Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mishahara ya makocha wa PREMIER LEAGUE 2014-2015.

1. Jose Mourinho(Chelsea FC) = paundi milioni 8.5 kwa mwaka.
2. Arsene Wenger(Arsenal FC) = paundi milioni 6.6 kwa mwaka.
3. Manuel Pellegrin(Man City) = paundi milioni 5.5 kwa mwaka.
4. David Moyes(Man Utd) = paundi milioni 5 kwa mwaka.
5. Sam Aladayce(West Ham) = paundi milioni 2.2 kwa mwaka.
6. Paul Lambert(Aston Villa) = paundi milioni 2 kwa mwaka.
7. Alan Pardew(Newcastle Utd) = paundi laki 8 kwa mwaka.
 
Stamford Bridge "the Bridge":

1. Matthew Harding stand = watu 10,884.
2. West Stand = watu 13,500.
3. East Stand = watu 19,014
4. Shed End = watu 6,831.

kha jengeni uwanja basi....hio capacity kama our carrington training complex capacity!!!
 
tukihama hapo darajani itakuwa balaa; itabidi timu ibadili jina ..kuna utata mkubwa kuhusu kujenga uwanja mpya.

kule LIVERPOOL nimeacha seke seke kuhusu mjadala wa SUAREZ na mambo yake yalivyo..pitia pale utoe maoni yake mkuu RRONDO.
kha jengeni uwanja basi....hio capacity kama our carrington training complex capacity!!!
 
Mishahara ya baadhi ya wachezaji wa CHELSEA FC msimu huu:

1. Eden Hazard = paundi 185,000 kwa wiki.🙂
2. Fernando Torres = paundi 175,000 kwa wiki.😕
3. John Terry = paundi 175,000 kwa wiki.🙂
4. Frank Lampard =paundi 125,000 kwa wiki.🙂
5. Demba Ba = paundi 65,000 kwa wiki.
6. Samuel Eto'o = paundi 70,000 kwa wiki.
7. Oscar Emboaba = paundi 67,000 kwa wiki.:shock:

Aisee kwanini malipo ya Lampard kidogo kuliko ya Torres na Hazard?maana mi namwona kama kakaa sana chelsea hala ni ligend kimtindo na uzalendo pia
 
Ntunzu na agosti 8 mpo?kazi tuliyonayo ni kumfunga liverpool

Na hata psychology ya wachezaji wenu iko hivyohivyo, mnakamia match kubwa halafu mtafungwa na Cardiff City?

Nahisi bado kuna twist and turns kwenye kinyang'anyiro hiki, subirieni mpaka mechi mbili za mwisho kujua hatma yenu.
Kumbuka Man City are not out yet
 
Last edited by a moderator:
Na hata psychology ya wachezaji wenu iko hivyohivyo, mnakamia match kubwa halafu mtafungwa na Cardiff City?

Nahisi bado kuna twist and turns kwenye kinyang'anyiro hiki, subirieni mpaka mechi mbili za mwisho kujua hatma yenu.
Kumbuka Man City are not out yet

They are not out yet kama ukiweka assumption ya kuwa both chelsea n liver will lose a game each.
 
Mishahara ya makocha wa PREMIER LEAGUE 2014-2015.

1. Jose Mourinho(Chelsea FC) = paundi milioni 8.5 kwa mwaka.
2. Arsene Wenger(Arsenal FC) = paundi milioni 6.6 kwa mwaka.
3. Manuel Pellegrin(Man City) = paundi milioni 5.5 kwa mwaka.
4. David Moyes(Man Utd) = paundi milioni 5 kwa mwaka.
5. Sam Aladayce(West Ham) = paundi milioni 2.2 kwa mwaka.
6. Paul Lambert(Aston Villa) = paundi milioni 2 kwa mwaka.
7. Alan Pardew(Newcastle Utd) = paundi laki 8 kwa mwaka.

Where is the liverpool man and everton maestro,vile vile naomba source ya hii kitu
 
source ziko nyingi sana:
mie husoma alafu ndo naandika hapa..lakini ukitaka kupata source mkuu; fanya hivi:

andika neno "premier league managers salaries" google itamwaka vitu bila shaka;utachagua source unayotaka bila shida.

kweli tushindwe wenyewe..nani alijua kwamba MAN CITY wataangusha points jana..?
safi sana..mimi nilitegemea kwamba MAN CITY watapoteza mechi dhidi ya Everton ; lakini wamepoteza mapema..kazi sasa ni sisi wenyewe kushinda mechi zetu.. ni juu yetu kushinda na kuwa mabingwa kama utani vile?🙂
They are not out yet kama ukiweka assumption ya kuwa both chelsea n liver will lose a game each.
 
kweli tushindwe wenyewe..nani alijua kwamba MAN CITY wataangusha points jana..?
safi sana..mimi nilitegemea kwamba MAN CITY watapoteza mechi dhidi ya Everton ; lakini wamepoteza mapema..kazi sasa ni sisi wenyewe kushinda mechi zetu.. ni juu yetu kushinda na kuwa mabingwa kama utani vile?🙂

Hii draw ya Man City imetuweka kwenye pressure sana ukizingatia mechi yetu ya Jumamosi ni dhidi ya Hao, Sunderland!

The only positive thing ni kwamba tunacheza nyumbani and our home record has been perfect this season kwa wkeli!!!! Hope it works advantageously kwetu!
 
Mkuu Mentor; CHELSEA FC inacheza 'tight' sana yaani Terry na Cahill huwa hawaachi nafasi kubwa pale kati.
Jambo la Pili Matic na Luiz wanacheza deep kuziba mianya.

MAN CITY huwa wanaacha matundu mengi sana kwenye ukabaji wao..
we are winning this thing..for sure!
 
Cardiff tuliwafunga tayari..hawajatufunga msimu huu mkuu au unamaanisha mwaka gani?
Na hata psychology ya wachezaji wenu iko hivyohivyo, mnakamia match kubwa halafu mtafungwa na Cardiff City?

Nahisi bado kuna twist and turns kwenye kinyang'anyiro hiki, subirieni mpaka mechi mbili za mwisho kujua hatma yenu.
Kumbuka Man City are not out yet
 
Mkuu Mentor; CHELSEA FC inacheza 'tight' sana yaani Terry na Cahill huwa hawaachi nafasi kubwa pale kati.
Jambo la Pili Matic na Luiz wanacheza deep kuziba mianya.

MAN CITY huwa wanaacha matundu mengi sana kwenye ukabaji wao..
we are winning this thing..for sure!

si mtajifunga wenyewe. ubingwa mwaka huu hamna!!! ila mnaweza kuendelea kuota...ATM next week,wakati Liverpool wako miguu juu wanawasubiri mchoke.
 
They are not out yet kama ukiweka assumption ya kuwa both chelsea n liver will lose a game each.

Who knew that Chelsea will lose to Villa and C.Palace? And who expected Sunderland to draw against City at the Etihad? Mkidroo match moja, City akashinda yake, pamoja na ile ya mkononi, watakua juu yenu, Liverpool wakipoteza moja tu City watakua kileleni kwa GD

Wewe mwenyewe unasema uliexpect City kudrop points Vs Everton na sio kwa Sunderland, so expect the unexpected. Hata Liverpool inawezekana kukutana na surprise (sio ya Chelsea) kwa hiyo me bado nazipa nafasi team zote tatu za juu mpaka zibaki at least two matches each
 
Cardiff tuliwafunga tayari..hawajatufunga msimu huu mkuu au unamaanisha mwaka gani?

Match na Cardiff City itakua match yenu ya mwisho kwenye EPL msimu huu na mtachezea kwao, sihitaji kuelezea team zinazokuwa kwenye hatihati ya kushuka kwenye ligi huwa zinachezaje match ya mwisho hasa kama kubaki kwao kwenye EPL kutategemea hiyo match
 
si mtajifunga wenyewe. ubingwa mwaka huu hamna!!! ila mnaweza kuendelea kuota...ATM next week,wakati Liverpool wako miguu juu wanawasubiri mchoke.

Tarehe 19 yani Saturday tuko na Sunderland darajani baada ya kupumzika kwa wiki nzima!

Tarehe 22 baada ya Karibu 3 tutakua Madrid kwa first leg! Naa hii game ndio nafasi yetu muhimu kwenda Lisbon Ureno.

Then tutapumzika Karibu Siku 5 tuivae Liverpool tukiwa tumepumzika Vzr!

Na Tarehe 30 tunamaliza biashara na ATM!

Sasa kwa ratiba jinsi ilivyo nani atakua kachoka? Au unaongea tu Mkuu?

Na ukumbuke Kua tuko na timu mbili imara!
 
anaecheza mechi moja na anaecheza mechi mbili ndani ya wiki moja anaechoka anajulikana hilo halina ubishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom