Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu Nzi kwa heshima yako jaribu kuwa mstaarabu hapa kwenye jukwaa la wastaarabu:

kocha anaweza kumbadili mchezaji acheze majukumu tofauti; kwa hiyo profile ya mchezaji inaweza kubadilika.

MIFANO:

Michael Essien alitoka Lyon ya Ufaransa kuja Chelsea; alizoea kucheza 'winga' JOSE MOURINHO akambadili akawa anacheza kiungo wa ndani(kiungo wa kati) na hata akawa kiungo mkabaji mzuri sana.

Cesar Azpilicueta "Dave" alitoka Marseille Ufaransa akiwa beki wa kulia. lakini hapa Chelsea Fc anatumika kama beki wa kushoto;

Blanislav Ivanovic ni beki wa kati; kule kwao Serbia anacheza na Nemanja Vidic katika jukumu la beki #4 au #5. Lakini Chelsea wanamtumia Ivanovic kama beki wa kulia, yaani, #2.

Lahm mchezaji wa Bayern Munich ambaye ni kapteni wa timu hiyo; yeye kwa mazoea ni beki wa kulia. lakini mara kwa mara amechezeshwa kama kiungo mkabaji na kocha wa timu hiyo Josep Guardiola. Kwenye mfumo wa 4-1-4-1.

Christiano Ronaldo ni 'winga' lakini kwenye mfumo wa Real Madrid ambao mara nyingi wanacheza 4-3-3. Ronaldo hucheza kama mshambuliaji: wanakuwa hivi Bale-Benzema-Ronaldo.

bisha tena Nzi.

cc; Mentor, ntuzu, Kalou, etc.

Mkuu agosti 8 ndugu Nzi amejikita Zaidi Ktk PROFILE za wachezaji na maelezo Yao pale Lkn si katika matumizi ya mchezaji uwanjani!

Kocha anamtumia mchezaji kutokana na uwezo wake na timu ambayo anayokutana nayo!

Timu ya Chelsea ninayoishabikia mimi imekua inatumia wachezaji wake baadhi tofauti na profile zao zinavyosema Ktk timu au Ktk mataifa Yao!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Viol usiwe na hofu kiasi hicho; kwani wewi ni mgeni CHELSEA?

sisi tunapenda kazi ngumu; hata wachezaji wetu wamejengeka kisaikolojia kucheza gemu ngumu;🙂
Hapo kumpiga Liver ndo kibarua haswa,dah kazi bado tunayo
 
je, mkuu Ntuzu; nimekosea kumjibu Nzi?

Mkuu Ebu nikupangie kikosi cha Chelsea then nitawaita hao Liverpool fans watuwekee na chao Alafu ulinganishe uone km hao Liverpool watafurukuta

Golini atakuawepo Cech

Beki kulia atakuwepo Ivanovic na kati atakuwepo Terry na Cahill na kushoto atakuwepo Azc!

Kwa wakata Umeme pale Kati atakuwepo Matic na Luiz

Attackers Willian, Ramires na Hazard

Striker babu Eto'o.

Sub ya kipa inajulikana

Beki sub ni Cole

Wakata Umeme ni Obi, Lampard,

Attackers, Oscar, Salah, Schullre

Strikers, Torres, Ba.

Uzuri Wa Chelsea tuna timu nzuri iatakayo anza na itakayo Kaa sub!

Kwahiyo Mpira utakua mzuri mwanzo mwisho ata tufanye sub vp tutakimbiza mpk wakome!

Jana liveropool kwa city walikosa Wa sub kwa first eleven Yao ndio Maana ilibaki Kidogo tu iwe droo!

Gwamahala na wenzako pitieni Huku mje mpange kikosi chenu!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kumpiga Liver ndo kibarua haswa,dah kazi bado tunayo
Chemistry yetu na liver inatufeva sisi zaidi...kazi imekwisha jana mkuu. Itabidi tutafutane mechi ya liver samakisamaki au Qbar tujipongeze.
 
Ndugu Viol usiwe na hofu kiasi hicho; kwani wewi ni mgeni CHELSEA?

sisi tunapenda kazi ngumu; hata wachezaji wetu wamejengeka kisaikolojia kucheza gemu ngumu;🙂

Mkuu ninachofurahi ni kuona Ba na Salah wanaweza kumshawishi Jose kuwapanga Ktk mechi!

Hizi ndio silaha za maangamizi! Skirtl ajiandae kukabiliana na Ba!
 
Ndugu Viol usiwe na hofu kiasi hicho; kwani wewi ni mgeni CHELSEA?

sisi tunapenda kazi ngumu; hata wachezaji wetu wamejengeka kisaikolojia kucheza gemu ngumu;🙂

Vice versa is possible for specialists teh teh teh
 
wakata umeme: Obi na Nemanja Matic
Mkuu Ebu nikupangie kikosi cha Chelsea then nitawaita hao Liverpool fans watuwekee na chao Alafu ulinganishe uone km hao Liverpool watafurukuta

Golini atakuawepo Cech

Beki kulia atakuwepo Ivanovic na kati atakuwepo Terry na Cahill na kushoto atakuwepo Azc!

Kwa wakata Umeme pale Kati atakuwepo Matic na Luiz

Attackers Willian, Ramires na Hazard

Striker babu Eto'o.

Sub ya kipa inajulikana

Beki sub ni Cole

Wakata Umeme ni Obi, Lampard,

Attackers, Oscar, Salah, Schullre

Strikers, Torres, Ba.

Uzuri Wa Chelsea tuna timu nzuri iatakayo anza na itakayo Kaa sub!

Kwahiyo Mpira utakua mzuri mwanzo mwisho ata tufanye sub vp tutakimbiza mpk wakome!

Jana liveropool kwa city walikosa Wa sub kwa first eleven Yao ndio Maana ilibaki Kidogo tu iwe droo!

Gwamahala na wenzako pitieni Huku mje mpange kikosi chenu!
 
wakata umeme: Obi na Nemanja Matic

Naelewa Mkuu! Lkn Ktk kikosi cha kuwavaa Liverpool bora kwa wakata Umeme wawepo Matic na Luiz! Yani vile vitoto vya liver lazima vikae mfukoni!
 
Kikosi chenu kizuri,waliopo sub tu wanaweza tengeneza first eleven kucheza hata na Man U. Tatizo mpira hamjui,ndio maana kikosi hichohicho cha liverpool kisicho na subs wa maana ndio kinajua kufunga magoli mengi kuliko wenu wazuri. Refer kikosi cha Mou kipindi yupo Porto,kilikuwa kawaida bt Mou by then alikuwa kocha akawapa ubingwa,for now Mou anahangaika sn ht na timu ndogo zilizopungufu uwanjani. Kashakuwa babu na hana jipya tactically.
 
sisi mabingwa wa EUROPA hadi sasa bingwa mpya bado hajatokea.

mimi nimesema tu kwamba mwaka huu hauchezi champions league..

mimi nilicheza EUROPA baada ya kutolewa kwenye hatua ya makundi; ambapo tulishika nafasi ya 3 kwenye kundi.

lakini wewe hutashirika kabisa champions league mwaka huu; mbaya zaidi kama hull City watachukua FA; baaasi ujue umekosa hata hiyo EUROPA..

qwi qwi qwi ila mtapata muda wa kupumzika.

Uropa is nothing kwa timu kama Man United sio size yetu,mimi sitaki hata tucheze hiyo Uropa itatuchosha kwenye mkakati wetu wa kujenga timu yetu upya.Kuna watu wanashiriki miaka 18 but ni wasindikizaji tu
 
Kikosi chenu kizuri,waliopo sub tu wanaweza tengeneza first eleven kucheza hata na Man U. Tatizo mpira hamjui,ndio maana kikosi hichohicho cha liverpool kisicho na subs wa maana ndio kinajua kufunga magoli mengi kuliko wenu wazuri. Refer kikosi cha Mou kipindi yupo Porto,kilikuwa kawaida bt Mou by then alikuwa kocha akawapa ubingwa,for now Mou anahangaika sn ht na timu ndogo zilizopungufu uwanjani. Kashakuwa babu na hana jipya tactically.

Ata ufunge goli 100 points ni 3 tu! Na Wewe ndio Unaonekana hujui Mpira!

Tumefika NUSU fainali ya UCL si kwa kufunga wingi Wa magoli! Tuko Ktk top four kwa muda mrefu na tuliongoza ligi si kwa kufunga wingi Wa magoli Pali ni point!

Hiyo timu unayoiona butu ndio inawakilisha England Ktk CL kwa sasa! Swali ni kwamba inawakilisha vp km haifungi magoli?

Shida Ktk timu ndogo si kwamba Jose zinamsubua! Hilo swala liko kwa wachezaji kwa kucheza na timu ndogo Huku wakiwa wamejijenga ki akili kwamba watazifunga tu! Na wakati vi timu vyenyewe vinakua vimewakania kweli Chelsea!

Tumekua tukiongoza kwa kila kitu tukikutana na hizo timu km kumiliki Mpira, kulenga goli, kona etc! Si kwamba Chelsea anakua kazidiwa! Hapana!
Kwahiyo Siku nikija hapo kwako utanitambua Vzr!
 
Mkuu Ebu nikupangie kikosi cha Chelsea then nitawaita hao Liverpool fans watuwekee na chao Alafu ulinganishe uone km hao Liverpool watafurukuta

Golini atakuawepo Cech

Beki kulia atakuwepo Ivanovic na kati atakuwepo Terry na Cahill na kushoto atakuwepo Azc!

Kwa wakata Umeme pale Kati atakuwepo Matic na Luiz

Attackers Willian, Ramires na Hazard

Striker babu Eto'o.

Sub ya kipa inajulikana

Beki sub ni Cole

Wakata Umeme ni Obi, Lampard,

Attackers, Oscar, Salah, Schullre

Strikers, Torres, Ba.

Uzuri Wa Chelsea tuna timu nzuri iatakayo anza na itakayo Kaa sub!

Kwahiyo Mpira utakua mzuri mwanzo mwisho ata tufanye sub vp tutakimbiza mpk wakome!

Jana liveropool kwa city walikosa Wa sub kwa first eleven Yao ndio Maana ilibaki Kidogo tu iwe droo!

Gwamahala na wenzako pitieni Huku mje mpange kikosi chenu!
tunaangalia game ya norwich mkuu coz tukifungwa na norwich iyo game yenu haina maana tena..game ikifika kikos utakiona uwanjan sa unataka tukupangie saiv je yakitokea majeruh au red kad?
 
Last edited by a moderator:
tunaangalia game ya norwich mkuu coz tukifungwa na norwich iyo game yenu haina maana tena..game ikifika kikos utakiona uwanjan sa unataka tukupangie saiv je yakitokea majeruh au red kad?

Teh Teh Teh Teh Teh

Huna jeuri ya kupanga kikosi ndio Maana umeshindwa ata!

Kuna game moja katikati ndio tukutane Hiyo tarehe27. Sema wachezaji wako wanapwaya kwa timu yng!
 
league table doesnt lie...so far the best team is on top...we piga kelele tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom