Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea baada ya mechi 22 msimu uliopita:
nafasi ya 10,
pointi 31,
GD 1.

Chelsea baada ya michezo 22 msimu huu:
nafasi ya 10,
pointi 31,
GD 1.

Lakini watu wanasema Pochettino ameiboresha timu.
 
Lionel Messi akiwa na PSG ndani ya misimu miwili kacheza mechi 75 kafunga magoli 32, katoa assist 34 yan ndani ya mechi 75 kahusika kwenye magoli 66. Katika hiyo misimu miwili kabeba ubingwa na ligi ya Ufaransa.

Mnamuongelea Messi gani nyie? Au huu mpira huwa mnativii yenu yakuangalizia.
Wakati wa Pochettino Messi alifunga goli 6 msimu mzima, Messi alikuja kufunga goli 16 mwaka uliofuata baada ya Pochettino kutimuliwa
Sababu kuu za Pochettino kufukuzwa
  1. Kukosi itifaki nzuri ya mawasiliano na wachezaji vingunge hiyo ikapelekea yeye na Messi kutoelewana
  2. Performance mbaya kwenye UCL
  3. Kukosa ukatili wakati wa kushambulia udhaifu ambao hata hapa Chelsea ndio kauleta
  4. Kuwa na ,matokeo mabaya kwenye mechi za away, udhaifu huo huo ndio tunauona hapa Chelsea
Hizo sababu nne pamoja na mengine ndio iliyosum up akatimuliwa PSG ndani ya mwaka mmoja
 
Hayo magoli 6 alifunga kwenye lakini alitoa assist 14 lakini kwenye UEFA alifunga goli 5. Kiukweli hakuwa na msimu mbaya kama ambavyo wengi mnataka kuainisha hapa. Kuhusu kutokuelewana nashindwa kuelewa yan Messi Mu Argentina na ndio captain timu ya taifa, Pochetino naye ni Mu Argentina yan aelewane na kina Mbappe ashindwe kuelewana na Messi?🤔
 
LADDER49...png
 
Hawezi kuwa sawa, kuna timu anaiwaza sana pale mitaa ya London
Bado hamjamsamehe kwa kuwatosa ndio mana, Fungueni mioyo mtoto wa watu aweze hata kucheza, mungu anasema samehe 7 mara 70. Msameheni mtoto wa watu.
 
Hayo magoli 6 alifunga kwenye lakini alitoa assist 14 lakini kwenye UEFA alifunga goli 5. Kiukweli hakuwa na msimu mbaya kama ambavyo wengi mnataka kuainisha hapa. Kuhusu kutokuelewana nashindwa kuelewa yan Messi Mu Argentina na ndio captain timu ya taifa, Pochetino naye ni Mu Argentina yan aelewane na kina Mbappe ashindwe kuelewana na Messi?🤔
Kuna points hutaki kabisa kuzisoma kwenye comments zangu kwa sababu ya mahaba yako kwa Poche
Mfumo mbovu wa Poche haukumpa Mesi fursa ya kupewa huduma, hata hizo goli sita kafunga kwa juhudi zake
Soma sababu za Poche kufukuzwa PSG na nadhani ndio hizo hizo alifukuzwa nazo Spurs na sasa katuletea Chelsea ugonjwa huo huo.

Kuwa na msimu mzuri PSG asingetimuliwa, alidrop form ya wachezaji wengi akiwemo Mesi. Kubeba hivyo vikombe viwili ni kwa saabu kakuta timu yenye wachezaji tallented, experienced na wako na juhudi zao binafsi.
 
Poleni kwa kipigo ndugu zangu.View attachment 2890395
Na huyu je, kakataa terms za kuvunja mkataba kwa sababu mshahara wa bure umekuwa mtamu sana
Malang Sarr alisaini mkataba wa miaka 5 / wa dhamani ya £31,200,000 July 2023 na Chelsea F.C wenye wastani wa mshahara wa £6,240,000 kwa mwaka. Mkataba wake utaisha tarehe 30 Juni 2028. Anapokea wastani wa £120,000 kila wiki
1706843903603.png
 
Kuna points hutaki kabisa kuzisoma kwenye comments zangu kwa sababu ya mahaba yako kwa Poche
Mfumo mbovu wa Poche haukumpa Mesi fursa ya kupewa huduma, hata hizo goli sita kafunga kwa juhudi zake
Soma sababu za Poche kufukuzwa PSG na nadhani ndio hizo hizo alifukuzwa nazo Spurs na sasa katuletea Chelsea ugonjwa huo huo.

Kuwa na msimu mzuri PSG asingetimuliwa, alidrop form ya wachezaji wengi akiwemo Mesi. Kubeba hivyo vikombe viwili ni kwa saabu kakuta timu yenye wachezaji tallented, experienced na wako na juhudi zao binafsi.
Mkuu kwenye hili swala nadhani hatujaelewana mlengo wetu. Hakuna sehemu nilisema Poche ni perfect 100% ana mapungufu yake lakini ambacho mimi nawakatalia mnaaamini Poch peke yake ndio tatizo, hapo ndio tunapopishana tu. Tuna wachezaji average na hawana mapenzi na timu ndio wanatufelisha pakubwa. Lakini mwisho wa siku kocha ndio atatupiwa lawama tu.

Kuhusu sababu za kocha kutimuliwa miaka yote ndio hizohizo kwenye club zote. Tuchel watasema hakuelewana na mabosi lakini ilianza kusemwa namna ya uchezaji na mifumo imebadilika.
 
Unahisi matatizo mengine ni yapi yanayofanya tusipate matokeo?
 
Nashukuru unaaza kukubaliana nasi kuwa Poche ni average coach, kocha elite hana hayo madhaifu kwenye level ya kufanya timu icheze vibaya
PEP na Klopp kwa mfano wangekuwa na hayo madhaifu wangeshatimuliwa muda mrefu
Klopp anaondoka Liverpool kwa heshima zake
PEP naye ataondoka Liverpool kwa heshima zake

Hakua mtu aliyesema Poche ndie tatizo pekee
Wanaosababisha Chelsea isiperform vizuri
  1. Pochettino (kukosa mbinu, kutojali, ubaguzi wa wachezaji, mawasiliano mabovu, hotuba mbovu mbovu kwenye press, kuto address individual issues za wachezaji, nk) -75%
  2. Uchanga na kukosa uzoefu wa wachezaji 15%
  3. Madhaifu ya Uongozi - 10%
  4. Majeruhi - 10%
 
Mbona huko nyuma nimeshaeleza lakini mkawa mnaruka points zangu kwa kuhisi namtetea tu Poch. Matatizo yapo kwa wachezaji, Uongozi, madaktari wa timu na bench. Tutaendelea kuyachambua haya kwa undani sahivi muda wa kwenda kibaruani
 
Wakati Klopp anaingia Liverpool alibadilisha wachezaji aliowakuta ndani ya misimu miwili akawa na kikosi kipya, same kwa Pep yeye msimu wa pili tu mpaka akatengeneza video kusema anataka kufanya usajili na ulifanyika usajili kweli ndio maana leo tunawaona wako hivi. Wanaweza kuibua wachezaji wapya kwa sababu tayari wana ile 1st eleven tayari kinachofanyika ni maingizo madogo madogo ndio maana kwao inakua rahisi.

Poch ndio kwanza ana msimu mmoja na kikosi kichanga tena chenye michezaji mizigo. Tayari pressure ishakua kubwa. Akiwa Spurs ali manage kikosi chenye average age ya miaka 24. Kina Harry Kane, Ericsen, Eric Dier, Dele Alli ni kati wachezaji walioendelezwa vyema na Poch
 
Matatizo ya wachezaji ni yapi?

Spurs walikuwa na majeruhi wengi wa kikosi cha kwanza ila matokeo walikuwa wanayapata,Huwezi laumu madaktar kwa issue za injury,

Hayo matatizo mengine ni minor, Ila tunapokuja swala la uwanjani Kocha ndie anawajibika wachezaji wanafata maelekezo ya kocha na simaelekezo yao
IMG_1684.jpg
 
Wakati Klopp anaingia Liverpool alibadilisha wachezaji aliowakuta ndani ya misimu miwili akawa na kikosi kipya, same kwa Pep yeye msimu wa pili tu mpaka akatengeneza video kusema anataka kufanya usajili na ulifanyika usajili kweli ndio maana leo tunawaona wako hivi. Wanaweza kuibua wachezaji wapya kwa sababu tayari wana ile 1st eleven tayari kinachofanyika ni maingizo madogo madogo ndio maana kwao inakua rahisi.

Poch ndio kwanza ana msimu mmoja na kikosi kichanga tena chenye michezaji mizigo. Tayari pressure ishakua kubwa. Akiwa Spurs ali manage kikosi chenye average age ya miaka 24. Kina Harry Kane, Ericsen, Eric Dier, Dele Alli ni kati wachezaji walioendelezwa vyema na Poch

Wachezaji wapi Mizigo,
 
Hata kabla hajabadilisha Liverpool ilikuwa haishiki namba 10-12
Alibadilisha ili abebe UCL na EPL nk
Poche haonyeshi dalili hata ya kuboresha timu
Akibadilishiwa kama Klopp ataishia namba 9 au 8 (midtable team from a midtable manager)
 
Matatizo ya wachezaji ni yapi?

Spurs walikuwa na majeruhi wengi wa kikosi cha kwanza ila matokeo walikuwa wanayapata,Huwezi laumu madaktar kwa issue za injury,

Hayo matatizo mengine ni minor, Ila tunapokuja swala la uwanjani Kocha ndie anawajibika wachezaji wanafata maelekezo ya kocha na simaelekezo yaoView attachment 2891359
NDugu acha kukariri mpira. Mpira ni science lazima ufuate taratibu kufikia lengo fulani. Huyu Pulisic aliyekua anatoka anachechemea kila baada ya mechi 3 leo hii ni mchezaji tegemeo kule Milan ndani ya nusu msimu keshachangia magoli ambayo kwa huku Chelsea alikua anachangia msimu mzima. Ruben Loftus Cheek kila mechi anaanza kule. Kwanini huku majeruhi ni walewale kila msimu. James, Chilwell, Fofana na ni majeruhi wanakaa muda mrefu.

Hili hambo huwezi lipuuzia kwa sababu hawa ni watumishi kwa hiyo ni expenses kwa timu
 
Football ni science hakuna kinachojificha kama kila

Usifananishe kihivyo mkuu, Serie A na EPL tofauti. Mwenzako katoa mfano wa Spurs ambayo inacheza EPL. Na hata kule Serie A, pulisic ni yule yule wa mabao 6 hadi 8. kwa vile ligi dhaifu anaweza akajitahisi akafikisha goli 10 kwa msimu. Sasa hapo kaongeza nini?
Tusifuike madhaifu ya kocha kwa sababu ya mahaba. Udhaifu wa timu kwa sehemu kubwa umechangiwa kwa kocha kutokuwa na mbinu za kushindca
Hawezi kujenga agressivenns kule mbele
Jinsi anavyowasilisha maelekezpo yake kwa wachezaji inaoekana wazi ina tatizo
Haya matatizo ndio alifukuzwa kwayo kule PSG
Hata mumrembe harembeki
Tunaweza kubaki naye ila Chelsea completely itarudi kuwa kama Palace na akina Westham ambazo zikibaki EPL ndio kombe lao hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom