Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

10151223_751319608236181_1447430076_n.jpg



1979481_996858423687707_1435596053_n.jpg


10168131_996576920382524_76220427_n.jpg
 
walio simama
di mateo,leebouf,desaily,poyet na ed goey
walio chuchuma.
wear,merchiot,didier deschamps,captain wise,babayaro na skills master giafranco zora...daaaa kitambo sana hawa watu.1997-2003.

Kipindi hicho amna hata kikombe cha kunywea maji kudadadeki.
 
Ibrakadabra lazima amzibe mdomo mzaramo mourinho usiku wa leo
 
Kipindi hicho amna hata kikombe cha kunywea maji kudadadeki.

ha ha ha haaaa,kawaida tu kwani hata azam walianza hivyo nao wanaelekea kwenye ubingwa..
sasa hivi tuna mabeseni sio vikombe tena.....
 
Humu ndani nasikia kumenuka dakika ya nne tu ya mchezo!

"Nlikuwepo":bolt:
 
Nimekaa nikafikri vizimbuzi vyangu vitanionyesha The Blues kumbe RM Vs DOR. Mnaoona huko vipi? Tuunganisheni moja kwa moja huko
 
Mbona kimya humu?

Dah washabiki wa darajani wakifunga hii penati watarudi kwa nguvu hapa
 
Hazard anasawazisha kwa Penalt saaafi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwakuwa mimi ni mpenzi wa EPL naombea mtani wangu apite atleast tuwakilishe semi final league yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom