juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Vipi kuhusu hili au ndio mtasema wachezaji wabovu
Kila week tunafunga magoal yale yale
Kila week tunafunga magoal yale yale
POchetino lazima atafukuzwa tu ni swala la muda. Ila tukubali tukatae baadhi ya wachezaji nao ni jangaTumpe mitano tena, unasemaje
POchetino lazima atafukuzwa tu ni swala la muda. Ila tukubali tukatae baadhi ya wachezaji nao ni janga
POchetino lazima atafukuzwa tu ni swala la muda. Ila tukubali tukatae baadhi ya wachezaji nao ni janga
Game 2 unakula goli 8. Kocha tatizo.View attachment 2894292
Tuchel kitu cha kwanza kufika alijua madhaif yetu ni yapi akarudi 3 at the back na tukawa solid, sisemi turudi 3 atb but poch anaona mapungufu yetu ni yapi anashindwa nini kuweka mfumo utakayoyaficha
Kila game tunaruhus magoal yale yale
Siku zote huwa haunielewi halafu ni kama unahisi tunashindana katika hili. Wewe kuna siku uliwahi kusema waxhezaji wanafunga magoli kwa juhudi zao wenyewe. Sasa hivi utalalamikiwa mfumo wa uchezaji haueleweki, Poch ni tatizo, na blah blah nyingine nyingi.Kocha kashindwa tengeneza mfumo wa kuwasuit hawa wachezaji .
Atapokuja kocha wakujielewa ndio mtaelewa hichi kitu.
Kama system ya team haiko vizuri hakuna mchezaji atakaeonekana mzuri
Na hawa makocha wote hamna kocha ambaye aliondoka mikono mitupu bila kombe
Na inconsistency ya matokeo inatia mashaka , why hakuna muendelezo mzuri wa matokeo ?6 months now na tunaplay once a week. Ila ukiuliza pattern yetu ya uchezaji ni ipi hakuna yeyote anaeweza jibu hilo swali
Pochetino hafai6 months now na tunaplay once a week. Ila ukiuliza pattern yetu ya uchezaji ni ipi hakuna yeyote anaeweza jibu hilo swali
Wewe unahisi sisi hatujui profile ya Caicedo kama ni defensive mid?Wewe ndie umesema
Caicedo sio attacking midfielder kama unajua soka
Enzo ni Cm
Caicedo ni CM
Wote kwa pamoja ni box to box midfielders
Roles ya Enzo anakuwa mzuri akicheza deep na Caicedo akicheza advanced
Kumbuka Kante alipokuja Chelsea alikuwa akicheza box to box lakini kwenye role ya DM zaidi hadi akawa anajulikana kama DM
Alipokuja Sarri ili amuweke mtoto wake Jorgginho kama regista alimpeleka Kante mbele, hapo haikuwa na maana kwa Kante ni attacking midfielder bali alipewa advance role ambayo baadaye alikuja kuimudu sana ndipo hata makocha waliokuja baada ya Sarri waliendelea kumchezesha advanced role
The same to Caicedo
Hata kama wako wachezaji wabovu ila wengi wao wamefanywa kuwa hivyo na PochettinoPOchetino lazima atafukuzwa tu ni swala la muda. Ila tukubali tukatae baadhi ya wachezaji nao ni janga
Binadamu yeyote anaweza akawa na akili na anaweza asiwe na akili, hilo ndilo jibuWewe unahisi sisi hatujui profile ya Caicedo kama ni defensive mid?
Kwahiyo unataka kusema wakati Liverpool wanataka kumsajili Caicedo kama mbadala wa Fabinho kwenye DM, walikua hawana akili?
Wewe unahisi kwanini mpaka sasa Klopp hana defensive mid?
Iko simple and direct, haitaji hata elimu ya darasa la pili kuelewa hii logic na connectionKocha kashindwa tengeneza mfumo wa kuwasuit hawa wachezaji .
Atapokuja kocha wakujielewa ndio mtaelewa hichi kitu.
Kama system ya team haiko vizuri hakuna mchezaji atakaeonekana mzuri
Kama kocha hawezi, wachezaji experience YES wanajituma wenyewe kihivyoSiku zote huwa haunielewi halafu ni kama unahisi tunashindana katika hili. Wewe kuna siku uliwahi kusema waxhezaji wanafunga magoli kwa juhudi zao wenyewe. Sasa hivi utalalamikiwa mfumo wa uchezaji haueleweki, Poch ni tatizo, na blah blah nyingine nyingi.
Tuanzie kwa Antonio Conte, Maurisio Sarri, Lampard, Tuchel na sasa tuna Poch. Katika wote hao kila mmoja ana kocha wake ambaye anasema hapa tulikua na jembe kweli. Lakini mwisho wa siku nini kilitokea? Nachotaka kumaanisha ni kwamba haijalishi kocha ana deficience gani kwenye kazi yake hata awe mzuri au mbaya vipi atafukuzwa tu kukitokea defficience yoyote.
SImtetei Poch kama wengi mnavyo ni address humu. Nasimama na Chelsea yangu nje ya Poch tuna wachezaji wabovu ambao ni average, tuko hapa tulipo kwa sababu ya fukuza fukuza ya makocha, leo hii ukiulizwa style ya uchezaji wetu ni ipi huwezi elewa. Atleast Conte, Mourunho na Ancelotti walieleweka na ndio waliotupa EPL tittle.
Siku zote huwa haunielewi halafu ni kama unahisi tunashindana katika hili. Wewe kuna siku uliwahi kusema waxhezaji wanafunga magoli kwa juhudi zao wenyewe. Sasa hivi utalalamikiwa mfumo wa uchezaji haueleweki, Poch ni tatizo, na blah blah nyingine nyingi.
Tuanzie kwa Antonio Conte, Maurisio Sarri, Lampard, Tuchel na sasa tuna Poch. Katika wote hao kila mmoja ana kocha wake ambaye anasema hapa tulikua na jembe kweli. Lakini mwisho wa siku nini kilitokea? Nachotaka kumaanisha ni kwamba haijalishi kocha ana deficience gani kwenye kazi yake hata awe mzuri au mbaya vipi atafukuzwa tu kukitokea defficience yoyote.
SImtetei Poch kama wengi mnavyo ni address humu. Nasimama na Chelsea yangu nje ya Poch tuna wachezaji wabovu ambao ni average, tuko hapa tulipo kwa sababu ya fukuza fukuza ya makocha, leo hii ukiulizwa style ya uchezaji wetu ni ipi huwezi elewa. Atleast Conte, Mourunho na Ancelotti walieleweka na ndio waliotupa EPL tittle.
Kabla sijajibu hili lako swali niambie style ya uchezaji wa Chelsea ni ipi?style yetu ya uchezaji ni ipi huwez jibu hili swali,