Sio dharau Bali nawachana ukweli, Huwa namatumaini hewaUnakumbuka ulivokuwa unasema kuhusu man u.
Dharau zako ni extraordinary
Sio dharau Bali nawachana ukweli, Huwa namatumaini hewaUnakumbuka ulivokuwa unasema kuhusu man u.
Dharau zako ni extraordinary
Sio kwamba Kiungo mkabaji ndio anachangiaMabeki wote pale Chelsea ni matakataka
Kocha anachangia defence ikose chem istry nzuri.Sio kwamba Kiungo mkabaji ndio anachangia
Hato mzuri sana akicheza LCB sijui kwanini anan'gan'ganiwa kucheza wingbackKocha anachangia defence ikose chem istry nzuri.
Anawang'ang'ania akina Hato na Gusto bure tu.
Awatumie James/Fofana/Acheampong kwenye RCB
Lacroix na Colwill kwenye CCB
Kwenye LCB Colwill na asajiliwe defender January
Kwenye kiungo lazima Chelsea isajili kiungo wa kuleta tempo na kuweza kuthibiti kiungo na kuamua uchezaji uweje na kuongeza posesion ya mpira. Alonso aachane na kumtumia Gusto kwenye Kiungo, Jan uary Gusto auzwe tu
Hato apelekwe mkopo kwa sababu anauhitaji sana.
Hamna cha kiungo mkabaji wala nini, mabeki hawana akili, yaan wanakaba kama walevi, tunafungwa aina moja ya magoli, ikishapgwa cut back cross basiiii mibeki yooteee yanatangulia mbele yanaacha adui nyuma.Sio kwamba Kiungo mkabaji ndio anachangia
Hata LCB hawezi, anal;sapses za kukosa concetrations, anatakiwa asipewe core minutes, aingie 5-10 minutes kwenye nyakati ambazo sio cruzial hadi akomaeHato mzuri sana akicheza LCB sijui kwanini anan'gan'ganiwa kucheza wingback
Mechi za mwishoni mwa kumaliza ligi alicheza vizuri sana kwenye hiyo nafasi ndio maana naona anafitHata LCB hawezi, anal;sapses za kukosa concetrations, anatakiwa asipewe core minutes, aingie 5-10 minutes kwenye nyakati ambazo sio cruzial hadi akomae
Kama ujui Todd Boehly na mwenzake Mark Walter walikuwa wanaunda umoja wa Blueco wakishirikiana na Clearlake Capital. Boehly na Mwenzake Mark Walter walikuwa na jumla ya hisa 25% wakati Clearlake Capital ikiongozwa na Behdad Eghbali mwenye hisa 85% ila waliamua wampe uwenyekiti Todd Boehly ndio kaleta magara wengi pale wa kina sterling n.k kwahiyo kwa Sasa team itakuwa ipo kwa Tajiri mmoja pekee mwenye nguvu ndio alikuwa na hisa kubwa bwana Behdad Eghbali huyu ndiye aliyehusika kuwaleta Caicedo na Enzo Fernandez kwa pesa nyingi ndio aliyemchukua Xabi Alonso huyu ndio mtu asiyependa kushindwa mambo kama unakumbuka vizuri vita ya kumchukua Caicedo kati yetu na Liverpool ilivyokuwa kubwa. Kwahiyo Sasa Chelsea itakuwa ya moto sana hakutakuwa na ombwe la maamuzi kama mwanzo wapinzani mtalia vibaya mno.Mzee wetu Bwenyenye Toddy B kaona akimbie sio....kaona hakuna kitu hapa... timu haieleweki, project kiazi kauza hisa zake zote kapita hivi
Usije ukakimbia uziKenye na nyumbu mnatabia nyingi za mfanano, japo kila mmoja anajiona yupo nafuu kidogo kuliko mwenzake
Game ya leo vs Brentford, nita enjoy zaidi kwa kuzingatia hiyo aya ya kwanza
Sitafanya hivyo kama wewe ulivyokimbia uzi baada ya kipigo cha arsenal chuma 2Usije ukakimbia uzi
Sababu ya kukimbia alikuwa hana sauti kwa sababau hisa zao zilikuwa chache na Todd Boehly ana vision tofauti sana na Behdad EghbaliMzee wetu Bwenyenye Toddy B kaona akimbie sio....kaona hakuna kitu hapa... timu haieleweki, project kiazi kauza hisa zake zote kapita hivi
Kama ujui Todd Boehly na mwenzake Mark Walter walikuwa wanaunda umoja wa Blueco wakishirikiana na Clearlake Capital. Boehly na Mwenzake Mark Walter walikuwa na jumla ya hisa 25% wakati Clearlake Capital ikiongozwa na Behdad Eghbali mwenye hisa 85% ila waliamua wampe uwenyekiti Todd Boehly ndio kaleta magara wengi pale wa kina sterling n.k kwahiyo kwa Sasa team itakuwa ipo kwa Tajiri mmoja pekee mwenye nguvu ndio alikuwa na hisa kubwa bwana Behdad Eghbali huyu ndiye aliyehusika kuwaleta Caicedo na Enzo Fernandez kwa pesa nyingi ndio aliyemchukua Xabi Alonso huyu ndio mtu asiyependa kushindwa mambo kama unakumbuka vizuri vita ya kumchukua Caicedo kati yetu na Liverpool ilivyokuwa kubwa. Kwahiyo Sasa Chelsea itakuwa ya moto sana hakutakuwa na ombwe la maamuzi kama mwanzo wapinzani mtalia vibaya mno.
Sababu ya kukimbia alikuwa hana sauti kwa sababau hisa zao zilikuwa chache na Todd Boehly ana vision tofauti sana na Behdad Eghbali