Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona leo wadau wa jukwaa lao wanachungulia tu..mentor njoo uku utwambie mtakavo tangaza ubingwa baada ya mech ya liverpool..
 
Naona leo wadau wa jukwaa lao wanachungulia tu..mentor njoo uku utwambie mtakavo tangaza ubingwa baada ya mech ya liverpool..
Jaslaws ina maana hujaona mechi ya arsenal? Imetuweka bado kwenye ushindani wa kombe hilo. Hivyo hatuna wasiwasi sana. Anything is possible.
 
Last edited by a moderator:
KuWin League title unahitaj Strikers makin saaaaaana aisee, siyo misese ile iliyojazana pale Chelshit....Stoke City next weekEnd watakuja tu hapo Darajan, kutafuta droo Tu, so Tulieniiiiiii, Mengi mazuri yanakujaaa..
 
HAPA UMEJITAHIDI KUONGEA HOJA ZA MAANA KIDOGO.

KABLA YA MWANITESA UNITED KUMPATA MATA WAMEWAHI KUSAJILI KWA REKODI SEMA NDO ZIMEVUNJWA NA HUYO MATA. UNAKUMBUKA USAJILI WA RIO FERDINAND KUTOKA LEEDS UNITED?

RAHA YA SHABIKI WA MPIRA NI USHINDI NA MATAJI. SASA KAMA UMRI WANGU WOTE WA KUTAZAMA MPIRA LIVE. 1993-2014 TIMU YANGU CHELSEA FC IMEKUWA IKIFANYA VIZURI KWA NINI NIUMIE NA REKODI ZENU ZA MIAKA YA 1960? HAYO NAWAACHIA NYIE.

LEO HII TUNAFIKISHA POINTI 72. UBINGWA UNAKUJA WENYEWE WEST LONDON.(SW):nod::nod:



vipi mmefikisha hizo pt 72 leo???mpira hauchezwa kwenye keyboard....
 
kila mtu apambane ki-vyake vyake tu!

sisi jumamosi tunafikisha 72. Hakuna njia nyingine ni kushinda tu;
najua nyinyi LIVERPOOL pamoja na ARSENAL mtasidia sisi CHELSEA tupate ubingwa msimu huu.

mkimfunga MAN CITY mnatusaidia sisi.:nod:

jumamosi ya leo 29/03/2014 au jumamosi ijayo???
 
Mkuu Wacha1 wacha kujidanganya. Unazioa hizo picha mbili hapo kati? Zinaelezea everything Scholes said....Arsenal ya sasa haina wachezaji kama hao...HAINA! Na ni kwa sababu hiyo (in as much as natamani muwafunge man city..kwa manufaa yetu ofcourse) ninajua hamna uwezo huo kwa sasa.

Wenger hakutakiwa kumjibu Scholes kwa maneno...ila vitendo! :nod:

article-2592195-1CAC1B6900000578-970_636x440.jpg



Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


article-2592195-1CABC84300000578-853_634x404.jpg




Helping hand- Mourinyo helps a dejected Gary Cahill
onto his feet following Chelsick's defeat





article-2592195-1CABB4BE00000578-58_634x450.jpg




Error: Cech mate! speaks with Terry at the full-time
whistle after the defender's own goal lead to Chelsick's defeat



Vipi leo Romano kagoma kutoa mpunga kwa refa maana QPR wamewatoa nishai ... ..... ... nyie endeleeni kujidanganya hamna mpira bali ngawira ngoja Obama awafungie mkataba wa Crimea ndio mtapata akili nzuri .... .. khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
You guys, ilishakuwa proved kwamba timu yoyote inayoongoza Wakati wa kipindi cha Christmas ndo inakuwa bingwa. Mark my words Liverpool Lazima ichukue kombe mwaka huu 2013/14.
 
article-2592195-1CAB751700000578-739_634x470.jpg


Tor the Res and who won the oscar!
khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


article-2592195-1CAB57FC00000578-820_634x414.jpg




Victor: Crsytal Palace manager Tony Pulis barks orders
to his players during's Saturday's clash
 
Jaslaws ina maana hujaona mechi ya arsenal? Imetuweka bado kwenye ushindani wa kombe hilo. Hivyo hatuna wasiwasi sana. Anything is possible.
Hata Morinho leo alipohojiwa alisema bado kuna uwezekano mkubwa wa kupita but it depend hasa kwenye matokeo ya mechi za timu zingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom