Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Habari zenu aisee. Hongereni kwa kuchukua CWC.

Pia msione kama ni lazima sana kuja kupost post kombe kule kwetu mkifikiri hatujasikia.

Ni kwamba tu tuko bize tunashusha vyuma.
Shusheni ivyo vyma msimu ujao hatutaki kusikia kujitetea. Naona kuna mwenzenu kule kapost picha ya Gyokeres halafu kaorodhesha top six akimaanisha anakusanya point 6 kwa kila top six
 
Haya sasa wako wapi wale waliokuwa wanasema tumepita njia nyepesi mara tumecheza na timu dhaifu
Hapa mtaani kwangu wamepotea, hasa Arsenal na Liverpool, aibu yao hawaonekani mtaani asubuhi ya kuamkia jana. Na naamini leo wakionekana watajifanya hakuna kilichotokea duniani kwa upande wa Chelsea.
Wao Arsenal walikuwa mstari wa mbele kuishambulia Chelsea na kuyaita mashindano ni pre-seaosn yenye kombe.
Liverpool wao walikuwa mstari wa mbele kuyashambulia haya mashindano wakidai ni mashindano ya hovyo kuwahi kutokea. Ila utashangaa mashindano ya 2029 watapambana kufa na kupona wawepo na kuzima data kana kwamba hawajawahi kuyadharau
 
Mashindano haya yametuingizia £88M. Waache hao wanafiq waendelee kuchonga midomo huku sisi tukiendelea kuvuna mapesa kama kawaida.
 
  • Thanks
Reactions: K11

Similar Discussions

Back
Top Bottom