Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Namtafuta Peas of ants khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Ni vizuri tumekuona tena ukiwa hai. You went into hiding after we spanked your fat ar$e six times. Au unanitafuta nikupige bao nyingine za nguvu? Ina maana sita hazikuchoshi bado? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
 
Kama nawaona watu wa jukwaa hili mnavotuombe mabaya liverpool.
 
Waandishi wetu makanjanja wamefasiri Mourihno alipohojiwa kuwa Chelsea walipungikiwa na nini kwenye mechi ya jana na akajibu"balls"ikafasiriwa na makanjanja wetu kuwa alikuwa na maana mipira. Kwa wanaojua kiingereza balls hapo ina maana mapumbu kwa maana ya ujasiri.Ndiyo iliyosababisha Mourihno kutotamka bali kuandika kwenye karatasi.
 
Jamani ndugu yangu Ntuzu yupo kweli? Ana hali gani?

Huyu ndugu yako amealikwa na Molinyo kwenda kujitayarisha kupokea kombe la "We are the champion" baada ya mechi baina yao na No-witch.

Bana, dugu yako imepata mshituko na bonge la shinikizo la damu iliyochanganyika na maji baada ya CP kupunguza vuvuzela la manager Mori-nyoo. Ukifika Muhumbili kitengo cha MOI utaiuta Ntunzu huko. Madaktari wataalamu wa kinywa,koo na sauti wanajaribu kumrudishia sauti iliyopotea baada ya mechi na timu laini ya CP.

Hali yake inatengemaa na karibuni atarudi hapa kuwapa burudani.
 
Wakuu mi nipo Nimemfunga na wimbo wng huo huo Wa Mimi Au Sisi ni mabingwa!
 
1620718_994657333907816_1568080669_n.jpg
 
Waandishi wetu makanjanja wamefasiri Mourihno alipohojiwa kuwa Chelsea walipungikiwa na nini kwenye mechi ya jana na akajibu"balls"ikafasiriwa na makanjanja wetu kuwa alikuwa na maana mipira. Kwa wanaojua kiingereza balls hapo ina maana mapumbu kwa maana ya ujasiri.Ndiyo iliyosababisha Mourihno kutotamka bali kuandika kwenye karatasi.
hakutaka aonekane Kama ametukana kwenye kioo cha jamii kwahiyo katumia akili ya kuandika kwenye karatasi baadae ndio kuonyeshwa magazetini kwamba hawakuwa na ujasiri na hapa kidogo ndio inamfanya Morinho anajuwa ku deal na wachezaji anapenda Yule mjasiri kwenye game mtu ukiweka mguu unauwezo wa kuweka kichwa au uso upigwe na njumu sio unaogopa nywele kuchafuka Kama Ntuzu.
 
Teh Teh Teh Teh!
 
Invisible,
Tunaomba uwafungulie member wenzako wote wa hili jukwaa ambao uliwapa ban baada ya John Terry kumfunga Petr Cech
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom