Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

this is you, Viol
tumekuwa tukichat hapa hapa na wewe unatambua mchango wangu hapa; ila kama vipi mjadala umefungwa sasa tuendelee kufikiria CHELSEA FC.

no time for personal issues au vipi Viol?
You are wrong!kusema chelsea kumfunga liverpool tuna kazi haiprove mimi si chelsea,kama Liverpool ilicheza vizuri na mimi nikafananisha na timu yangu then ni msalit?i kusema kazi tuliyo nayo ni kumfunga Liverpool?umetoa point dhaifu sana now naelewa nabishana na nani!
 
Endelea mkuu maana jukwaa lilikuwa kimya sana; angalau tufike pages 1000 kabla ya gemu yetu ya Jumatatu au vipi..

Just keep on posting anything.. keep on saying the JUDGES WILL COME AND HAVE THEIR SAY.

CHELSEA FC - BLUE FOREVER.

usisititeshe mjadala kwa kukimbia huku ukiniita mi sio chelsea kisa umekosa point,point zako zipo mbili tu,mi kuchukia Diego kuja chelsea kwa kusema hana kiwango,baadaye we mwenyewe ukaleta post yangu nikisema sikujua dieo anajua hivi,baada ya kumwona akicheza kwenye chelsea,na nilisema Sanchez ni bora kuliko Diego na kwenye post zangu nilikuwa na-refer kombe la dunia,na Sanchez alionekana,Diego hakuonekana kombe la dunia na hakutisha,sasa mi kusema ukweli ndo nionekane si chelsea?ukanibishia Dieogo ni zaidi ya Sanchez(sikukataa maana sikuona game zake zaidi ya UEFA na world cup kama nilivyosema,na humu kuna post yangu pia nikisema kuwa sikutegemea kwamba Diego anajua (baada ya kumwona akifunga magoli chelsea),bado ukasema mi ni mamluki,nikakuambia haya ni mawazo yangu kwamba Sanchez ni zaidi ya Diego,nikakuuliza Je Diego ni bora kuliko Messi?na ningesema messi ni bora kuliko diego ungeniita mi mamluki?Heshimu mawazo ya watu ndugu.
 
atletico-madrid-s.jpg

hili goli aliwafunga AC MILAN, ndani ya SAN SIRO..

:A S-eek:

Daaaadek!! Costa ni balaa
 
Endelea mkuu maana jukwaa lilikuwa kimya sana; angalau tufike pages 1000 kabla ya gemu yetu ya Jumatatu au vipi..

Just keep on posting anything.. keep on saying the JUDGES WILL COME AND HAVE THEIR SAY.

CHELSEA FC - BLUE FOREVER.
.....................................
 
nayaheshimu unayoposti; lakini ukileta stori za ajabu lazima nikuweke sawa;
ukitaka kafungue 'thread' ya kumsifia Sanchez lakini hapa si mahala pake hapa ni for CHELSEA FC.:wacko:

usisititeshe mjadala kwa kukimbia huku ukiniita mi sio chelsea kisa umekosa point,point zako zipo mbili tu,mi kuchukia Diego kuja chelsea kwa kusema hana kiwango,baadaye we mwenyewe ukaleta post yangu nikisema sikujua dieo anajua hivi,baada ya kumwona akicheza kwenye chelsea,na nilisema Sanchez ni bora kuliko Diego na kwenye post zangu nilikuwa na-refer kombe la dunia,na Sanchez alionekana,Diego hakuonekana kombe la dunia na hakutisha,sasa mi kusema ukweli ndo nionekane si chelsea?ukanibishia Dieogo ni zaidi ya Sanchez(sikukataa maana sikuona game zake zaidi ya UEFA na world cup kama nilivyosema,na humu kuna post yangu pia nikisema kuwa sikutegemea kwamba Diego anajua (baada ya kumwona akifunga magoli chelsea),bado ukasema mi ni mamluki,nikakuambia haya ni mawazo yangu kwamba Sanchez ni zaidi ya Diego,nikakuuliza Je Diego ni bora kuliko Messi?na ningesema messi ni bora kuliko diego ungeniita mi mamluki?Heshimu mawazo ya watu ndugu.
 
nayaheshimu unayoposti; lakini ukileta stori za ajabu lazima nikuweke sawa;
ukitaka kafungue 'thread' ya kumsifia Sanchez lakini hapa si mahala pake hapa ni for CHELSEA FC.:wacko:
Kiwango cha juu cha unafki.
 
Usipanic mkuu Viol....sisi wote ni BLUE, Solidarity forever, wapinzani watatucheka. One love!
basi angekuwa anaheshimu mawazo ya watu,....mfano ikatokea Samata akaitwa Chelsea,na mimi nikakuuliza ni vigezo gani au kwanini aitwe aje chelsea?huwezi kuniita mamluki,Jamaa hana busara kujibu hoja.
 
Acha apaniki na kufoka atakavyo;

Mbivu na mbichi zitajulikana tu.
GREAT THINKER ni kuambiana ukweli. Post zetu wote ni ushahidi wa haya.
Hii ni CHELSEA FC THREAD mtu hawezi akaja hapa akasema SANCHEZ ni bora kuliko Costa alaf nimgongee LIKE.
Au Mtu asema Gerrard ni bora kuliko Terry nimgongee LIKE?

hakuna mambo ya hivyo..

Usipanic mkuu Viol....sisi wote ni BLUE, Solidarity forever, wapinzani watatucheka. One love!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom