Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nilikuuliza swali ukanijibu kipuuzi na mimi nikaamua kujibu kipuuzi. Notion ya wachezaji kucheza bila coaching effort aluwahi kuisema huyo jamaa yako ndio namimi nikaanzia hapo kumbishia sasa hivi ananibishia. Naelewa kila ninachoandika

Nani aliyekuwa anaongea hivyo
Original post hii hapa

Unaongea kitu halaf saiv unakana kama hujawah ongea
IMG_2002.png
 
Najua LW, Na. 10 na RW kuna jam kubwa saa ya wachezaji wazuri
Nkunku, Sterling, Palmer, Jackson mwenyewe, Madueke (Sub), Mudryk (sub), Chukwuemeka na Gallagher kwenye na. 10
Poche anaweza kumrudisha nyuma Gallagher akashindanie nafasi na Caicedo kwa sababu huyo badop hajatulia

Parmanent starter kwenye front 3 ukiondoa st anaweza akawaweka

Jackson ---- Nkunku ----- Plamer

Waliobaki wakawa wanakuja kama sub au rotation au abadili formation iwe 4-3-3 ili viungo wawe watatu na hiyo ST ibadilike iwe False na. 9 (HJii Nkunku anwez aicheza au yeyote katika hao wa mbele. Au aanze kumjaribu Daivid Washington na academy wengine

Au atumie 3-4-3 yeye tanu aje ni 4-2-3-1 ambayo kwa sehem,u kub wa hatujaifurahia na sidhani kama iko rafiki na wachezaji wetu
Raha ya kuwa na wachezaji 50+ ni unaweza kuingia huku jukwaani na kupanga vikosi si chini ya vitatu bila kurudia wachezaji. Wote tunawaonea gere chelkenge kwa squad depth mluonayo. Mambo yakiwanyookea moja kwa moja mtatusumbua. Kwa sasa pambanieni nafasi za bottom 10 huko mtuachie title contenders tupambanie kombe kwanza.
 
[mention]Southern Highland [/mention] [mention]lembu [/mention] naomba mkarefer hiyo post mpaka nikamquote hivyo
Ndugu hayo maneno sio jana wala juzi ni kamuda kamepita ndio maana siwezi kurecall hiyo post yako. Nakumbuka ulisema wachezaji wanacheza kwa juhudi zao binafsi bila efforts za kocha.

Leo hii wewe unakana kwa sababu tu siku zimeshapita ushasahau!!
 
Nilikuuliza swali ukanijibu kipuuzi na mimi nikaamua kujibu kipuuzi. Notion ya wachezaji kucheza bila coaching effort aluwahi kuisema huyo jamaa yako ndio namimi nikaanzia hapo kumbishia sasa hivi ananibishia. Naelewa kila ninachoandika
Kumbe imekuwa tena upuuzi, labda wewe ila mimi nasema Poche hatoshei. Tutasuasua na msimu ujao tutasuasua na tutakuwa kama Tottenham ya Poche, inasifiwa inacheza vizuri ila vikombe hakuna hadi mashabikli wasio na mvi wajazwe mvi kichwani na kwenye videvu vyao. Kama kusema Poche sio kocha mzuri ndio upuuzi basi nitarudia hivyo hadi afukuzwe
 
Ndugu hayo maneno sio jana wala juzi ni kamuda kamepita ndio maana siwezi kurecall hiyo post yako. Nakumbuka ulisema wachezaji wanacheza kwa juhudi zao binafsi bila efforts za kocha.

Leo hii wewe unakana kwa sababu tu siku zimeshapita ushasahau!!
Mkuu hayo maneno ni ya siku zote, kila tukisema Poche anatoa maelekezo mabovu kwa wachezaji ninyi mnatetea wachezaji ndio wanacheza kivyao. Ukitaka tutafukua hayo makaburi ya maneno mliyopkuwa mnasema watetezi wa Poche
 
Raha ya kuwa na wachezaji 50+ ni unaweza kuingia huku jukwaani na kupanga vikosi si chini ya vitatu bila kurudia wachezaji. Wote tunawaonea gere chelkenge kwa squad depth mluonayo. Mambo yakiwanyookea moja kwa moja mtatusumbua. Kwa sasa pambanieni nafasi za bottom 10 huko mtuachie title contenders tupambanie kombe kwanza.
Hao wachezaji 50+ wako wapi na wewe umeshaweka pima ubongo
 
Timu yako ikiwa inashambuliwa isipoweka hii shape ni rahisi kufungwa
yule striker yeye anajianda kwa counter tu
1708399388623.png

1708400297113.png
 
Jackson sasa anaongoza katika kutengeneza nafasi na kuunganisha wachezaji mbele. Kwangu mimi Jackson kwa sasa hawezi kuguswa katika LW. Anaweza kucheza wide, ana udhibiti mzuri wa mpira, anaweza kumiliki mpira na kupiga pasi nzuri. Anaweza kupora na kupress m. Anaweza kuserereka na mpira hadi atengeneze nafasi. Tumpate wapi mchezaji kama huyu ambaye kwanza ana miaka 22 tu
1708404523442.png
 
Ladies and gentlemen hebu muangalieni Gallagher

AUZWE ASIUZWE KIANGAZI

Mimi kwa maoni yangu
Hapo zamani za kale, nilikuwa namfagilia sana Gallagher lakini kwa matukio machache niliyoyaona akihangaika kupeleka mpira kwa mabeki nilijisemea hapana tena kwa Gallagher, auzwe tu dirisha la kiangazi. Tunahitaji mchezaji mbunifu hapo kwenye na.10 sio Gallagher

Mchezaji mbunifu no. 10 yupo PALMER.
Palmer akicheza 10 na RW RW anaitendea haki zaidi ya 10. Namba 10 sio wide na inamfunga mchezaji kama Palmer kuzunguka kule mbele atakavyo. RW ni ya Palmer, LW ya Jackson namba 10 azoeshwe Nkunku ni afadhali kuliko Gallagher
 
Nkunku wa moto kule Leipzig alikuwa akicheza kwenye mfumo wa washambuliaji wawili, wazee wa kufungua turbo/counter attack.

Halafu sidhani kama Nkunku sio mzuri sana kucheza kwenye tight spaces na pia nadhani hapendi ule mpira wa kirembaremba.

Sikumwangalia sana kule Bundasliga lakini naona kama anapata shida kucheza chini ya mifumo ya Poche
Unasema kweli, nimemwona Nkunku alipocheza LW alicheza vizuri sana, akicheza kwenye traffic kubwa anapotea. Na. 10 inmuhitaji mchezaji aggresive sana vinginevyo unapotezwa, Ndio maana nasema Palmer tutamfaidi sana akicheza RW. Poche anaweza pia kumuweka Jackson na 10 japo naye atamezwa na sana sana na timu zenye kuweka low block. Au Chukwuemeka alicheza vizurti kwenye hiyo 10 kabla hajaenda majeruhi
 
Chukwu ni mzuri kwenye kushambulia lakini pia ana kauzito flani kwenye kuachia mpira kwa haraka kwenye space ndogo ndogo.

Mchezaji attacker anapata majeruhi kwa sababu kuu mbili tuu:-

1. Kuchelewa kufanya maamuzi ya kuachia mpira kwa haraka pale anapokuwa na mpira, kupelekea kuporwa au kunyang'anywa kwa kuchezewa rafu Mfano CHUKWUEMEKA, GALLAGHER

2. Kukokota mpira kulazimisha kupenya ngome ya mpinzani na kufunga, hapa hupelekea kula mabuti, makwanja mfano HAZARD, Sterling anajaribu ila mzee wa kujirusha, kujigaragaza mavumbini

- Tunahitaji kupata No. 10 mpambanaji (Pass accuracy, kufanya maamuzi ya sahihi kwa haraka, pumzi, mgumu, uwezo wa kufunga na kuassist)
 
Jackson sasa anaongoza katika kutengeneza nafasi na kuunganisha wachezaji mbele. Kwangu mimi Jackson kwa sasa hawezi kuguswa katika LW. Anaweza kucheza wide, ana udhibiti mzuri wa mpira, anaweza kumiliki mpira na kupiga pasi nzuri. Anaweza kupora na kupress m. Anaweza kuserereka na mpira hadi atengeneze nafasi. Tumpate wapi mchezaji kama huyu ambaye kwanza ana miaka 22 tuView attachment 2909657
Hakuna player hapo
 
Gwiji wa usajili bwana Sam Jewell akubali kujiunga na Chelsea huku Man U pia wakimtaka pia
Mkuu wa usajili wa Brighton Sam Jewell amekubali kazi katika klabu ya Chelsea, klabu hiyo ya pwani ya kusini ilitangaza Jumanne, licha ya kutakiwa Manchester United pia.

Jewell, ambaye amepewa likizo ya bustani, alikuwa mtu muhimu katika harakati za Brighton za kuwasajili wachezaji wafuatao:
  1. Moses Caicedo
  2. Alexis Mac Allister
  3. Evan Ferguson
  4. Kaoru Mitoma
  5. Victor Gyokeres
  6. Facundo Buonanotte
  7. Julius Enciso
  8. Pervis Kijinga
  9. Simon Adingra
  10. Aliisukuma Brighton imsajili Levi Colwill
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom