Shem mambo, kama Ww sio Chelsea utoke humu Leo tuko busy sana hatutaki kusumbuana na ambao sio Chelsea 💙🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The Blues 💙💙💙💙💙💙💙💙
Gameplan inaweza ikabadili kabisa uchezaji hata kama line up ni ile ileHakuna kitu mkuuu hapo approach haiwezekani
Sasa kati ya anayefunga na anayefunga nani tako, au Ww ndo tako mwnyw?Psg kweli mchuzi yaani wanapigwa kama watoto na cheltako
Sema Chelsea ni hatari,Psg kweli mchuzi yaani wanapigwa kama watoto na cheltako
Sema Chelsea ni hatari,
Shem mimi ni The Blues miaka mingi sana. Sema tu niliacha kuingia huu uzi miaka hii. Ila mimi na Chelsea ni pete na kidole.Shem mambo, kama Ww sio Chelsea utoke humu Leo tuko busy sana hatutaki kusumbuana na ambao sio Chelsea đź’™