukaleta post yangu nikisema sikujua dieo anajua hivi,baada ya kumwona akicheza kwenye chelsea,na nilisema Sanchez ni bora kuliko Diego na kwenye post zangu nilikuwa na-refer kombe la dunia,na Sanchez alionekana,Diego hakuonekana kombe la dunia na hakutisha,sasa mi kusema ukweli ndo nionekane si chelsea?ukanibishia Dieogo ni zaidi ya Sanchez(sikukataa maana sikuona game zake zaidi ya UEFA na world cup kama nilivyosema,na humu kuna post yangu pia nikisema kuwa sikutegemea kwamba Diego anajua (baada ya kumwona akifunga magoli chelsea),bado ukasema mi ni mamluki,nikakuambia haya ni mawazo yangu kwamba Sanchez ni zaidi ya Diego,nikakuuliza Je Diego ni bora kuliko Messi?na ningesema messi ni bora kuliko diego ungeniita mi mamluki?Heshimu mawazo ya watu ndugu.