Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
![]()
We will bounce back, we aren't Manure ... .... ..... COYG
Mkuu Wacha1 wacha kujidanganya. Unazioa hizo picha mbili hapo kati? Zinaelezea everything Scholes said....Arsenal ya sasa haina wachezaji kama hao...HAINA! Na ni kwa sababu hiyo (in as much as natamani muwafunge man city..kwa manufaa yetu ofcourse) ninajua hamna uwezo huo kwa sasa.
Wenger hakutakiwa kumjibu Scholes kwa maneno...ila vitendo! :nod:
Last edited by a moderator: