Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Potter is a foolish and clueless coach..... Our last match with Manchester City, the second half of the this game was awesome. He made foolish selection, we need a better coach. I don't see anything in this man.......you hear some poor understanding fans saying its a project trust the process very stupid we ur declining every another day.........Blues need anew coach swallow your praid and bring back TT
Umeandika nini
 
Auba atolewe kafara January hii ili timu ifufuke
Tufuate mbinu za Arteta
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa Auba kafanyaje tena? Maana pale Arsenal alikua anaharibu dressing room huko darajani amewafanyaje [emoji23]
JamiiForums-629649115.jpg
 
Narudia tena

Top managers wa EPL wana falsafa, TT falsafa yake ni ipi
Kama ni defensive tusingefungwa
  1. Klopp direct football
  2. PEP Possesive football
  3. Conte - Counter attacking football
  4. Thomas Tuchel?? anategemea mbinu mbinu zinazobadilika na ambazo hazieleweki kwa wachezaji. Ndio maana timu haina consistency na bado kuna mashabiki wanamtetea apewe mitano tena. Huyu ni kocha wa msimu mmoja ukizidi sana miwili halafu afungashiwe virago vyake. Huyu akifika Desemba nyota yake itakuwa nzuri sana
If tunaendelea kuhisi kuwa kocha ndie shida,kila kocha tutamuona mbaya kwa wale wachezaji
 
Todd na genge lake ni wangese , hii laana ya yule Myahudi Abramovich haitaacha salama hii timu ,wamrudishie mali yake,mtu kaitengemeza timu na kupaisha timu iliyokuwa haina mbele wala nyuma from nowhere ikaanza kubeba lundo la trophies ndani ya muda mfupi sana na kuwa na thamani kubwa vile halafu mali ichukuliwe na ngedere flani Tu from nowhere , hell no, hata Mungu hakubali hii , hata hao wachezaji walionunuliwa si ajabu wakaflop tu
Yaan watu wengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Todd alimpokonya timu Roman au
 
Pia ukumbuke tangu enzi za Roman hakuna kocha aliyeweza kukaa chelsea zaidi ya misimu miwili bila kufanya vibaya na hawa wachezaji tunaona wabovu akija kocha mpya wanafanya vizuri
@Bobbyray unasemaje now?
 
Mimi nashauri pia kocha asimamishwe kazi
Naona ameanza kuongea vibaya kwenye media kuhus wachezaji.
Hata kama mchezaji anakosea ukimkosoa kwenye media ni sawa umewaudhi wote kwa sababu wachezaji dressing room wanakuwa kama watoto wa mama mmoja, wanapendana, wanateteana. wakiamua kususa wanasusa pamoja. hii hali tukianza nayo EPL tutafungwa sio wka sababu tuna wachezaji wabovu ila morale itakuwa chini

Nashauri Kocha abadilishwe

Zoezi la kuwaondoa matakataka liende sawa na la kumbadilisha kocha kwa sababu mahusiano yake na wachezaji baadhi sio mazuri

Tuanze upya kila kitu
vipi now????
 
Hatuwez badilisha kocha, Tuchel ni mzuri ila wachezaj tuloonao ni quantity na si quality

Kila tim inayofanya vizuri inaondoa wachezaj waliokuwepo na kuweka wachezaj wanaoendana na falsafa ya kocha.

Angalia hata Arsenal ni wachezaj wachache ambao wapo kwa kikos Alichokichukua Arteta kutoka kwa Unai emery

Tukubal tim yetu imejaza matakataka, tunahitaj Rebuild
Niliongea hili hata kabla Tuchel ajatimuliwa
 
Asipoondolewa sasa ataondolewa ligi ikianza kwa sababu tutayaona matokeo ya haya mashabulizi ya kwenye media. Kama wachezaji wanahitaji kushtuliwa mpaka kwenye media? SIjawahi kuona kocha anayeshambulia wachezaji wake kwenye media akabaki salama. SIJAWAHI!
Vipi now kwa Potter ambae yuko kimya na hawafokei wachezaji.

Hii hali ilianza onekana kuanzia mwanzo ni vile tu tunakaza kichwq na kuhisi kocha ni shida. Ila ukweli wote tunaujua
 
Halaf baada ya msim mmoja hali inajirudia utasema shida ni kocha kila wakat au wachezaj tulionao

Wachezaj tulio nao wako tangu enzi za Conte mpk leo hii unategeme kuna mafanikio ya kuchukua premiee league

Angalia City,Liverpool wakat Pep n Klopp wanazichukua hizo tim wamesafisha wachezaj almost wote na kuleta wachezaj watakaoendana na falsafa zao,

Hata leo hii Arsenal wanafanya kitu kile kile, tim aliyoiacha wenger then unai now yote inaondolewa na Arteta anaweka watu wake unaona kabisa uwanjani kuna kitu wanakitafuta

Ila sisi tutegemee usajil aliofanya conte,sarri,lampard halaf tuchel afanye maajab yake never

Hawa player hata akija kocha mpya watacheza msim mmoja vizur ili wamshawishi kocha then baada ya hapo wanarudi kwenye hali ile ile
Default mode haikuchukua hata msim[emoji23] tuendelee kuamini shida ni kocha wakata matatizo tunayajua na tunayaakalia kimya na hatuyatatui halaf tutegemee maajabu
 
Vipi now kwa Potter ambae yuko kimya na hawafokei wachezaji.

Hii hali ilianza onekana kuanzia mwanzo ni vile tu tunakaza kichwq na kuhisi kocha ni shida. Ila ukweli wote tunaujua
Haifanyi ya kwanza kuwa safi
 
If tunaendelea kuhisi kuwa kocha ndie shida,kila kocha tutamuona mbaya kwa wale wachezaji
Shida ya Chelsea ni mjumuisho wa yote
Nakubali kuwa kumuondoa kocha pekee sio muwa arobaini
Kuna structure ya managementi ya timu imeoza
Kwa hiyo twende na kurekebisha mafiga matatu

  1. Uongozi na muundo wake
  2. Kocha
  3. Wachezaji
 
Now watu mshaanza kumbuka tuchel, kwa team kama yetu ambayo haijawah kuwa na falsafa zaidi ya matokeo .
Kocha yoyote anaetaka kuweka falsafa na kwa wachezaj wale tutamuona hafai
Sio wote, shabiki akishakuwa na mzigo wa mawazo anataka chochote
Kwenye huu ujenzi TT ni moja wa kocha tusiyemuhitaji kabisa
 
Vipi now kwa Potter ambae yuko kimya na hawafokei wachezaji.

Hii hali ilianza onekana kuanzia mwanzo ni vile tu tunakaza kichwq na kuhisi kocha ni shida. Ila ukweli wote tunaujua
Sasahivi sijui lawama atabebeshwa nani[emoji1787]
Tuchel wa watu ashajipumzikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom