Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

UBINGWA WA CHELSEA FC 2005:

UBINGWA huu ulikuwa na rekodi za ajabu sana; tulifikisha pointi 95 ambazo hakuna timu imewahi kufikisha katika mabingwa wote.:first:
Kijana kaja Kasi kweli! Hajui hii ni thread ya mabingwa! Yani huku kitu chochote akizungumza lazima apate majibu mujarabu!
 
Miaka 20 tu iliyopita:

Chelsea fc bingwa wa Winners Cup - 1997/98. tulishinda 1-0 goli la Giofranco "Franco" Zola #25.
Chelsea fc bingwa wa Uingereza: 2005.(ubingwa wenye rekodi ambazo hazijavunjwa na hazitavunjwa hata msimu huu)
Chelsea fc Bingwa wa uingereza: 2006.
Chelsea fc Bingwa wa Uingereza: 2010.
Chelsea fc bingwa wa Ulaya(UCL): 2012.
Chelsea fc bingwa wa Ulaya(europa league):2013.

NB: timu pekee kutoka London kuwa bingwa wa UCL.:nod::nod::nod::nod:

Mkuu Yani Huyo Kijana Wa Liverpool lazima akimbie!
 
Teh Teh Teh Teh Teh!

Kijana Naona umekuja na Kasi kweli!? Basi utumie lugha nzuri ili tufanye mijadala yenye tija!

Karibu sn! Tarehe 27 mwenzi ujao Ufanye maamdalizi mazuri!

Matus kwangu mwiko Mkuu....ila hii ratiba ya kukutana na big matches mwishon itatuumiza sn kuja anfield ni advntg nyingine
 
Poapoa..tuangane kwenye maombi ya pamoja man u ashinde

kila mtu apambane ki-vyake vyake tu!

sisi jumamosi tunafikisha 72. Hakuna njia nyingine ni kushinda tu;
najua nyinyi LIVERPOOL pamoja na ARSENAL mtasidia sisi CHELSEA tupate ubingwa msimu huu.

mkimfunga MAN CITY mnatusaidia sisi.:nod:
 
baada ya Arsenal kudraw jana amekuwa na point 63 huku everton akifikisha point 57 na game 1 mkononi...that means arsenal akipoteza mechi yq man city na pia anamechi na everton anaweza asimalize top four..the only way for arsenal is to get some point from Man city..
fingers crossed..
#KTBFFH
 
1947456_722325241159727_30795074_n.jpg
 
baada ya Arsenal kudraw jana amekuwa na point 63 huku everton akifikisha point 57 na game 1 mkononi...that means arsenal akipoteza mechi yq man city na pia anamechi na everton anaweza asimalize top four..the only way for arsenal is to get some point from Man city..
fingers crossed..
#KTBFFH

Kesho vs Crystal Palace; tutafikisha 72.

Huwa nacheka sana kila nikipitia Comments za Hawa Plastic fans wa ChelShiT waliojazana humu, Mr. Agost 8, nakubaliana na wewe kuwa Liverpool haijafanikiwa kuchukua League title yyte tangu iitwe PREMIER LEAGUE, imepita miaka 23 nadhan mpk sasa, lakin naomba na wewe ukumbuke kuwa ilipita miaka 50 mpaka ukaja kubeba league msimu wa 2004/2005, after a massive investment, lakin tunavyozungumzia ubabe wa kwenye league titles huna ubavu hata kidogo mbele ya hiyo Livepool, Man u, Arsenal, Aston villa, everton na sunderland, Records zinaonyesha tangu team yako imeanzishwa miaka ya 1900's mpaka sana imefanikiwa kubeba only 4 league titles, na kwa ujumla kabsa Una total ya makombe 26 tu ukijumlsha kwa mashindano yte uliyoshiriki, Liverpool wana 60, Man U wana 62, Arsenal wana 39, na ndo maana hata ufanyaje Man u na Liverpool zitabakia kuwa team KUBWA na Zenye MAFANIKIO zaidi locally and international pale Uingereza, ikifatiwa na Arsenal, ambayo naweza nkasema umeipta kidogo internationaly, but locally Arsenal anabakia kuwa BABA ako hata ufanyaje..Na ndiyo Mlitupa MOSES kwa mkopo lakin ameshindwa kufurukuta mbele ya Mtoto mdg kutoka Academy Raheem Sterling, Na team yoyote ile Kubwa lazima iwe na HAZINA kubwa sana ya Vijana wadogo kutoka Academy, Ambao wanaweza wakapandshwa team kubwa na wakaperform, Kwa mfano liverpool kuna kina Gerrard, Carragher, owen, na sasa ni Raheem, Flanagan, Suso, Brad Smith, Martin Kelly and many more, Arsenal wapo kina Wilshere, Zelalem Na wengne kibao, Madrid wapo kina morata, jesse rodriguez, Varane na wengneo, Barcelona ndo usiseme aisee, Lakin ChelShit nahis tangu atokee JT sijaona mwingne bado aisee...Mnategemea kuspend BIG kwa baadh ya wachezaj ambao kwa team nyngne wangenunuliwa kwa bei ya kawaida sana...Huwa najiulza
 
........Hivi kwa Willian mlivyospend BIG kias kile, kwa mtu kama Suarez mngespend kias gan??!..ikiwa tu Flop Torres mlitoa almost £50 Million...??????
 
Miaka 20 tu iliyopita:

Chelsea fc bingwa wa Winners Cup - 1997/98. tulishinda 1-0 goli la Giofranco "Franco" Zola #25.
Chelsea fc bingwa wa Uingereza: 2005.(ubingwa wenye rekodi ambazo hazijavunjwa na hazitavunjwa hata msimu huu)
Chelsea fc Bingwa wa uingereza: 2006.
Chelsea fc Bingwa wa Uingereza: 2010.
Chelsea fc bingwa wa Ulaya(UCL): 2012.
Chelsea fc bingwa wa Ulaya(europa league):2013.

NB: timu pekee kutoka London kuwa bingwa wa UCL.:nod::nod::nod::nod:

miaka 20 makombe sita. mmejitahidi sana. Ila ukilinganisha Chelsea na Liverpool kwa vikombe naona utakuwa unaji-expose,ni dunia mbili tofauti.
 
CHELSEA FC..
for the last 20 years..

four league titles , 4
seven FA Cups , 7
four League Cups 4
four FA Community Shields 4,
two UEFA Cup Winners' Cups 2 ,
one UEFA Super Cup 1,
one UEFA Europa League 1,
one UEFA Champions League 1,
Chelsea are the only London club to win the
UEFA Champions League,
and one of four clubs, and the only British club, to have won all three main UEFA club competitions.

Liverpool Fc
2 fa cups
4 league cups
2 community shields
1 Ucl
1 Europa league
1 champions league
2 uefa super cup..
 
Huwa nacheka sana kila nikipitia Comments za Hawa Plastic fans wa ChelShiT waliojazana humu, Mr. Agost 8, nakubaliana na wewe kuwa Liverpool haijafanikiwa kuchukua League title yyte tangu iitwe PREMIER LEAGUE, imepita miaka 23 nadhan mpk sasa, lakin naomba na wewe ukumbuke kuwa ilipita miaka 50 mpaka ukaja kubeba league msimu wa 2004/2005, after a massive investment, lakin tunavyozungumzia ubabe wa kwenye league titles huna ubavu hata kidogo mbele ya hiyo Livepool, Man u, Arsenal, Aston villa, everton na sunderland, Records zinaonyesha tangu team yako imeanzishwa miaka ya 1900's mpaka sana imefanikiwa kubeba only 4 league titles, na kwa ujumla kabsa Una total ya makombe 26 tu ukijumlsha kwa mashindano yte uliyoshiriki, Liverpool wana 60, Man U wana 62, Arsenal wana 39, na ndo maana hata ufanyaje Man u na Liverpool zitabakia kuwa team KUBWA na Zenye MAFANIKIO zaidi locally and international pale Uingereza, ikifatiwa na Arsenal, ambayo naweza nkasema umeipta kidogo internationaly, but locally Arsenal anabakia kuwa BABA ako hata ufanyaje..Na ndiyo Mlitupa MOSES kwa mkopo lakin ameshindwa kufurukuta mbele ya Mtoto mdg kutoka Academy Raheem Sterling, Na team yoyote ile Kubwa lazima iwe na HAZINA kubwa sana ya Vijana wadogo kutoka Academy, Ambao wanaweza wakapandshwa team kubwa na wakaperform, Kwa mfano liverpool kuna kina Gerrard, Carragher, owen, na sasa ni Raheem, Flanagan, Suso, Brad Smith, Martin Kelly and many more, Arsenal wapo kina Wilshere, Zelalem Na wengne kibao, Madrid wapo kina morata, jesse rodriguez, Varane na wengneo, Barcelona ndo usiseme aisee, Lakin ChelShit nahis tangu atokee JT sijaona mwingne bado aisee...Mnategemea kuspend BIG kwa baadh ya wachezaj ambao kwa team nyngne wangenunuliwa kwa bei ya kawaida sana...Huwa najiulza

ubabe kwenye historia hatuna ila uwanjani upo...
 
nyie mnaubabe upi kwa Liverpool MKUU hembu bwaga hapa jamvini huo ubabe basi.

kuanzia Chelsea na Liverpool zinakutana kwa Mara ya kwanza
 
........Hivi kwa Willian mlivyospend BIG kias kile, kwa mtu kama Suarez mngespend kias gan??!..ikiwa tu Flop Torres mlitoa almost £50 Million...??????

Torres alikuwa hot cake wakati ananunuliwa ...angekuwa flop chelsea wasingetoa hizo 50 m..
Suarez sasa ni hot cake sishangai km akiuzwa kwa zaidi ya 80mls..
unamkumbuka Andy Carroll mlimnunua kwa Sh ngapi..?35 milns..hivi unakumbuka hata magoli aliyofunga?Roby Kean je?...Aquilani...?
flop wanatokeaga kila timu...sio Chelsea peke yake
 
nyie mnaubabe upi kwa Liverpool MKUU hembu bwaga hapa jamvini huo ubabe basi.

kuanzia Chelsea na Liverpool zinakutana kwa Mara ya kwanza

hizo stori za kuanzia mara ya kwanza ndo historia zenyewe...wewe subiri uwanjani mbabe aonekane..
 
ubabe kwenye historia hatuna ila uwanjani upo...

nyie mnaubabe upi kwa Liverpool MKUU hembu bwaga hapa jamvini huo ubabe basi.

kuanzia Chelsea na Liverpool zinakutana kwa Mara ya kwanza
 
nyie mnaubabe upi kwa Liverpool MKUU hembu bwaga hapa jamvini huo ubabe basi.

kuanzia Chelsea na Liverpool zinakutana kwa Mara ya kwanza

hizo stori za kuanzia mara ya kwanza ndo
historia zenyewe...wewe subiri uwanjani
mbabe aonekane..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom