Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 720
- 1,314
Mashabiki wa The Blues pale London wangekuwa na -ve mind kama za hapa, ungekuta walishachoma ofisi za club na walishamuua Poche na Sterling.Wengine hata hiki kidogo hawakioni wanachojua wao ni kulaumu tu huku baadhi wakiamini tunapata ushindi kwa juhudi binafsi za wachezaji. Hakuna positivity kwa bench wanachojua ni kulaumu tu
