Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna mtu wa Chelsea Fc anayeweza kumdharau Droba, ndo maana hata juzi wakati wachezaji wanatambulishwa kabla ya mechi vs Real Sociedad "Simba Mzee" alishangiliwa sana...anapendwa na kukubalika.

Lakini hata siku moja usithubutu kudharau mchango wa watu wafuatao hapa CHELSEA FC, utakuwa mamluki:
1.Frank Lampard,
2. John Terry
3.Didier Drogba
4.Petr Cech
5.Makelele
6.Franco Zola # 25.
7.Gianluca Vialli
8.Jimmy Floyd Hasselbank
9.Ruud Gullit
10.Bobby Tumblin
11.Roberto Di Matteo # 16.

Hao watu wameacha alama zao CHELSEA FC.
 
Bila kusahau Ashley Cole na Jose Mourinho.

mimi ni chelsea fc, hata wakati wewe na wenzako mlipkuwa mmelisusa jukwaa mimi nilikuwepo; muulize Mentor, Ntuzu, Mourinho hata wengine wanajua.

Mimi namkubali DROGBA tena kuliko unavyofikiri. tunachozungumza ni kwmba wewe unasema kuhusu ujanja wa Drogba kukwepa mabeki. Nimekwambia "simba mzee" anasifika na anajulikana kwa uwezo wake wa kutumia nguvu, kufunga magoli ya vichwa, kufunga kwa faulo, kwa penati na etc..

Ligi ya uingereza huweza kukaa unavizia vizia na ufunge magoli ya kutosha unahitaji kuwa mpambanaji. Sasa mwenywew tena unaanza kusema mala mashuti ya moto mara nini sijui..usipindishe mjadala Viol; sisi wote hapa ni CHELSEA FC tena kumbuka wewe ni mojawapo ya mashabiki humu ndani wanaotuhumiwa kwa kuwa mamluki..ha hahaa. unakumbuka wewe uliponda usajli wa costa ukasema Sanchez ni bora kuliko Costa? sasa kimyaaa..

Sasa endelea..:wacko:
hayo mashuti ya Drogba sijajichainganya,nimesema ni kama bonus,mbali na ukwepaji wake mabeki.
Kusema toka mwanzoni Sanchez ni bora kuliko Diego sio umamluki,Mi Diego nimemfahamia kwenye mechi kama nne za UEFA na Ligi ya Spain,ubora wa mchezaji unatokana na timu yenye historia,Je Sanches alikotoka unaweza kuniambia kaonekana mara ngapi?Mi mechi zote nilizomwona Diego niliona hana madhara zaidi ya hasira kwa refa,kutokana na ubora wa chelsea Diego atapanda chati na kutokana Arsenal Sanchez atakuja kuonekana wa kawaida,ila Diego atang'ara.
 
sasa video yako ndo inanitetea nilichosema kuliko kile ulichosema wewe. Vialli alikuwa anafunga magoli rahisi; ndo hiyo unaita kwamba anakwepa mabeki; cheki goli vs Man Utd na lile goli la kwanza kabisa anapewa pasi na Steve Clarke..

agosti 8 mkuu nahisi we ni kati ya mashabiki walioona uwalakini Drogba kurudi Chelsea
Lakini hata hivo mass media ipo,haya magoli ya Vialli ni kwenye purukushani au jamaa kujiweka wakati move inakuja,but Drogba huwa mpaka kipa anachoka,maana jamaa yupo tu yale maeneo kila mda,halafu bonus Drogba cross ikipigwa ana uwezo wa kuiconnet mpaka ndani,ule mpira wa moto kutoka cross unaogezewa moto,imagine goal keeper kule anafeel vipi

Last edited by a moderator:
Wewe mwongo si umesema humu kwamba hujamwona Droba akicheza tangu arudi Chelsea?
sasa ulimwonaje Costa akicheza?

kuhusu hasira, niambie kwani Rooney ni mchezaji mpole? vipi kuhusu Roy Keane? tunataka magoli ..hatujasajili mtu wa kucheka cheka na wapinzani.

hayo mashuti ya Drogba sijajichainganya,nimesema ni kama bonus,mbali na ukwepaji wake mabeki.
Kusema toka mwanzoni Sanchez ni bora kuliko Diego sio umamluki,Mi Diego nimemfahamia kwenye mechi kama nne za UEFA na Ligi ya Spain,ubora wa mchezaji unatokana na timu yenye historia,Je Sanches alikotoka unaweza kuniambia kaonekana mara ngapi?Mi mechi zote nilizomwona Diego niliona hana madhara zaidi ya hasira kwa refa,kutokana na ubora wa chelsea Diego atapanda chati na kutokana Arsenal Sanchez atakuja kuonekana wa kawaida,ila Diego atang'ara.
 
Wewe si Chelsea Fc, ..chelsea fc tunafikiri tofauti sana..hata wachezaji unaowapenda wee unakaa kama mshabikiwa timu ya LE PROFESERI vile ha ha aha :A S-eek:

hayo mashuti ya Drogba sijajichainganya,nimesema ni kama bonus,mbali na ukwepaji wake mabeki.
Kusema toka mwanzoni Sanchez ni bora kuliko Diego sio umamluki,Mi Diego nimemfahamia kwenye mechi kama nne za UEFA na Ligi ya Spain,ubora wa mchezaji unatokana na timu yenye historia,Je Sanches alikotoka unaweza kuniambia kaonekana mara ngapi?Mi mechi zote nilizomwona Diego niliona hana madhara zaidi ya hasira kwa refa,kutokana na ubora wa chelsea Diego atapanda chati na kutokana Arsenal Sanchez atakuja kuonekana wa kawaida,ila Diego atang'ara.
 
Hakuna mtu wa Chelsea Fc anayeweza kumdharau Droba, ndo maana hata juzi wakati wachezaji wanatambulishwa kabla ya mechi vs Real Sociedad "Simba Mzee" alishangiliwa sana...anapendwa na kukubalika.

Lakini hata siku moja usithubutu kudharau mchango wa watu wafuatao hapa CHELSEA FC, utakuwa mamluki:
1.Frank Lampard,
2. John Terry
3.Didier Drogba
4.Petr Cech
5.Makelele
6.Franco Zola # 25.
7.Gianluca Vialli
8.Jimmy Floyd Hasselbank
9.Ruud Gullit
10.Bobby Tumblin
11.Roberto Di Matteo # 16.

Hao watu wameacha alama zao CHELSEA FC.
naona ulinilenga,ila mi Chelsea wote nawakubali
 
ha ha ha pole sana ungekuwa arsenal hapo mwenye namba angekuwa terry peke yake kwasababu kuna Th14 hii ni pikipiki iliyopatikana london kamuulize yeyote pale kwa malkia wanamjua
kuna DB10 huyu kafunga goli bora la miaka yote pale uingereza kamuulize newcastle
kuna patric viera huyu dahh labda roy keane peke yake ndiye anamtambua kwa ufasaha labda niishie hapa nikiendelea itakuwa majanga
 
Dogo twende taratibu; hapa tunazungumza kuhusu CHELSEA FC - MWIKILISHI PEKEE KUTOKA JIJI LA LONDON KWENYE CHAMPIONS LEAGUE.

Wewe ni Arsenal tena umetambulisha kule kwenye jukwaa lenu, hata mwezi bado. Asante kwa mchango wako lakini.

Njoo taratibu kijana kumbuka 6-0 tulizokuchapa miezi michache iliyopita?:A S-eek:

ha ha ha pole sana ungekuwa arsenal hapo mwenye namba angekuwa terry peke yake kwasababu kuna Th14 hii ni pikipiki iliyopatikana london kamuulize yeyote pale kwa malkia wanamjua
kuna DB10 huyu kafunga goli bora la miaka yote pale uingereza kamuulize newcastle
kuna patric viera huyu dahh labda roy keane peke yake ndiye anamtambua kwa ufasaha labda niishie hapa nikiendelea itakuwa majanga
 
Wewe si Chelsea Fc, ..chelsea fc tunafikiri tofauti sana..hata wachezaji unaowapenda wee unakaa kama mshabikiwa timu ya LE PROFESERI vile ha ha aha :A S-eek:
Mkuu hilo red hapo umenikwaza sana,nachukia pale mtu anapokataa mawazo ya wenzake na kuwaita mamluki,kama we umechukia mi kumponda Diego Costa wakati wa usijali samahani kwa kutokunielewa,maana kuna post yangu pia humu nilishasema nilikuwa simkubali Diego ila kwa assist na magoli yake alipohamia chelsea nimemkubali,Sijaona umuhimu wa wewe kuareact hivo mimi kumsifia drogba kwa anajua kukwepa defenders,na vialli bado simkatai ila nilisema kwamba hajamfikia drogba ambaye Chelsea wanamwita Legend,sasa umamluki wangu ni upi ambao unaonyesha mi si chelsea?kumtomkubali Vialli au kusema Sanchez anajua kuliko Diego?mbona hutaki kupewa challange mkuu.
 
Pole mkuu Viol; ila post zako zinakuponza tena kibaya ni kwmba unasema wewe ni Chelsea lakini mara zote tunapokuwa kwenye kipindi kigumu unatugeuka; hata mimi si wa kwanza kusema hivyo; CHILUMENDO alishasema kukuhusu wewe mkuu Viol.

Hapana mimi sichukii kuwa na maoni tofauti; nakubali changamoto. kwa moyo safi kabisa..tuko pamoja lakini mara kwa mara ni muhimu kuwekana sawa..CHELSEA FC - FOREVER BLUE.

cc. Viol nenda kasoma pages kuanzia 800-806 tulipokuwa tunajadili kuhusu usajili uliongea hoja za ajabu nyingi wadau wakaanza kushangaa wewe CHELSEA FC toleo lipi?

usichukie lakini huu ni mpira tu; tunabishana kwa hoja.

umeona mkuu huyu jamaa mamuliki mark my word
 
tunataka challenges zenye maana, zinazojenga si challenges za ajabu ajabu mkuu viol.

Mkuu hilo red hapo umenikwaza sana,nachukia pale mtu anapokataa mawazo ya wenzake na kuwaita mamluki,kama we umechukia mi kumponda Diego Costa wakati wa usijali samahani kwa kutokunielewa,maana kuna post yangu pia humu nilishasema nilikuwa simkubali Diego ila kwa assist na magoli yake alipohamia chelsea nimemkubali,Sijaona umuhimu wa wewe kuareact hivo mimi kumsifia drogba kwa anajua kukwepa defenders,na vialli bado simkatai ila nilisema kwamba hajamfikia drogba ambaye Chelsea wanamwita Legend,sasa umamluki wangu ni upi ambao unaonyesha mi si chelsea?kumtomkubali Vialli au kusema Sanchez anajua kuliko Diego?mbona hutaki kupewa challange mkuu.
 
Pole mkuu Viol; ila post zako zinakuponza tena kibaya ni kwmba unasema wewe ni Chelsea lakini mara zote tunapokuwa kwenye kipindi kigumu unatugeuka; hata mimi si wa kwanza kusema hivyo; CHILUMENDO alishasema kukuhusu wewe mkuu Viol.

Hapana mimi sichukii kuwa na maoni tofauti; nakubali changamoto. kwa moyo safi kabisa..tuko pamoja lakini mara kwa mara ni muhimu kuwekana sawa..CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
lete hizo post zangu unazosema nawageuka
 
Mkuu agosti 8 usikimblie kuita watu mamluki kwa maoni yao.
Mi kusema Arsenal imefanya usajili wa maana kwenye post yangu no 804 unaniona msaliti,he wakati huo chelsea mbali na diego imemsajili nani mwingine?kina fabrigas na wengine wamekuja baada ya post yangu,ndo maana nikasema wakati huu arsenal imefanya usajili wa maana kuliko chelsea.

hahahahhaaha,we jamaa sikuielewi pindi mtu anapoeleza mawazo au maoni yake unamwona msaliti kisa upo naye tu tofauti kimawazo,ushabiki wako kutopenda kukosolewa ni wa kidekteta mno

wewe kinachokusumbua ni ushabiki badala ya kuangalia ubora wa mchezaji mmojammoja kwa kila timu hivi unafikiri sanchez atazuia arsenal msifungwe , kinachotakiwa katika timu ni ubora wa timu nzima na sio mchezaji mmoja.
Hata ukifananisha sanchez na Diego wa chelse katika ubora diego ana ubora zaid ya huyo unayemsema

mimi sishabikii Arsenal wala man u wala man city,mi ni blues dam,lakini hata kwenye kombe la dunia nadhani umeona mambo aliyofanya Sanchez kuliko hata Diego,unaposema unachoangalia ni ubora wa timu haina mantiki pia kama hakuna mchezaji ambaye ni bora kuliko,kama unaangalia timu lote,je Argentina ingeenda fainali bila Messi?pia nadhani umeona Brazil ilivyopoteza Neymar alivyokosa mechi ya majuzi
mkuu heshimu mawazo ya watu,usione wengine vichaa wanapotofautiana na ww kimawazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom