lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Bingwa wa UEFA kuanzia 2025 hadi 2028Vigezo gani wanatumia kupata team zinazoshiriki
Timu 8 zenye coeficient kubwa wataungana na mabingwa wanne kama ni tofauti wa kila mwaka
Kwa sasa timu ambayo imfunzu kwenye michuano hiyo kama ilivyokuwa Chelsea 2021 ni PSG kwa sababu wao ndio mabingwa wa 2025
Nchi mwenyeji pia inanafasi moja
bila kuwa na locker Cobham wala hajawahi fanya mazoezi Cobham na wala haijui dressing room ya Chelsea 