Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata mpaka sasa Akipatikana upgrade ya Maresca tutaacha kumuunga mkono Maresca na tutahamia kwa huyo kocha mpya ndio mpango mzima wa kushabikia mpira sio wewe unakuwa negative hadi kwenye nchi ya ahadi 😀
Si kila Kocha ni wa kumuelewa na mashabiki hatufanani namna ya kukabiliana na vichapo kama Arse8.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
1752650965994.jpg

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ...psg offer.
 
Laigwanani Lembu 500M ni pesa ya kununua club aisee. Watupe hiyo 250M tusajili mashine 3.

𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Real Madrid wamewasilisha ofa ya pauni milioni 250 kwa Chelsea kwa ajili ya kumnunua Cole Palmer. Ikiwa ofa hiyo itakataliwa, inasemekana klabu hiyo inapanga kumsajili kwa uhamisho wa bure msimu wa joto wa 2033. 😀😀😀😀😀

BREAKING: Real Madrid have submitted a £250 million offer to Chelsea for Cole Palmer. If the offer is rejected, the club is reportedly planning to sign him on a free transfer in the summer of 2033. 😀 😳
 
Ila Challbah nilikua simuelewagi kabisa, ila now naona anajitahidi sana kwnye kupga pasi za maana, ni zile nywele tu sasa azinyoe. Nywele zina rangi ya moto!! Kha.
Chalobah ni mzuri wa kupiga pass tangu mwanzo ni vile hujawahi kumzingatia
 
Hakuna kitu kama hicho, hizo ni porojo tu za baadhi ya watu kutengeneza habari za uongo. Hakuna sehemu Madrid wamepeleka hiyo ofa, na ata kama wakipeleka hiyo ofa haiwezi kataliwa.

Hizo taarifa no za uzushi tu, hazina ukweli wowote ule.
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Real Madrid wamewasilisha ofa ya pauni milioni 250 kwa Chelsea kwa ajili ya kumnunua Cole Palmer. Ikiwa ofa hiyo itakataliwa, inasemekana klabu hiyo inapanga kumsajili kwa uhamisho wa bure msimu wa joto wa 2033. 😀😀😀😀😀

BREAKING: Real Madrid have submitted a £250 million offer to Chelsea for Cole Palmer. If the offer is rejected, the club is reportedly planning to sign him on a free transfer in the summer of 2033. 😀 😳
 
HAWA WAWEKEZAJI WETU WAKO SERIOUS AISEE, EBU SOMA HAPA CHINI WALICHOKIANDIKA BAADA YA CHELSEA KUSHINDA JUMAPILI ILIYOPITA:

José E. Feliciano 🟡 - 1st
Mwanzilishi-Mwenza na Mshirika Msimamizi katika Clearlake Capital Gr.
Siku 2 - 🟡

Tumeshinda Kombe la Dunia la Klabu ya FIFA! Kombe la Dunia! 🏆
Hongera Klabu ya Soka ya Chelsea!

Bado si bidhaa iliyokamilika (mambo machache sana) lakini baada ya miaka michache ambapo mwanafalsafa huyo mkubwa wa soka alisema hivi majuzi: "Kila mtu amezungumza mengi kuhusu sisi...," ni vyema kumaliza msimu huu na mataji mawili, ushindi dhidi ya bingwa wa kutisha wa Ulaya, na kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa msimu ujao.

Tulichoandika mwaka jana bado kinasimama:
"...tunaamini tunahitaji kufanya yafuatayo
Kushinda au kugombea mara kwa mara mataji ya Ligi Kuu na Ligi Kuu ya Wanawake
Kucheza mara kwa mara katika Ligi ya Mabingwa na kuwania vikombe vya ndani [na kimataifa]
Kushindania mataji kila mara katika vikundi vya umri wa vijana
Kukuza na kugundua vipaji vya vizazi vijavyo vya soka kwa manufaa ya klabu
Kuwa watendaji na wachangiaji wanaowajibika kwa jumuiya yetu, huku tutimiza masharti yote ya Financial Fair Play na mahitaji mengine ya udhibiti
Kupata imani na imani ya wafuasi wetu
Tafadhali fahamu kwamba kila mtu kwenye klabu analenga katika kufikia hilo."

Nimefurahishwa na UEFA Champions League (tunapostahili) na EPL msimu ujao! Tena, hongera timu!

#WASHINDI
#LengoZaidi
#LengoZaidi
1752720483923.png
 
Hakuna kitu kama hicho, hizo ni porojo tu za baadhi ya watu kutengeneza habari za uongo. Hakuna sehemu Madrid wamepeleka hiyo ofa, na ata kama wakipeleka hiyo ofa haiwezi kataliwa.

Hizo taarifa no za uzushi tu, hazina ukweli wowote ule.
Sasa wewe hata ujumbe wa emoji husomi!
 
Ila Challbah nilikua simuelewagi kabisa, ila now naona anajitahidi sana kwnye kupga pasi za maana, ni zile nywele tu sasa azinyoe. Nywele zina rangi ya moto!! Kha.
Na Sanchez tangu anyoe upara vipi hali yake 😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom