ha ahaha kijana Blac kid; nilikuwa nakukumbusha tu; maana uliponda sana usajili wa COSTA. ..sasa naona umeanza kuwa mpole taratibuuu. vipi Kolo Toure na Skirtel wanaendeleaje?
mwaka huu mtaanguka sana aisee...:A S-eek:
Mkuu toure tunauza lile galasa, skertel madhaifu yake hutayaona tena asa iv anacheza na watoto wenye akili wacheki j2 akina manquilo, lovren na moreno hahahahaha ukuta wa sasa umeshiba zege mtajuta kutufaham msimu huu.