Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ladies and gentlemen hebu muangalieni Gallagher

AUZWE ASIUZWE KIANGAZI

Mimi kwa maoni yangu
Hapo zamani za kale, nilikuwa namfagilia sana Gallagher lakini kwa matukio machache niliyoyaona akihangaika kupeleka mpira kwa mabeki nilijisemea hapana tena kwa Gallagher, auzwe tu dirisha la kiangazi. Tunahitaji mchezaji mbunifu hapo kwenye na.10 sio Gallagher

View attachment 2909712
Niliwahi kusema ni mchezaji gani tuliyenae anaweza kupiga pass nyingi kwa usahihi aidha CM au AM. Huyu Gallagher tutamlaumu bure ila anahitaji kupandisha kiwango chake na akue zaidi kuacha mistakes ndogondogo kama hizi. Upigaji wa pass bado sio mzuri, kudrible bado. Ufanisi bado yuko chini.
 
Uwezo wa Gallagher ndio umefika mwisho, kiwango chake hakiwezi kupanda zaidi ya hapo na kikipanda zaidi ya hapo kitakochofuata ni mishipa ya moyo wake kupasuka.

Gallagher uwezo wake upo kwenye nguvu sio akili. WWE ingemfaa sana
 
Mpaka kufikia hapo untouchable amefanya kazi kubwa sana, ukisema aongeze ni kumtakia ajali kubwa
Watu wanaoweza kukua ni akina Chukwu na Palmer, kijana bwana mdogo Kendry Paez anakuja July 2025, usisahau pia tunaye Angelo Gabriel, hao wawili ni natural players sio wa kulazimisha kama Gallagher. Tusifanye haraka kwenye hayo ameneo
 
Mkuu sasa tunaelewana
Mkuu tuelewane tusielewane bado Poche ni kocha mbovu. Hakuna mtu anayekataa kuwa Matajiri walifanya makosa makubwa kwa policy yao uchwara wa kutosajili wachezaji beyond 25yrs lakini hata hivyo wamejitahidi kutuletea watoto wazuri ambao wakiwa chini ya kocha mzuri hatutakosa Conference league angalau kwa misimu miwili tukiwasubiri hao watoto wakue. That is the point
 
Na wewe nakuona mwepesi sana wa moyo, Livakuku ingekuwa ndio hiyo inapitia inayopitia Chelsea wewe ungeshajizima data kitambo
Liverpool ya msimu jana hukuiona ustadh?
Ama wajizima data 😁
 
Uwezo wa Gallagher ndio umefika mwisho, kiwango chake hakiwezi kupanda zaidi ya hapo na kikipanda zaidi ya hapo kitakochofuata ni mishipa ya moyo wake kupasuka.

Gallagher uwezo wake upo kwenye nguvu sio akili. WWE ingemfaa sana
Huyu Galagher naye naanza kumuona ni mchezaji wa timu ndogo au average teams. Yan anataka timu ambazo hazina pressure kubwa acheze a relax ndio uraona kiwango chake. Angalia sasa hivi Barkley anavyokiwasha huko, muangalie RLC, muangalie huyu Galagher alipokuwa Crystal Palace
 
chelsea namwonea huruma anaenda kula nne nyingine tena jumapili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom