Tumewasaidia kulipa kisasi 🔥Nina uhakika huko walipo Inter Milan na Real Madrid wanafurahi sana
sio dunia sema wewe mwenyeweNaiona nidhamu hapa
Lakini dunia nzima iliamini Chelsea anapigwa na PSG. Yan ilikua Chelsea against the whole World
Warembo wamekauka kana kwamba hawasikilizi kinachozungumzwa.Unamuambia nini Cole Palmer kwa master class ya jana usikuView attachment 3405283