Huwa nacheka sana kila nikipitia Comments za Hawa Plastic fans wa ChelShiT waliojazana humu, Mr. Agost 8, nakubaliana na wewe kuwa Liverpool haijafanikiwa kuchukua League title yyte tangu iitwe PREMIER LEAGUE, imepita miaka 23 nadhan mpk sasa, lakin naomba na wewe ukumbuke kuwa ilipita miaka 50 mpaka ukaja kubeba league msimu wa 2004/2005, after a massive investment, lakin tunavyozungumzia ubabe wa kwenye league titles huna ubavu hata kidogo mbele ya hiyo Livepool, Man u, Arsenal, Aston villa, everton na sunderland, Records zinaonyesha tangu team yako imeanzishwa miaka ya 1900's mpaka sana imefanikiwa kubeba only 4 league titles, na kwa ujumla kabsa Una total ya makombe 26 tu ukijumlsha kwa mashindano yte uliyoshiriki, Liverpool wana 60, Man U wana 62, Arsenal wana 39, na ndo maana hata ufanyaje Man u na Liverpool zitabakia kuwa team KUBWA na Zenye MAFANIKIO zaidi locally and international pale Uingereza, ikifatiwa na Arsenal, ambayo naweza nkasema umeipta kidogo internationaly, but locally Arsenal anabakia kuwa BABA ako hata ufanyaje..Na ndiyo Mlitupa MOSES kwa mkopo lakin ameshindwa kufurukuta mbele ya Mtoto mdg kutoka Academy Raheem Sterling, Na team yoyote ile Kubwa lazima iwe na HAZINA kubwa sana ya Vijana wadogo kutoka Academy, Ambao wanaweza wakapandshwa team kubwa na wakaperform, Kwa mfano liverpool kuna kina Gerrard, Carragher, owen, na sasa ni Raheem, Flanagan, Suso, Brad Smith, Martin Kelly and many more, Arsenal wapo kina Wilshere, Zelalem Na wengne kibao, Madrid wapo kina morata, jesse rodriguez, Varane na wengneo, Barcelona ndo usiseme aisee, Lakin ChelShit nahis tangu atokee JT sijaona mwingne bado aisee...Mnategemea kuspend BIG kwa baadh ya wachezaj ambao kwa team nyngne wangenunuliwa kwa bei ya kawaida sana...Huwa najiulza