Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 720
- 1,314
Mashabiki wa THE BLUES tuna matatizo sana, timu ikifanya vizuri inakoselewa, timu ikifungwa inakoselewa (CHUKI CHUKI KWA KILA KITU).
Mpira ni burudani, ushabiki ni burudani hakuna haja ya ushabiki wa CHUKI na uchambuzi wa CHUKI. Mpira ni furaha
Ndio maana binafsi nachambua mpira kiburudani, natoa comments za burudani, utani wa hapa na pale sote tufurahi maisha yasonge mbele.
Ndio wote tunafahamu nyakati ngumu THE BLUES tunapitia sio kigezo cha kueneza CHUKI miongoni mwetu na timu yetu.