Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha kujidanganya wewe,ManUnited anahitaji droo,Chelsea anshitaji kushinda at least 2 bila.PSG wakija darajani itakuewa zamu ya Cahill kumfunga Petr Cech maana Luiz na Terry wao wameshafanikiwa kumfunga

sasa we si usubiri kwani j4 ni mbali ndugu, unaona kuwa hatuwezi kumfunga 2-0?
 
Chelsea wanajitahidi sana, ila hawatatoka!!! Hii ni kibla nyingine leo.
 
hawa majamaa tunawafungua maana tumewazidi sana
 
Gaooooooooooooooooooooooooooooooooooooooool
chelsea1-stc 0
 
Tunacheza mpira mzuri sana siamini au tumekutana na vibonde
 
Leo nashangilia Chel$ki$

Bora mchukue ubingwa nyie kuliko Loserfoolians ama Shittians...
 
Tunacheza mpira mzuri sana siamini au tumekutana na vibonde

Ni sawa na baba mwenye nyumba unabandua house girl afu unajisifia umetongoza na kuangusha bonge la mvule mtaani
 
now tunafocus kwa PSG...Lets pray Etoo awe fit...huyu Torres hakuna kitu...
we can do it..
KTBFFH
 
now tunafocus kwa PSG...Lets pray Etoo awe fit...huyu Torres hakuna kitu...
we can do it..
KTBFFH

Mkuu! PSG wasikumbue kichwa! J4 lazima wapingwe!

Jose Mourinho ametuahidi kitupa raha! Na anataka Vijana wahakikishe kua Psg hawafungi goli!
 
Mkuu! PSG wasikumbue kichwa! J4 lazima wapingwe!

Jose Mourinho ametuahidi kitupa raha! Na anataka Vijana wahakikishe kua Psg hawafungi goli!

Kocha wa PSG naye amewaambia vijana wake wahakikishe Chelsea hawafungi goli!
Patamu hapo...
 
Kocha wa PSG naye amewaambia vijana wake wahakikishe Chelsea hawafungi goli!
Patamu hapo...

Teh Teh Teh Teh Teh

Alifanya Makosa game ya kwanza kuiruhusu Chelsea kupata goli moja! Lkn Darajani Ndio machinjio ya wabishi wote! Muulize Sizinga arsenal kilimkumba nini?
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh

Mkuu Gwamahala nazani Dua zako na furaha Yako ilikua kuona tunapata droo kwa stock Au Au kufungwa! Sasa matokeo yamekuja vingine kabisa! Hivyo Ndo itakua kwa Psg!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom