Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
tulipigwa 2-1 tukiwa na wakubwa nje... Gerro, Sturridge, Johnson, Agger, etc
Tena mlitumia ile mbinu ya faulo za kimyakimya, siku hizi hizo hakuna... mtapigwa tu
kuhusu kusema hamna timu ya kimfunga asenane, mkuu naomba uonyeshe wapi nimesema... maana huwa sicooment sana kuhusu soka hasa kwenye thread zenu
Haya mkuu hold on to your words si mbali sana nitakuomba uyatamke tena.
I believe in Chelsea and the special happy one.
Kama kwako Agger, Sturridge (chelsea reject) na johnson ni wakubwa wa timu yenu then i fear for the beating you will receive come that day.
Wait a minute uliona jinsi Johnson alivokuwa akipitwa na madogo wa Cardiff jana, huyo Agger alivopewa shida na kale ka Campbell honestly unadhani wanaweza kumkaba nani kwenye forwards za Chelsea? Maana hata akiwekwa T. Kalas hiyo siku nahisi atawatoka tu.
Pata picha Per na Kos walivyopata shida kutuzuia jana unitajie kikosi kitakachoipa shida Chelsea.
Ila kama lengo lako ni ushabiki then HAKUNA TIMU EUROPE YENYE UWEZO WA KUMFUNGA LIVERPOOL. #HAPPY ????!