Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

A work to do ,,,, second half,,,,! Come on blues !!!

Sisi wenginè tunafurahi mkikandwa !!!!!
 
Hongereni The Blues

Palace walikuwa wabovu tangu mwanzo
Chelsea sijui nini inawaloga
Kipindi cha kwanza walicheza kama watoto wa mtaani
Kama vile timu haiandaliwi
Kocha anakuwa kama hana plan na tacticts zozote za kuvuruga defense ya low block
Kilichotukomboa ni Palace walikuwa hoi dakika kama 10 za mwishoni na kuturuhusu kuingia kigoigoi chumbani mwao
 
Tofauti ya points 2 hadi nafasi ya 7
Tunaweza kushika namba 7 kama Poche atajitambua
Kama atajenga timu chini ya Nkunku ili apatiwe huduma ya maana
 
Tofauti ya points 2 hadi nafasi ya 7
Tunaweza kushika namba 7 kama Poche atajitambua
Kama atajenga timu chini ya Nkunku ili apatiwe huduma ya maana
Tatizo ni kwamba tutacheza na Man City tena kwake
 
Watu huwa wabishi sana humu ndani.
Watakuwa kupoint mistake ya madueke wanasahau uchezaji wetu

Kwa uchezaji huu tunaweza cheza hata dakika 520 na bado tusipate goal

Kushinda against Villa wanahisi ni bonge la Kocha wanasahau kuwa villa wenywe walikuwa open

Against A low block team Poch hana uwezo huo na wachezaj wake wa kukimbia wakina Galagher katila game inayohitaj creativity

Against big boys away tuko hapa

42mins hatuna attempt yoyote
Akiba ya maneno itakusaidia siku moja. Usipende kuzungumza tu ili mradi na wewe uonekane umenena.
 
Kutokana na kukata umeme kiukweli game sijaianfalia. Hawa tweeter warriors huwa sipendi kuwaamini sana maana wanapost kulingana na hisia zao.
Hata wewe mkuu unaweza kuwa X warrior kulingana na mitazamo yako.

Mbona kuna mitazamo kibao hapa tunatoa baada ya muda kupita ndio unaona x wanapost mtazamo kama wako ambao ulishauona siku nyingi na ulishasahau.

Mpira hauchezwi chumbani, kila mtu ana uwezo wa kutoa mitazamo yake kulingana na mechi na mwenendo wa timu. Mitazamo inaweza kuwa sahihi au isiwe sahihi (Kimahaba, Kiushabiki, Kiufundi, Kimaslahi, Chuki n.k)

Hata wamiliki wa timu nao wana mitazamo yao ndio maana walimfukuza TT aliyebeba makombe makubwa kwa muda mfupi, wakatuletea Porter, Lampard na sasa Poche na mwisho msimu wanatuletea kocha kutoka MLS.
 
Eh kumbe mmeshinda. Hongereni kenge. Pambaneni mje kumtoa yuke nyumbu kule nafasi ya 6
 
Kutokana na kukata umeme kiukweli game sijaianfalia. Hawa tweeter warriors huwa sipendi kuwaamini sana maana wanapost kulingana na hisia zao.

Mkuu kama hujaangalia mpira better usiongee chochote especially kipindi cha kwanza

Huwezi miliki mpira 80% halaf attempt ni moja tu tena off target iliyokuja dakika ya 40s
 
Hata wewe mkuu unaweza kuwa X warrior kulingana na mitazamo yako.

Mbona kuna mitazamo kibao hapa tunatoa baada ya muda kupita ndio unaona x wanapost mtazamo kama wako ambao ulishauona siku nyingi na ulishasahau.

Mpira hauchezwi chumbani, kila mtu ana uwezo wa kutoa mitazamo yake kulingana na mechi na mwenendo wa timu. Mitazamo inaweza kuwa sahihi au isiwe sahihi (Kimahaba, Kiushabiki, Kiufundi, Kimaslahi, Chuki n.k)

Hata wamiliki wa timu nao wana mitazamo yao ndio maana walimfukuza TT aliyebeba makombe makubwa kwa muda mfupi, wakatuletea Porter, Lampard na sasa Poche na mwisho msimu wanatuletea kocha kutoka MLS.
Uko sahihi lakini mantiki yangu ilikua ni kujaribu kusawazisha fikra za watu wanaodhani kila kinacho postiwa tweeter basi wao wako sahihi au wanajua sana. Hapana hata wao wako sawa na sisi walichotuzidi ni kuwa na wafuasi tu huko tweeter.
 
Wengine hata hiki kidogo hawakioni wanachojua wao ni kulaumu tu huku baadhi wakiamini tunapata ushindi kwa juhudi binafsi za wachezaji. Hakuna positivity kwa bench wanachojua ni kulaumu tu
Wewe chief hukuangalia mechi ni bora usikoment ukaingia ndani sana. Furahia points 3 inatosha, tumecheza jana kama watoto wa mtaani
Tukikutana na City na huu utani wa Pochettino wa jana tutatumbuliwa hadi usaa wote utoke
 
Mkuu kama hujaangalia mpira better usiongee chochote especially kipindi cha kwanza

Huwezi miliki mpira 80% halaf attempt ni moja tu tena off target iliyokuja dakika ya 40s
SAsa ninaposema wakati mwingine wachezaji nao wanachangia muwe waelewa. Sina hakika kama Poch anafundisha kumiliki mpira kwa asilimia 79 halafu awafundishe na kupiga off target.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom