Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

FlxzENzX0AIIwEx.jpg
kijana chels hawajamuona au
 
Chelsea have reportedly joined the race of clubs interested in signing Borussia Monchengladbach striker Marcus Thuram.

The French international is also believed to be wanted by Premier League rivals Manchester United.

The 25-year-old is out of contract in the summer, with many clubs lining up contracts for him to sign on a free transfer.

However, Chelsea are willing to pay the Bundesliga side a cut-price fee now in order to sign him this month, according to Foot Mercato.
 
Chelsea imetumia zaidi ya pound milion 300, lakini inaonekana kuwa bado wapo mbali sana na makombe.... Je tatizo lipo wapi? tujadiliane..

Binafsi naona kocha viatu havimtoshi...

Sajili mbovu za Tuchel na Boehly ndio zimetufanya tuwe hapa tulipo.

Marina kushindwa kumpa rudiger n christensen mkataba. Kuondoka kwao na Tuchel kuleta watu ambao hawafai,

Injury

Wachezaj kucheza kifather, Tatizo halijaanza leo nikama tunamtupia lawama Potter kwa matatizo aliyoyakuta.

Potter kuendelea kuwakumbatia baadhi ya wachezaj hata kama wanacheza vibaya
 
Mimi sintajali sana akitimuliwa ila nitajali sana nani atampokea
Kama ni Conte sawa, zaidi ya Conte sioni kocha bora zaidi yake

wako hawa
  1. Mauricio Pochettino
  2. Zinedine Zidane,
  3. Thomas Tuchel
  4. Marcelo Bielsa
  5. Ole Gunnar Solskjaer
  6. Rafael Benitez
  7. Joachim Low
  8. Luis Enrique
  9. Roberto Martínez
  10. Julen Lopetegui
Julian Lapotegeu kajiunga Wolves
 
naona pia tatizo la kununua wachezaji bila ya sporting director WA maana huenda ikawa ndo shida ....Tuchel naye kwenye kusajili naona km anakwama na wachezaji hawa ambao walikuwa second choices baada ya first choices wengi kutukataa ...the likes ya kina deligt and co. Kwa hapa Kocha naona atakuwa anaonewa Tu ..kwahawa wachezaji wa sahv tena na injury list imeongezeka hata ukimleta Conte au mourinho bado tutastruggle ...
Ukwelo mchungu ambao watu hawataki kuukubali
 
Mimi sintajali sana akitimuliwa ila nitajali sana nani atampokea
Kama ni Conte sawa, zaidi ya Conte sioni kocha bora zaidi yake

wako hawa
  1. Mauricio Pochettino
  2. Zinedine Zidane,
  3. Thomas Tuchel
  4. Marcelo Bielsa
  5. Ole Gunnar Solskjaer
  6. Rafael Benitez
  7. Joachim Low
  8. Luis Enrique
  9. Roberto Martínez
  10. Julen Lopetegui
Rafael Benitez ndio naona anaweza
 
Katika hao waliobaki ambao wako huru nani anaweza kuifanya Chelsea ipande viwango, ndio issue ya msingi
Kocha mwenye falsafa ya ukatili na winning mentality. Wote hao hakuna zaidi ya Conte
Luis Enrique ni mzuri, ni mtu anaweza fanya maamuzi magumu na si mtu wa kukubal kila jambo
 
Chelsea have reportedly joined the race of clubs interested in signing Borussia Monchengladbach striker Marcus Thuram.

The French international is also believed to be wanted by Premier League rivals Manchester United.

The 25-year-old is out of contract in the summer, with many clubs lining up contracts for him to sign on a free transfer.

However, Chelsea are willing to pay the Bundesliga side a cut-price fee now in order to sign him this month, according to Foot Mercato.
Kila player mnamtaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii team sahivi haihitaji hata kuiombea mabaya kwa jinsi mbovu yenyewe ni kimeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom