MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 655
- 823
4 yearsHivi hili kombe litachezwa tena baada ya mda gani?, au ni kila msimu?
4 yearsHivi hili kombe litachezwa tena baada ya mda gani?, au ni kila msimu?
Takataka wameondolewa Jackson maduekeYule mzee wa chelsea ina wachezaji matakataka pamoja na kocha takataka naona japo timu yake imeshinda lkn hana furaha kabisa maana makocha annaowaamini wanamuangusha
Wanasema tulienda kwa boflo maresca na kuacha makocha kama Enrique ambao hawakutaka project uchwara ya wamarekani...Jana boflo kamuoutshine kabisa Enrique cjui wapo na Hali Gani huko😂Yule mzee wa chelsea ina wachezaji matakataka pamoja na kocha takataka naona japo timu yake imeshinda lkn hana furaha kabisa maana makocha annaowaamini wanamuangusha
Delap ameacha kufuta mpira kabla ya kuirusha majuzi tu hapa Stock City, tayari kijana wake ni star. Kweli majuu ni majuu tu.Delap anaonekana mkorofi sana msimu ujao anaweza kumvunja Saka mguu.
Hali yao ni mbaya we si unaona mtu shabiki kabisa wa Chelsea imebeba kombe lakini haonikani jukwaani, kuna faida ya kuweka akiba ya manenoWanasema tulienda kwa boflo maresca na kuacha makocha kama Enrique ambao hawakutaka project uchwara ya wamarekani...Jana boflo kamuoutshine kabisa Enrique cjui wapo na Hali Gani huko😂
Ok,4 years
Itachezwa tena miaka minne ijayo (2029), n kama kombe la dunia la nchi ilivyo.Hivi hili kombe litachezwa tena baada ya mda gani?, au ni kila msimu?
Mashabiki wa timu fulani watasema jana PSG walikuwa na game mbaya.
Ndugu unajua mimi chama gani? Dunia nzima iliamini Chelsea haitoboi kama unabisha nenda majukwaa ya Man Utd na Arsenal usikie wanavyosema au wanavyoandika kuhusu Chelseasio dunia sema wewe mwenyewe
Acha yooote...wamepiga zaidi ya bilioni 300 na ushee pesa za madafu za kwetu kama zawadiNahisi msimu ujao na inayofuata jukwaa la Chelsea hili halitakuwa na inzi wale kutoka mtaa wa jirani. Asante sana Boehly na Eghbali kwa kutusukia timu tishio sio tu Uingereza na Ulaya bali duniani kote
Chelsea vs The Whole World
3-0
View attachment 3405343
Vigezo gani wanatumia kupata team zinazoshirikiItachezwa tena miaka minne ijayo (2029), n kama kombe la dunia la nchi ilivyo.