Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongera mashabiki wote wa Chelsea

Binafsi ningependa nitoe pongezi kubwa kwa team nzima ya usajili wa Chelsea hawa wamekuwa chachu sana kwenye mafanikio wetu imagine wamemsajili Palmer ambaye pale Man city alikuwa benchi maker hii ni kwasababu wanajicho zuri la kusajili, wamekuwa wakisajili wachezaji ambao sio wazoefu Bali wanatalent wamekuja kudeliver sio Jambo dogo cos tumeshazoe kusajili majina makubwa but aina ya uongozi huu wameleta impact kwenye project yetu.
 
Hatujaanza pre season ila tutashiriki kikombe fulani hivi hakina tofauti na hicho. Tutakichukua ila tutakiweka store sio kabatini.
20250714_120318.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom