Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamaa kapiga
FB_IMG_1662468917829.jpg
 
Narudia tena

Top managers wa EPL wana falsafa, TT falsafa yake ni ipi
Kama ni defensive tusingefungwa
  1. Klopp direct football
  2. PEP Possesive football
  3. Conte - Counter attacking football
  4. Thomas Tuchel?? anategemea mbinu mbinu zinazobadilika na ambazo hazieleweki kwa wachezaji. Ndio maana timu haina consistency na bado kuna mashabiki wanamtetea apewe mitano tena. Huyu ni kocha wa msimu mmoja ukizidi sana miwili halafu afungashiwe virago vyake. Huyu akifika Desemba nyota yake itakuwa nzuri sana
 
Mimi naenda kulala, hata hamu ya kuangalia mechi zingine sina
Natumaini hii ni group stage, na natumaini kuwa tutabounce back kwa mechi za Salzburg na AC Milan pamoja na marudio yote
Pengine tumefungwa leo ili tujitambue kuwa tuko kwenye European Champion League
 
Mimi naenda kulala, hata hamu ya kuangalia mechi zingine sina
Natumaini hii ni group stage, na natumaini kuwa tutabounce back kwa mechi za Salzburg na AC Milan pamoaj na marudio yote
Pengine tumefungwa leo ili tujitambue kuwa tuko kwenye European Champion League
Chelsea na kubounce back ilikuwa zama za akija Drogba hapa kuna mgomo baridi mpaka TT atimuliwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom