Gustavo Fring
Member
- Apr 6, 2014
- 24
- 6
We have done it...we'll do it
chelsea 4 - 2 barcelona 2005.(london)
chelsea 2- 2 barcelona 2012(barcelona)
chelsea 3 - 1 napoli 2012.
we will overcome all odds: yes we can.
Hataree tumetisha
We have done it...we'll do it
chelsea 4 - 2 barcelona 2005.(london)
chelsea 2- 2 barcelona 2012(barcelona)
chelsea 3 - 1 napoli 2012.
we will overcome all odds: yes we can.
Timu yoyote ile tukikutana nayo tuanze ugenini afu tuje kumalizia sherehe pale kwetu
Mzee wa kuhakiki wageni Katavi kumbe na wewe msharii enh??
jose ana mbinu anajua dak15 za mwisho akiwa na washambuliaji wa4 ndani ya box lazima goli lipatikana.hapo hakuna kanuni lazimisha mpira ndani ya box..........heheheheeeeeeeeeeee jose kweli wewe ni THE SPECIAL ONE
mimi naita: 1-1-8.
beki mmoja, kiungo mmoja, washambuliaji 8.
wakati goli la Ba aliyetoa krosi Cesar "Dave" Azp. #28 alikuwa karibu na boksi; sasa shangaa beki yuko mbele.
Upande wa pili Ivanovic alikuwa kapanda anangojea 're bound' mpira udunde tu aunganishe..
beki alikuwa kabaki TERRY peke yake wakati tunashambulia kutafuta goli la 2.
Baada ya hapo ikawa kukaba mwanzo mwisho tukapindua tena ikawa 8-1-1 ha h ha a.. eto'o na torres mbele..wengine wote kukaba..
CHELSEA INAOGOPWA SANA.
It is in their DNA. Giving everything from first whistle to last. Fighting footballing logic. "We've done it before, champions of Europe, we've done it before," chanted their fans, reviving memories of great escapes against the Napoli of Cavani and Lavezzi, Barcelona and Bayern Munich in triumphing in 2012.
Chelsea deserved to win. Hongereni
When you play Chelsea not only are you competing against 11 players of high quality but also a genius in the opposing dug out [jose mourinho]"
mimi naita: 1-1-8.
beki mmoja, kiungo mmoja, washambuliaji 8.
wakati goli la Ba aliyetoa krosi Cesar "Dave" Azp. #28 alikuwa karibu na boksi; sasa shangaa beki yuko mbele.
Upande wa pili Ivanovic alikuwa kapanda anangojea 're bound' mpira udunde tu aunganishe..
beki alikuwa kabaki TERRY peke yake wakati tunashambulia kutafuta goli la 2.
Baada ya hapo ikawa kukaba mwanzo mwisho tukapindua tena ikawa 8-1-1 ha h ha a.. eto'o na torres mbele..wengine wote kukaba..
CHELSEA INAOGOPWA SANA.
khaa ngoja mtolewe tupumue....yaani jana mpira ulivyoisha nilikuwa nawaza maneno utakayotoa wewe na Ntuzu pamoja na special one!!!
Mkuu RRONDO Nafikiri Bado hujaelewa! Sisi kwa sasa hatuongea tena km Mimi niko kimya coz km kuongea nimeongea sn! Na ukweli umeonekana!
Mimi yng macho tu!
"Fear for my job? I have never feared for my job. Football has no memory. The only thing that matter is the present,not the titles you have won" - Maneno ya Jose Mourinho Felix
raha ya shabiki kuongea..tusiongee kwa nini hasa?
achana nao hao mkuu Ntuzu; yeye na wenzake ambao leo hawapo hapa au kama wapo wamefyata mikia jana na juzi wamesumbua sana..
ila cha moto wamekiona .. CHELSEA THE IMPOSSIBLE.
igeni kama mnaweza...! mmebaki na matimu ya enzi za mawe..ooh tulikuwa bingwa mwaka 1934 oo tulichukua mataji mwaka 71..eee tulikuwa na mataji yote maiak ya 1950..hapa sisi tunawafanya watoto wenu wasahu kabisa hiyo "mitimu" ya enzi za mawe..
mitimu iliyobaki kwenye majumba ya makumbusho;
mmenyamaza kimyaa! wapi yule anajiita regina waukweli?
:fencing: