Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mnaniangusha aisee...mnataka kuwapa kombe Shitty na Loserfools hivi hivi....

Kazeni, mpate hata droo...
 
Haya,mabingwa wanaziacha point tatu hapa.Tumuone city nae itakuwaje.
Ahsanteni Chelsea,tulikuwepo na sasa tunahama jukwaa.

"Nlikuwepo":bolt:
 
U have no where to stand on... u loved the colour of the club kits ful stop ..in case chelsea wakibadili jersey colour,na wew ushabiki wako kwa chelsea unaishia hapohapo thts wat u mean.ur just rubberfan..

So what makes of you? Kwanini unashabikia timu unayoishabikia?

Jiulize kama mashabiki wa ile timu inayokuwa owned na somebody Tan walihama timu baadabya yeye kuja na kubadili jezi from blue to red.

Always...siku zote kuna kasababu kamoja kalikokufanya uwe na interest na timu yako...overtime as you got to know the team ukajikuta kuna mengi ya zaidi.

Simple mfano ni unapokutana na binti...huanzi kumpenda kila kitu (kwa sababu ukweli ni hujui kila kitu abt her) kuna kitu kimoja...kilikuvutia juu yake with time ukaja kumfahamu zaidi ukampenda zaidi.

I really wonder why am having this argument with you...but anyway i just answered you. Una cha zaidi? Haya nijibu maswali yangu ewe TRUE fan....
 
jose_mourinho__mana_210478c.jpg
 
mkuu we ni wa wapi, hivi unajua arsenal leo ndio anacheza na shitty? sasa atafaidikaje hapo arsenal.sana sana ajitahidi kupunguza goli ziwe angalao nne.
Atakaefaidika weekend hii ni Arsenal.
City na Liverpool wote watafungwa
 
mkuu we ni wa wapi, hivi unajua arsenal leo ndio anacheza na shitty? sasa atafaidikaje hapo arsenal.sana sana ajitahidi kupunguza goli ziwe angalao nne.
Mkuu mimi ni wa hapahapa Kibera
Arsenal atamfunga City.
Liverpool atafungwa na Totenham.
Chelsea keshabanjuliwa. (ingawa watu walisema C. Palace atapewa dozi)
Weekend hii atakayefaidika ni Arsenal
 
Poleni sana ndg zangu Ntuzu na pachanya...najua leo mmeumia sana, lakini mnabidi myapokee ni hali halisi. Hata aseno waliumia sana mlipo wabebesha ule mzigo wa 6-0.
 
Last edited by a moderator:
Liver ns man city ndo walobaki kwenye mbio za ubingwa nspna wasindikiza moja baada ya mwingine wanajiondoa..YNWA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom