Tunapotofautiana mimi na nyie ni upotoshaji.Point namba 3 nilisema kabisa wakat wa Halftime hatuna gap tunaloliacha,Hii approach tulitumia dhidi ya Villa FA Cup replay
Kinachonishangaza Poch game zinazokuja huwa hatumii hiv utaluwa tunaacha nafas kubwa kati ya mabeki na viungo na viungo na washambuliak
Mfano dhidi ya Wolves, tunaongoza kumiliki mpira, tumepiga on target za kutosha, pass tunawazidi, lakini nini kinaturudisha nyuma kufungwa magoli manne. Jibu nimekupa post ya juuMbinu anazoingia nazo huwa sizo.
Jiulize why msim huu tunastruggle sana dhid ya low block team au huwa hamuangalii mpira??
Tunapotofautiana mimi na nyie ni upotoshaji.
Hakuna taaluma ya ukocha duniani kote inayofundisha mfumo wa kuacha gap kati ushambuliaji na viungo au viungo na mabeki. HAKUNA. Isipokuwa kinachotokea kama ikifika hatua hiyo ni wachezaji wenyewe kujisahau na sio mfumo wa kocha. Unachokiona kwa Chelsea ni aina wachezaji tulionao hasa kwa Enzo na Gallagher hawa ni CM lakini wana nature ya attacking minded hasa wote wanapokua wamepanda ikitokea tunashambuliwa inakua changamoto kufanya transition ndio maana Caicedo analaumiwa sometimes coz most time anajikuta yuko peke yake.
Mfano game dhidi ya Aston Villa Enzo hakuwa anapanda na ilichezwa double pivot ya Enzo na Caicedo ndio maana hukuwa unaona hayo magap kama mechi nyingine za nyuma.
Pumzi ya moto na tukanyimwa Cooling beak refa hakuwa fairDk za mwisho mlipelekewa pumzi ya moto mpaka nikahisi mtaachia![]()

Sijui mlivuta bangi ya wapi janaPumzi ya moto na tukanyimwa Cooling beak refa hakuwa fair![]()
Hahahaha jana tulicheza kama bingwa mwenye UCL - 2 kabatini.Sijui mlivuta bangi ya wapi jana
Kwa uchezaji wa jana nahisi tunatakiwa tusajili DM ambaye atatulia nyuma kuwalinda back four then CAICEDO na ENZO watembee na ball.Mfano dhidi ya Wolves, tunaongoza kumiliki mpira, tumepiga on target za kutosha, pass tunawazidi, lakini nini kinaturudisha nyuma kufungwa magoli manne. Jibu nimekupa post ya juu
Inawezekana tunaangalia mpira wote ila namna ya kuutafsiri tunatofautiana.
Wewe ndie unapotosha tena bila kuwa na clue ya dynamics za soka. Kocha anatakiwa kutoa maagizo nje na ndani ya uwanja mtu kama hatii maagizo weka pembeni. Sijui hii notion ya kwamba wachezaji ndio wanajiamulia umeitoa wapi. Hiyo timu ambayo wachezaji wanaenda kinyume na maagizo ya kocha labda ni hizi za makapurwa wa karioakoo au mwembechai au huku kwetu Unga ltd na ngarenaroTunapotofautiana mimi na nyie ni upotoshaji.
Hakuna taaluma ya ukocha duniani kote inayofundisha mfumo wa kuacha gap kati ushambuliaji na viungo au viungo na mabeki. HAKUNA. Isipokuwa kinachotokea kama ikifika hatua hiyo ni wachezaji wenyewe kujisahau na sio mfumo wa kocha. Unachokiona kwa Chelsea ni aina wachezaji tulionao hasa kwa Enzo na Gallagher hawa ni CM lakini wana nature ya attacking minded hasa wote wanapokua wamepanda ikitokea tunashambuliwa inakua changamoto kufanya transition ndio maana Caicedo analaumiwa sometimes coz most time anajikuta yuko peke yake.
Mfano game dhidi ya Aston Villa Enzo hakuwa anapanda na ilichezwa double pivot ya Enzo na Caicedo ndio maana hukuwa unaona hayo magap kama mechi nyingine za nyuma.
Huyo jamaa anaandikaga vitu kulingana na uwezo wake mdogo wa kufikiri, naonaga mnapotezaga muda kubishana nae.Wewe ndie unapotosha tena bila kuwa na clue ya dynamics za soka. Kocha anatakiwa kutoa maagizo nje na ndani ya uwanja mtu kama hatii maagizo weka pembeni. Sijui hii notion ya kwamba wachezaji ndio wanajiamulia umeitoa wapi. Hiyo time ambayo wachezaji wanaenda kinyume na maagizo ya kocha labda ni hizi za makapurwa wa karioakoo au mwenyechai au huku kwetu Unga ltd na ngarenaro
Halafu jamaa confidently kabisa anawasingizia wachezaji ambao wao wako kupokea na kufanyia kazi maagizo ya kocha. Kocha ndie anatakiwa kumwambiua ENzo wewe ni kusaidia na Caicedo kuzuia mashambulizi kule mbele muachie Galagher na wenzake ukijumlisha na tricks ana tactics mbalimbali ambayo kocha anatakiwa kuwapa wachezaji time to time hata wakiwa uwanjani kama mambo hayaendi vizuriHuyo jamaa anaandikaga vitu kulingana na uwezo wake mdogo wa kufikiri, naonaga mnapotezaga muda kubishana nae.
Imagine mtu anakwambia wachezaji ndio huwa wanajiamulia wachezeje!!! kama ni hivyo kuna maana gani y kuwa na kocha sasa?.
Kama Sterling angekuwa anacheza hivi mechi kwa mechi, wiki hadi wiki, tungekuwa sasa tunajigamba tukiwa ndani ya top 4Naomba jamani Poche chonde chonde usimpange tena Jackson kwenye ustrika
Muweke winga wa kulia au kushoto au katikati na. 10 tuitampenda bure, sio mara ya kwanza Jackson akicheza wide anatupa vitu vizuri kama hivi. Anajua kuunganisha wenzake vizuri, anajua kuhold mpira na anajua kuanzisha build up na kuassists. Mimi namuona yeye kama wide winger kwa asili
View attachment 2907593
Umefafanua vizuri mzee babaTunapotofautiana mimi na nyie ni upotoshaji.
Hakuna taaluma ya ukocha duniani kote inayofundisha mfumo wa kuacha gap kati ushambuliaji na viungo au viungo na mabeki. HAKUNA. Isipokuwa kinachotokea kama ikifika hatua hiyo ni wachezaji wenyewe kujisahau na sio mfumo wa kocha. Unachokiona kwa Chelsea ni aina wachezaji tulionao hasa kwa Enzo na Gallagher hawa ni CM lakini wana nature ya attacking minded hasa wote wanapokua wamepanda ikitokea tunashambuliwa inakua changamoto kufanya transition ndio maana Caicedo analaumiwa sometimes coz most time anajikuta yuko peke yake.
Mfano game dhidi ya Aston Villa Enzo hakuwa anapanda na ilichezwa double pivot ya Enzo na Caicedo ndio maana hukuwa unaona hayo magap kama mechi nyingine za nyuma.
Wewe hufuatilii hii mada imetoka wapi Halafu msitumie hisia muelewe. Hiyo mada unayosema aliyeanza kuisema ni mwenzenu juan david kwamba kocha hana mchango hivyo wachezaji wanacheza kwa juhudi zao wenyewe ndio na mimi nikaanza kumbishia hapo. Nashangaa mnasema mimi ndio nimesema!Huyo jamaa anaandikaga vitu kulingana na uwezo wake mdogo wa kufikiri, naonaga mnapotezaga muda kubishana nae.
Imagine mtu anakwambia wachezaji ndio huwa wanajiamulia wachezeje!!! kama ni hivyo kuna maana gani y kuwa na kocha sasa?.
Msiwe mnabishana kushindana muwe mnaelewa kwanza ndio. Hiyo notion unayoisema aliisema mwenzako kwamba wachezaji wanajiamulia wenyewe bila kufuata maagizo ya kocha hapo ndipo mimi nikaanza kumbishia. Nashangaa mmejikusanya kunishambulia kama vile mimi ndio nimeiamzisha.Wewe ndie unapotosha tena bila kuwa na clue ya dynamics za soka. Kocha anatakiwa kutoa maagizo nje na ndani ya uwanja mtu kama hatii maagizo weka pembeni. Sijui hii notion ya kwamba wachezaji ndio wanajiamulia umeitoa wapi. Hiyo timu ambayo wachezaji wanaenda kinyume na maagizo ya kocha labda ni hizi za makapurwa wa karioakoo au mwembechai au huku kwetu Unga ltd na ngarenaro
Msiwe mnabishana kushindana muwe mnaelewa kwanza ndio. Hiyo notion unayoisema aliisema mwenzako kwamba wachezaji wanajiamulia wenyewe bila kufuata maagizo ya kocha hapo ndipo mimi nikaanza kumbishia. Nashangaa mmejikusanya kunishambulia kama vile mimi ndio nimeiamzisha.
Kaeni mjadiliane muumalize huo mgogoro.
Am too old for this. Kwamba ninakusingizia hukuwahi kusema hivyo?Naomba hiyo Post mkuu hembu itafute unitag