Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

wee Rockcity native umepotelea wapi?
nakumbuka wewe ni miongoni mwa wale waliokuwa wanaponda usajili wa Diego Costa..mbona kimya?

hadi sasa Diego Costa kafunga 4, assists 3.
hadi sasa Sanchez(wa Arsenal) hajafunga, ..sijui kama katoa assist yoyote.

hahahaha agost 08 "usilisifu panga lako kwa kukata mpapai" hata kezman alikua na makeke mwanzoni.
 
atletico-madrid-s.jpg

hili goli aliwafunga AC MILAN, ndani ya SAN SIRO..

:A S-eek:
 
Wakuu Drogba anajua sana,huwa ni mjanja kukwepa mabeki na kujiweka kwenye position anayojua yeye,kwenye wachezaji wengi sijawahi kuona mchezaji mkwepa mabeki mpaka anasahaulika kama drogba,kama kuna mkwepaji wa mabeki zaidi ya drogba hebu niambie ni nani?
 
drogba yupi ? huyu au wa 2012 ?
 
wakata umeme wote bora wanaishi CHELSEA FC, sasa wee mkuu Rockcity native; unadhani pale kwenu Arsenal kuna mtu ataweza kumkaba DIEGO COSTA?

Mtaumia nyie..mechi hiyo tunamweka benchi Diego tunawaleteeni SIMBA MZEE.. mwenye meno makali.:A S-eek:

ngoja akutane na wakata umeme wa england ndo atapimika vizuri, sio mtu kucheza na malaga anafunga goli 3 afu keshokutwa acheze na granada afunge 4. Ngoja akutane na mzik wa stoke,sundland,southamptn ndo tumpime
 
Wakuu Drogba anajua sana,huwa ni mjanja kukwepa mabeki na kujiweka kwenye position anayojua yeye,kwenye wachezaji wengi sijawahi kuona mchezaji mkwepa mabeki mpaka anasahaulika kama drogba,kama kuna mkwepaji wa mabeki zaidi ya drogba hebu niambie ni nani?

Kama ni kukwepa mabeki wapo # 9 wengine bora katika historia yetu ya CHELSEA FC pia ambao walikuwa na uwezo huo.
Naomba nikujibu kwa mfano mmoja angalau; GIANLUCA VIALLI - KOCHA MCHEZAJI.

vialli.jpg
 
wakata umeme wote bora wanaishi CHELSEA FC, sasa wee mkuu Rockcity native; unadhani pale kwenu Arsenal kuna mtu ataweza kumkaba DIEGO COSTA?

Mtaumia nyie..mechi hiyo tunamweka benchi Diego tunawaleteeni SIMBA MZEE.. mwenye meno makali.:A S-eek:

Kweli kabisa..mechi za Arsenal na Man utd tunamweka Drogba hahahahahahahahaha
 
Kama ni kukwepa mabeki wapo # 9 wengine bora katika historia yetu ya CHELSEA FC pia ambao walikuwa na uwezo huo.
Naomba nikujibu kwa mfano mmoja angalau; GIANLUCA VIALLI - KOCHA MCHEZAJI.

vialli.jpg
mkuu agosti 8 unazungumzia ukwepaji upi?sizungumzii kuja na mpira na kupiga chenga mabeki na kufunga,nazungumzia ule ukwepaji jamaa anakwepa mabeki na kusahaulika,mpira ukija unamkuta kwenye position ambayo hata mashabiki hawajategemea acha mabeki.
Hebu nipe hao wengine tisa wa kukwepa mabeki
 
Last edited by a moderator:
Unajua nini Viol? mimi huwa sipost chochote hapa ambacho sijasoma kwanza. Kama wee ungekuwa umeanza kushangilia Chelsea zamani kidogo utakumbuka mambo aliyofanya huyu jamaa..

Tofauti ni kwamba Drogba amecheza muda mrefu zaidi hapa Chelsea. Lakni Vialli ni mojawapo ya # 9 bora zilizowahi kucheza Chelsea fc..

unataka zaidi? Jimmy Floyd Hasselbank...

Drogba si mkwepaji kama unavyosema, ila Droba "Simba Mzee" ni mjanja, ana nguvu, msumbufu, na pia anaweza kufunga kwa miguu yote, kufunga kwa kichwa, kufunga kwa faulo, kufunga kwa penati...anatumia nguvu zake kusumbua mabeki. huwezi kuruka nae hewani ukabaki salama..

Kukwepa mabeki ni falsafa tofauti kidogo, tena kwa ligi ya Uingereza ambayo mabeki wanapenda kukaba man-to-man ni jambo lisilowezekana; unahitaji kuwa msumbufu kwa mabeki si kuwakwepa.

Ligi ya Hispania ambayo wanapenda snaa kukaba kwa -zonal-making ndo unaweza kuwa pale na mabeki wakakusahau. NIMEELEWEKA?

mkuu agosti 8 unazungumzia ukwepaji upi?sizungumzii kuja na mpira na kupiga chenga mabeki na kufunga,nazungumzia ule ukwepaji jamaa anakwepa mabeki na kusahaulika,mpira ukija unamkuta kwenye position ambayo hata mashabiki hawajategemea acha mabeki.
Hebu nipe hao wengine tisa wa kukwepa mabeki
 
article-2303426-003BA62200000258-631_634x504.jpg

Unajua nini Viol? mimi huwa sipost chochote hapa ambacho sijasoma kwanza. Kama wee ungekuwa umeanza kushangilia Chelsea zamani kidogo utakumbuka mambo aliyofanya huyu jamaa..

Tofauti ni kwamba Drogba amecheza muda mrefu zaidi hapa Chelsea. Lakni Vialli ni mojawapo ya # 9 bora zilizowahi kucheza Chelsea fc..

unataka zaidi? Jimmy Floyd Hasselbank...
 
agosti 8 mkuu nahisi we ni kati ya mashabiki walioona uwalakini Drogba kurudi Chelsea
Lakini hata hivo mass media ipo,haya magoli ya Vialli ni kwenye purukushani au jamaa kujiweka wakati move inakuja,but Drogba huwa mpaka kipa anachoka,maana jamaa yupo tu yale maeneo kila mda,halafu bonus Drogba cross ikipigwa ana uwezo wa kuiconnet mpaka ndani,ule mpira wa moto kutoka cross unaogezewa moto,imagine goal keeper kule anafeel vipi

mimi ni chelsea fc, hata wakati wewe na wenzako mlipkuwa mmelisusa jukwaa mimi nilikuwepo; muulize Mentor, Ntuzu, Mourinho hata wengine wanajua.

Mimi namkubali DROGBA tena kuliko unavyofikiri. tunachozungumza ni kwmba wewe unasema kuhusu ujanja wa Drogba kukwepa mabeki. Nimekwambia "simba mzee" anasifika na anajulikana kwa uwezo wake wa kutumia nguvu, kufunga magoli ya vichwa, kufunga kwa faulo, kwa penati na etc..

Ligi ya uingereza huweza kukaa unavizia vizia na ufunge magoli ya kutosha unahitaji kuwa mpambanaji. Sasa mwenywew tena unaanza kusema mala mashuti ya moto mara nini sijui..usipindishe mjadala Viol; sisi wote hapa ni CHELSEA FC tena kumbuka wewe ni mojawapo ya mashabiki humu ndani wanaotuhumiwa kwa kuwa mamluki..ha hahaa. unakumbuka wewe uliponda usajli wa costa ukasema Sanchez ni bora kuliko Costa? sasa kimyaaa..

Sasa endelea..:wacko:

agosti 8 mkuu nahisi we ni kati ya mashabiki walioona uwalakini Drogba kurudi Chelsea
Lakini hata hivo mass media ipo,haya magoli ya Vialli ni kwenye purukushani au jamaa kujiweka wakati move inakuja,but Drogba huwa mpaka kipa anachoka,maana jamaa yupo tu yale maeneo kila mda,halafu bonus Drogba cross ikipigwa ana uwezo wa kuiconnet mpaka ndani,ule mpira wa moto kutoka cross unaogezewa moto,imagine goal keeper kule anafeel vipi

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom