Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jackson kuendelea kucheza winga lazima tumpate Stiker kamili, la sivyo Jackson ataendelea ku-operates kwenye uwinga na ustriker.
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa. Ufinyu wa kikosi unamlazimisha Poch kuwapanga wachezaji kwenye position ambazo hawafanyi vizuri sana. Mfano Gallagher sio attacking midfield ila analazimika kucheza hiyo nafasi kutokana na kukosekana AM na atleast anaanza ku adapt.
 
Hujanielewa hata nachozungumza umekurukupuka. Ngoja ni summarize, nilichomaanisha ile nafasi acheze nani pale mbele au unalazimisha abadili mfumo acheze bila striker anachezaje?

Amalazimika kufanya ivyo kumchezesha striker kutokana na ufinyu wa kikosi. Nakumbuka huku nyuma mlikua mnalalamika anawachezesha wachezaji out of position hasa Colwill kama LB na Disasi kama RB wakati ambao Chilwell, Gusto walikua majeruhi nikawa nawaambia awachezeshaje na wakati hakuna watu wa maeneo hayo?

Wakuu hivi huwa tunaelewana kwenye hizi mada au tunabishana tu ilimradi?
Najua LW, Na. 10 na RW kuna jam kubwa saa ya wachezaji wazuri
Nkunku, Sterling, Palmer, Jackson mwenyewe, Madueke (Sub), Mudryk (sub), Chukwuemeka na Gallagher kwenye na. 10
Poche anaweza kumrudisha nyuma Gallagher akashindanie nafasi na Caicedo kwa sababu huyo badop hajatulia

Parmanent starter kwenye front 3 ukiondoa st anaweza akawaweka

Jackson ---- Nkunku ----- Plamer

Waliobaki wakawa wanakuja kama sub au rotation au abadili formation iwe 4-3-3 ili viungo wawe watatu na hiyo ST ibadilike iwe False na. 9 (HJii Nkunku anwez aicheza au yeyote katika hao wa mbele. Au aanze kumjaribu Daivid Washington na academy wengine

Au atumie 3-4-3 yeye tanu aje ni 4-2-3-1 ambayo kwa sehem,u kub wa hatujaifurahia na sidhani kama iko rafiki na wachezaji wetu
 
Watu wansema Fanbase ya Chelsea ni toxic kwa makocha na wachezaji
That is true
Wewe ulishakuwa na watoto waliozoeshwa kula bata na kuku kwa muda mrefu halafu over the sudden wanaanza kulazimishwa kula dagaa na utumbo??? jibu unalo
 
Combined starting XI baada ya mechi ya jana

4-3-3

Doku --------Haaland -------Palmer

Enzo --------Rodri ----------Caicedo

Chilwell ---- Dias -----Disasi ---Gusto

----------- Ederson--------------
 
Nikikumbuka tumefungwa na utd,everton ,wolves nje ndani, nottigham halafu game za city tunakaza ,inauma kweli kweli.kwanini game nyingine tunakuwa shambolic kwelikweli
Huyo ndio Poche, ana dawa ya kutibu Mnchesta city tu droo ya 5-5 msimu huu
Game plan yake mbovu kwa timu za Low block
 
Tumekosa magoli kipumbavu sana hawa City ilibidi wafe hata kwa goli tatu kwa zile clear chances tulizotengeneza. Mwisho huoni kama hawa jamaa wanahitaji kupumzika then aingize watu wa kulinda kilichopo ndio maana kaingiza Casadei na Chalobah wasaidie ukabaji.

Hizo ni dakika 60 za mwanzo ila baada ya hapo ni kama uwanja ukaanza kutuelemea

Tulihitaj mtu mmoja na formation ile ipe tuliyokuwa nao

Mda mwingi Galagher alikuwa anzunguka kwa Rodri
Ila change of formation tukaruhus city waanze kutushambulia na nikitu kibaya sana hicho kuwaruhus city wakushambulie kwa dakika 20 lazima watakufunga

All in all Poch tactic alizoingia nazo leo aingie nazo vs Liverpool
 
Mkuu ila mimi naona kubadili shape kwenda backline ya 5 ilikuwa muhimu. Tungeweka attacker hao city wangetukanda dakika za mwishoni

1 attacker atakaesaidiana na NKUNKU

Ilikuwa jackson abaki o Mudryk aingie pace zao

Jackso anaweza shuka hadi chini kuchukua na akaenda nao ila tulikosa huyp mtu henc nkunku akabak alone na mipira ikawa haifiki
 
Hizo ni dakika 60 za mwanzo ila baada ya hapo ni kama uwanja ukaanza kutuelemea

Tulihitaj mtu mmoja na formation ile ipe tuliyokuwa nao

Mda mwingi Galagher alikuwa anzunguka kwa Rodri
Ila change of formation tukaruhus city waanze kutushambulia na nikitu kibaya sana hicho kuwaruhus city wakushambulie kwa dakika 20 lazima watakufunga

All in all Poch tactic alizoingia nazo leo aingie nazo vs Liverpool
Na hata goli lilivyoingia watu wanamkimbilia Chalobah kama tatizo wakati tatizo la msingi ilikuwa Gallagher aliacha kumfanyia marking Rodri. Rodri alikuwa karibu na Nkunku na Gallagher. Laiti wangemfanyia marking asingeweza kupiga lile shuti lililombabatiza Chalobah na kumuuza kipa ambaye alikuwa kashadive kuupangua ule mpira
 
George Ambangile

Point namba 3 nilisema kabisa wakat wa Halftime hatuna gap tunaloliacha,Hii approach tulitumia dhidi ya Villa FA Cup replay

Kinachonishangaza Poch game zinazokuja huwa hatumii hiv utaluwa tunaacha nafas kubwa kati ya mabeki na viungo na viungo na washambuliak
 
Wachezaj wote ni wazuri ni vile tu wako chin ya Poch ila wakiwa chin ya kochs mzur saiz tusingekuwa hapa
Wanaosema kuna wachezaji waliosajiliwa sio wazuri wamtaje kwa jina kama hutawaona wakijing'atang'ata
 
Point namba 3 nilisema kabisa wakat wa Halftime hatuna gap tunaloliacha,Hii approach tulitumia dhidi ya Villa FA Cup replay

Kinachonishangaza Poch game zinazokuja huwa hatumii hiv utaluwa tunaacha nafas kubwa kati ya mabeki na viungo na viungo na washambuliak
Halafu kuna watu wanasema wachezaji ndio wanaomuangusha kocha wakati wachezaji wako pale kufuata maelekezo tu
 
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na Liverpool, Daniel Sturridge alihisi Pochettino alifanya mabadiliko mabaya dhidi ya Man City.
Anadai hakukuwa na amshuti baada ya dk ya 70 na wachezaji waliokuwa wanaleta shida kwenye lango la City yaani Sterling na Palmer wametolewa tayari

1708237469118.png
 
Nikikumbuka tumefungwa na utd,everton ,wolves nje ndani,nottigham halafu game za city tunakaza ,inauma kweli kweli.kwanini game nyingine tunakuwa shambolic kwelikweli

Kuna watu hichi kitu huwa hawaelewi .

Approach tuliyoingia nayo jana utaona dhid ya brentford tunaacha nafasi kila sehem
 
Hujanielewa hata nachozungumza umekurukupuka. Ngoja ni summarize, nilichomaanisha ile nafasi acheze nani pale mbele au unalazimisha abadili mfumo acheze bila striker anachezaje?

Amalazimika kufanya ivyo kumchezesha striker kutokana na ufinyu wa kikosi. Nakumbuka huku nyuma mlikua mnalalamika anawachezesha wachezaji out of position hasa Colwill kama LB na Disasi kama RB wakati ambao Chilwell, Gusto walikua majeruhi nikawa nawaambia awachezeshaje na wakati hakuna watu wa maeneo hayo?

Wakuu hivi huwa tunaelewana kwenye hizi mada au tunabishana tu ilimradi?
Amcheze nkuku no 9
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom