Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ft.0-0

1st half tulicheza vizuri
2nd half mpaka dakika ya 60 tulikuwa vizuri ila baada ya sub za Poch tukarudi kule kule
 
Nadhan kuna kitu mkuu unashindwa kuelewa, watu huwa wanalalamika upangaji wake, uchezaji, kushindwa kufanya sub, etc
Match dhidi ya Aston Villa unataka uanze na striker Broja ambaye kila siku anashindwa kufunga? Plan yake ni kuanza full mkoko ndio maana kamuanzisha Palmer kama striker. Haya Chilwell katoka majeruhi huwezi kurisk kuanza kumpa dakika 90 ni risk kwake hivyo lazima aingie kidogo kidogo. Sub zake zinaeleweka katoa Sterling kaingia Mudryk, katoka Madueke kaingia Broja ili Palmer arudi position yake.

Anachokifanya Poch ni rotation sijui ni nini mnashindwa kuelewa. Leo ambaye amecheza out of position ni Gallagher peke yake ambaye hakukua na namna lazima angecheza kwa sababu hakuna mtu mwingine anaiweza hiyo position. Mbona ni vitu simple vinajieleza na kuonekana sijui kwa nini hamuoni. Mtalaumu tu
 
Kwani mkuu kuna mtu kasema Chilwel alipaswa kuanza???
Gilchrist kwani alikuwa anacheza vibaya???Jibu ni hapana

Angalia wakat Disas anacheza kama RB na Chilwel kama LB uone kama Villa walikuwa hawatushambulii.

Hakuna anayesema flan angeanza wote tunajua hali ya Chilwel ikoje ila katika Game ambayo umeikamata halaf unafanya Sub na kubadilisha muundo wa team wakat muundo wa kwanza ulikuwa vizuri ni ukosefu wa akili huo.
 
Issue sio sub za Poch ni mabadiliko ya kimuundo katika uchezaji. Palmer alirudi position yake ila tatizo letu bado ni striker huyu Broja majeraha yamemuharibu kabisa.

Sub alizofanya ndio zimeenda kubadilisha muundo au unahis wachezaj huwa wanaweka muundo wao wenyewe kama maelezo ha Kocha
 
Sub alizofanya ndio zimeenda kubadilisha muundo au unahis wachezaj huwa wanaweka muundo wao wenyewe kama maelezo ha Kocha
Kipindi cha pili tulilemewa baada ya sub ya Gilchrist na Madueke, Aston Villa waliweza kupeleka mashambulizi ya mara kwa mara kwenye lango la Chelsea, Umahiri wa golkipa ndio uliotuokoa
 
Madueke mnamuona jama? Lakini lawama zitaenda kwa kocha
Madueke anacheza vizuri, kosa kosa ya madueke ni kawaida kwa wachezaji wenye umri kama wake. Tatizo la Poche kulalamikiwa ni mfumo wake wa uchezaji na upangaji mbovu wa wachezaji, kupendelea wachezaji fulani na kuwa axe wengine bila sababu. Issue itakayobaki ni mashab iki waliokuwa wakisema wachezaji wa Chelsea ni wa viwango vya chini. na Sisi wengine tunakataa hilo. hawa wachezaji tulionao ni wa viwango vya juu, ubovu ulikuwa kwa kocha kulazim isha mifumo isiyofanya kazi
 
Kipindi cha pili tulilemewa baada ya sub ya Gilchrist na Madueke, Aston Villa waliweza kupeleka mashambulizi ya mara kwa mara kwenye lango la Chelsea, Umahiri wa golkipa ndio uliotuokoa

Najaribu kumwambia Southern Highland hili jambo hataki kuelewa Sub za Poch huwa majanga wakat mchezo tunapoluwa tumeukamata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom