Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Marufuku house girl kupita na kanga moja mbele ya Baba mwenye nyumba.Psg kweli mchuzi yaani wanapigwa kama watoto na cheltako
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Marufuku house girl kupita na kanga moja mbele ya Baba mwenye nyumba.Psg kweli mchuzi yaani wanapigwa kama watoto na cheltako
Chelsea FC 3 VS 0 Ase8, Mwantesa Utd, Liverkuku, Barcelona na Mashabiki maandazi wote duniani ktk FIFA WORLD CLUB CUP 2025.Naiona nidhamu hapa
Lakini dunia nzima iliamini Chelsea anapigwa na PSG. Yan ilikua Chelsea against the whole World
Huwa hatubishani ila huwa tunaeleweshana sababu hatuwezi kuwa na mawazo sawa ktk kujenga hoja za muelekeo wa timu ktk mapungufu yake na mazuri yake.Wale wote wanaosema Maresca hana mbinu waje tubishane hapa
Alijitahidi sana kwenye fainali za FIFA WORLD CLUB CUP 2025 na alistahili zawadi ila kuna famba 1 alilitoa nikasema ohooo...asiturudishe Misri tukashindwa kufika nchi ya asali na maziwa Kanani 🙆Kaunzia leo nafuta Kauli Sanchez sio pazia la Ngorika bus. Ni mashine ya kudaka sometimes huwa inahitaji service
Miongoni mwa sajili bora sana zilizofanywa na Chelsea FC ni huyu Mwamba na Jao Pedro, bado sajili za mbadala wa James, Lavia, Mosses, Cucurella maana wanapiga kazi bila mapumziko na majeruhi ya mara kwa mara.Delap anaonekana mkorofi sana msimu ujao anaweza kumvunja Saka mguu.
Ni sahihi, ngoja waje kina Gittens na Estavio nao tuwaone mchango waoMiongoni mwa sajili bora sana zilizofanywa na Chelsea FC ni huyu Mwamba na Jao Pedro, bado sajili za mbadala wa James, Lavia, Mosses, Cucurella maana wanapiga kazi bila mapumziko na majeruhi ya mara kwa mara.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nyuma niliwaambia huyu kocha mgeni machanga na atakomalia hapa hapa Chelsea kama PEP alivyokomalia Barcelona 2008 kwenda mbeleHuwa hatubishani ila huwa tunaeleweshana sababu hatuwezi kuwa na mawazo sawa ktk kujenga hoja za muelekeo wa timu ktk mapungufu yake na mazuri yake.
Maresca Coach plan ilifanikiwa vizuri sana ktk FIFA WORLD CLUB CUP FINAL 2025 na tunampongeza kwa kazi nzuri, tuna imani naye kuendelea na Chelsea FC kimafanikio zaidi ila haituzuii kumkosoa akifeli kwa makosa yasiyo na ulazima, na huo ndiyo utofauti kati ya Mpenzi na Mshabiki wa mpira.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Miongoni mwa sajili bora sana zilizofanywa na Chelsea FC ni huyu Mwamba na Jao Pedro, bado sajili za mbadala wa James, Lavia, Mosses, Cucurella maana wanapiga kazi bila mapumziko na majeruhi ya mara kwa mara.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.


Sema Delap kukosa kufunga goli hata moja kazingua sana, kuna nafasi za wazi alipata akashindwa kuzitumia, kuna moja alikua yeye na kipa tu halafu kipa mwenyewe alikua amejaa upande mmoja lakini akashindwa kutikisa nyavu. Ni kweli ila si kila unachotuambiaga kizuri hutimia vile vile na ulivyokuwa ukitaka.Nyuma niliwaambia huyu kocha mgeni machanga na atakomalia hapa hapa Chelsea kama PEP alivyokomalia Barcelona 2008 kwenda mbele
ule ni muujiza, Mimi hata sikutegemea niwe mkweli, nilishajikatia zangu tamaa..!!
Ni kweli ila hata uwezo wa kuwapunguza Wachezaji wawili hadi watatu ilihali akikokota mpira kwa kasi nayo ni chachu nzuri sana ktk kuwa tishio la timu pinzani.Sema Delap kukosa kufunga goli hata moja kazingua sana, kuna nafasi za wazi alipata akashindwa kuzitumia, kuna moja alikua yeye na kipa tu halafu kipa mwenyewe alikua amejaa upande mmoja lakini akashindwa kutikisa nyavu.
Delap ni foward mzuri ila angefunga kwenye ile fainali ingemuongezea sana confidence. View attachment 3406757
Unakataje tamaa nakati Chelsea FC na Yanga FC ndiyo timu zinazoshangazaga dunia kimatokeo ndiyomaana umekuwa Mlibwende hivyo tokana na raha unazopewa kila siku kwa hizo timu mbili?ule ni muujiza, Mimi hata sikutegemea niwe mkweli, nilishajikatia zangu tamaa..!!
Mchezaji anatetewa hadi upgrade yake ipatikane. Hakuna anaendelea kumtetea mchezaji hata kama ana prpspect ya kuwa mzuri. Jackson na Madueke watakuja kuwa wachezaji wazuri sana iwe ndani ya Chelsea au nje ya Chelsea ila kwa sasa tunaye Joao Pedro na Liam Delap mambao ni upgrade ya Nicolas Jackson na Pembeni tunaye Jamie Gittens, Estevao Willian, Pedro Neto wote hao ni upgrade ya Madueke, kwani kesi hapo ipo wapiNi kweli ila si kila unachotuambiaga kizuri hutimia vile vile na ulivyokuwa ukitaka.
Mfano ni jinsi ulivyokuwa ukiwatetea makocha Harry Potter, Frank Lampard na wachezaji Mudriyk, Jackson, Odoi na Madueke ni bora kiuwezo ila mambo yakawa tofauti kabisa.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hata mpaka sasa Akipatikana upgrade ya Maresca tutaacha kumuunga mkono Maresca na tutahamia kwa huyo kocha mpya ndio mpango mzima wa kushabikia mpira sio wewe unakuwa negative hadi kwenye nchi ya ahadi 😀Ni kweli ila si kila unachotuambiaga kizuri hutimia vile vile na ulivyokuwa ukitaka.
Mfano ni jinsi ulivyokuwa ukiwatetea makocha Harry Potter, Frank Lampard na wachezaji Mudriyk, Jackson, Odoi na Madueke ni bora kiuwezo ila mambo yakawa tofauti kabisa.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wewe siku nyingine ukumbuke hizi facts kuhusu Chelsea "The Blues" na ikutie moyoule ni muujiza, Mimi hata sikutegemea niwe mkweli, nilishajikatia zangu tamaa..!!
Kwani pale uliona ni miujiza au jitu lilizidiwa uwezo PSG ni tishio kwenu ila sio kwetu sisi tumeifunga ile Barcelona ya Messi, iniesta,Xavi itakuwa PSG iwe ni bahatiMiujiza mwisho ilikuwa jana
Wote hao uliowataja wanambadala kasoro tu Cucurella, James for Malo gusto kocha aliamua game ile acheze midfielder but ni RB ndio atacheza mechi nyingi, Lavia au Caicedo wapo Essugo na SantosMiongoni mwa sajili bora sana zilizofanywa na Chelsea FC ni huyu Mwamba na Jao Pedro, bado sajili za mbadala wa James, Lavia, Mosses, Cucurella maana wanapiga kazi bila mapumziko na majeruhi ya mara kwa mara.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Kuitaja Chelsea na Yanga ni kuchanganya betri na gunzi
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Mchezaji anatetewa hadi upgrade yake ipatikane. Hakuna anaendelea kumtetea mchezaji hata kama ana prpspect ya kuwa mzuri. Jackson na Madueke watakuja kuwa wachezaji wazuri sana iwe ndani ya Chelsea au nje ya Chelsea ila kwa sasa tunaye Joao Pedro na Liam Delap mambao ni upgrade ya Nicolas Jackson na Pembeni tunaye Jamie Gittens, Estevao Willian, Pedro Neto wote hao ni upgrade ya Madueke, kwani kesi hapo ipo wapi