Mkuuu unaogopa mapambanondio maana ateltico kakataa kuwaongezea nguvu barcelona ila nyie sasa mnauza wachezaji wen bora kwa washindani wenu
kweli nyie ni takataka
Sijui kwanini Chelsea wameweka kipengele cha kununuliwa
Sisi tukiwa hatumuhitaji mchezaji huwa tunauza kwa yoyote as long as tuna kikosi kizuri Mata, Santos na Mount kwenda Man u, Madueke,jorginho na Kai kwenda Arsenalndio maana ateltico kakataa kuwaongezea nguvu barcelona ila nyie sasa mnauza wachezaji wen bora kwa washindani wenu
kweli nyie ni takataka
wameweka milioni 75Sijui kwanini Chelsea wameweka kipengele cha kununuliwa
Ila inaonesha hatutasajili mchezaji mwingineMauzo msimu huu tu rekodi ya £425m+
Good bye FA FFP na UEFA Ban
Naona deal gumu kufanyika🔥 Breaking:
Usajili wa Lamine Camara unakaribia kukamilika baada ya dili la Manu Kone kushindikana 📝⚽
Kwa upande mwingine, Morgan Gibbs‑White anaweza kujiunga na Chelsea kabla ya deadline 🕐🔵
Limekufa hilo dili, mchezaji alikuwa tayari kuhamia Chelsea ila mawasiliano kati ya Chelsea na Monaco hayukuwa mazuriNaona deal gumu kufanyika
DawaHivi Chelsea wanatumia mbinu gani kuweza kuuza wachezaji wengi hivi tena kwa bei nzuri huku pia wakiwa na uwezo wa kuwanunua wachezaji kwa msimu mmoja?
Nani negociator na master mind ya uuzaji pale Chelsea?
Wachezaji wabovu wanauzwa tu bei kubwa kubwa.
Wana rogaHivi Chelsea wanatumia mbinu gani kuweza kuuza wachezaji wengi hivi tena kwa bei nzuri huku pia wakiwa na uwezo wa kuwanunua wachezaji kwa msimu mmoja?
Nani negociator na master mind ya uuzaji pale Chelsea?
Wachezaji wabovu wanauzwa tu bei kubwa kubwa.